Search results

  1. Ing'ang'a

    Usichukulie poa, nyumba ni choo

    Picha basi tuone Mzigo huo.
  2. Ing'ang'a

    Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

    Umeambiwa uache kufuatilia habari za kike
  3. Ing'ang'a

    Amazing beautiful romantic photos

    Noma sana
  4. Ing'ang'a

    Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

    Mkeo alijiongeza tu. Sio wako huyo Mtoiii hakika.
  5. Ing'ang'a

    Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

    Mwanza na Dar milele
  6. Ing'ang'a

    JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Mada hii imekaa Kidharau dharau dhidi ya Jeshi letu la wananchi.. wanakulinda wale Lakini ukiwa Umelala Usingizi na kuendelea na mambo yako kwa Amani. Mambo yao mengi ni ya Siri. Na ndo taratibu zao kiutendaji.
  7. Ing'ang'a

    JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Dharau hizi Au sio Sawa Hamna shida Kauli Kama hizo sio nzuri ukisikika mbele yao . Shida utamuachia Mama ako Duniani.
  8. Ing'ang'a

    Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Achana nae kaka, Jamaa Kama anajitangaza humu kuwa ni Mwanajeshi aliyewahi kushiri MISSIONS DRC . Umeona kila wakati Anasema njo kwenye FIELD FIELD. Makosa makubwa kujinasibu hovyo mitandaoni.
Back
Top Bottom