Search results

  1. S

    Maison club

    Acha nijipange na elf 15.. nichukue milinda nyeusi mbili na buku 5 inabaki ya daladala.
  2. S

    Ukiona kijana anaogopa kuoa Basi tambua na yeye ni mzinzi

    Kama umewahi kupiga mke wa mtu ndio kabisaaa kuoa utaogopa kama ukoma
  3. S

    Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

    Duh. Hizi nondo acha Nile kwanza msosi wa usiku labda ndio nitazi digest vizuri
  4. S

    Sitasahau Special Thread

    Mm sitasahau intro ya jkt... Miezi mi3 ilikuwa Kama mwaka.....kifo unakiona usoni dadadeq
  5. S

    Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Ndio yeye mkuu......yan Mimi baada ya kumuona alivyotoka nduki baada ya kuona gun nimecheka hadi nikakaa chini badala ya kumhuzunikia nape
  6. S

    Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Hamorapa ...huyu jamaa ni balaaa kwa kuchangamkia fursa
  7. S

    Best PC games

    Mkuu umetisha mm nimeishia lgi 2
  8. S

    Nauza gari yangu Yoyota Raum no C

    Mkuu ww uza tu maana hali yangu naijua mwenyewe
  9. S

    Haya mambo naona ni ya kimarekani tu

    The bold yuko wapi atutafsirie ?
  10. S

    Nataka kuzaa mapacha; nifanyeje?

    Hakuna dawa duniani ya kusababisha mtu azae mapacha.....lakini kuna factors Kama family history yan kama kwenu kunamapacha inaweza kutokea CHANCE na ww ukabahatisha.......lakin dawa hakuna unless kwa test tube babies inawezekana kuchagua mapacha
  11. S

    Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

    Huyu dogo kwa style hii ya kurap namtabilia kuwa mTZ wa kwanza kubeba BET..........maana uwezo wake si wa nchii hii
  12. S

    Haki 7 za mama mjamzito

    Hizo haki zipo kikatiba??????
  13. S

    Kuna msichana kanizimia

    Ukiendelea na huo uzito wako utaishia kuwa mpenzi mtazamaji
Back
Top Bottom