Search results

  1. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    Habari za usiku wanajamvi. Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara. Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili...
  2. R Mbuna

    Tetesi: Kwa mwenye ufahamu na hili.

    Habari za Leo wakuu. Kuna habari nimezisikia kuhusu gharama za kujifungua kwa wamama wajawazito. Hapo awali mama mjazito anapofikia wakati wa kujifungua anatakiwa awe na vifaa tu vya kujifungulia iwapo ataenda hospital za serikali na hatochangia hata senti. Ila jana kuna mtu amenipa habari...
  3. R Mbuna

    Tuwaitaje hawa mabeberu

    Hahabri za wakati huu wakuu. Nimekaa nikatafakari peke yangu hivi hawa wazungu wanaokaa maabara na kutengeneza magonjwa kisha wanatuletea waafrika huku kisha wanatengeneza dawa ili watuuzie wawe matajiri wanatofauti gani na yule Mzee Mbuna kule kwetu Njombe aliyemtoa kafara kijana wake ili awe...
  4. R Mbuna

    Wanaume waliwezeshwa na nani?

    Habari za wakati huu wana bodi. Kuna hili jambo huwa linanitatiza sana hivi sisi wanaume nani aliyetuwezesha kufika hapa tulipo?? Nauliza hivi kwa sababu wanawake wanataka haki sawa na wanaume huku wakisema wakiwezeshwa na wao wataweza. Kwa maana wataweza kufanya yale yote wayafanyayo wanaume...
  5. R Mbuna

    GHARA LA KUHIFADHIA PAMBA LASHIKA MOTO- MBAGALA

    Kuna moto umezuka katika ghala la kuhifadhia pamba huko mbagala kwenye kampuni ya EXPORT TRADING COMPANY. Mpaka sasa hivi tathimini ya idadi halisi ya marobota hayo ya pamba yaliyoungua bado haijafanyika ingawa wamefanikiwa kuidhibiti moto kwa kiwango kikubwa. Chanzo cha moto huo bado...
  6. R Mbuna

    Wivu ni nini hasa?

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Kwa yaliyonitokea week end hii yamenipa maswali sana. Hivi wivu wa mapenzi hua unasababishwa na nini? Ukiwa na mume au mke akichepuka wewe roho inakuuma kwa sababu gani hasa? Je unafikiria jinsi unavyomuhudumia au ? Na kwa mwanamke kwa nini unahisi wivu kwa...
  7. R Mbuna

    Naomba ushauri wakuu

    Habari za wakati huu wakuu. Nahisi nitazeeka kama si kufa bila kutumia usafiri wa anga na wa majini. Sijui ni kitu gani kimenikuta ila hiyo aina ya usafiri sijawahi kupanda na wala sifikirii kama ipo siku nitakuja kupanda maana nafsi yangu inahisi kama vile siku nikipanda nitakufa kabisa...
  8. R Mbuna

    Usafiri wetu wa reli bado una mashaka sana

    SALAMU ZENU WAKUU. Leo nimepatwa na hasira sana kwa hii huduma mbovu inayotolewa na shirika letu la reli Tanzania (TRL) kwenda mikoa ya Bara. Nilikata tiketi ya kwenda Kigoma kwa daraja la pili kulala( second class sleeping) kwa bei yao ya ofa ya shilingi elfu 60/= wiki moja kabla . Leo ndio...
  9. R Mbuna

    Mdogo wangu amekula chenji ya vifaa vya ujenzi, mke wangu amegundua na kumsema kwa kejeli na dharau. Yupi ana makosa?

    Habari za wakati Huu wakuu. Naomba ushauri wenu kuna jambo nataka leo nikirudi home niliweke sawa ila inahitajika busara na hekima zaidi kuliko mabavu. Kuna kibanda najenga huko maeneo ya Chamazi sasa msimamizi wa ujeni ni mke wangu na mdogo wangu wa kiume. Kwenye building estimation cost...
  10. R Mbuna

    Mrejesho: Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Habari za juma tatu wadau. Kama kawaida niende kwenye mada. Baada ya kusoma ushauri wa wadau humu na kurejea home nilikuta hali imetulia kiasi baada ya wazazi kumpa nasaha mke wangu.Vile hakusababisha madhara kwa beki tatu kwa maana alimtisha tu kwa maneo na kumuuliza hii ni mara yako ya ngapi...
  11. R Mbuna

    Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Habari za siku wanajamvi, Niende tu kwenye stori yenyewe kulingana na heading hapo juu, Jana niliwahi sana kufika home so wife yeye alichelewa nilimkuta beki tatu amejilaza sebuleni akiwa amevaa kanga moja tu tena hana hata habari. Kwa mazingira yake akasababisha vilivyolala viamke...
  12. R Mbuna

    Wanadamu tuna shida sana, hakuna anayejua anahitaji nini kwenye swala la Mapenzi

    Hili tukio limenihuzunisha sana kwa kweli. Kuna mwanamke alienda kwa mganga wa kienyeji ili kupunguza nguvu za kiume za mume wake kwa sababu jamaa alikuwa ana nguvu kuliko hata simba dume. Jina la mkoa na eneo la tukio naomba nisilitaje kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Ila kilichotokea ni...
  13. R Mbuna

    Polisi acheni kubambika watu kesi

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Hii habari imenisikitisha sana na imenikera sana kwa jinsi polisi wanavyolazimisha kuwapa watu makosa ili hali ni raia mwema tu. Niende kwenye mkasa ambao umepelekea kuleta hili bandiko humu jukwaani, kuna kijana anauza duka huko maeneo ya Mbagala sasa juzi...
  14. R Mbuna

    Haya nakusanyo ya kuvuka lengo TRA wanaumiza importers

    Habari za wakati huu wakuu. Hili swala la TRA kulazimisha kulipishana kodi sasa imekuwa kero kwa kweli. Mimi nina fanya shughuli za clearing & forwarding sasa kuna mteja wangu huwa anaagiza hizi safety equipment i.e viatu, life jacket nk. Safari hii ameleta mzigo kama kawaida sasa imekuja...
  15. R Mbuna

    Utafanyaje ikikutokea hii

    Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB 400,000 TUMIA NDANI YA MASAA 24 TU kwa OFA zaidi endelea kutumia voda - VODACOM KAZI NI KWAKO Kama...
  16. R Mbuna

    Naomba msaada wenu wakuu

    Habari za wakati huu wana jamvi. Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya kulisaka tonge. Nisiwachoshe sana nikachelewa kupata msaada ninaouhitaji kw ajili ya porojo zangu. Ijumaa ya wiki iliyopita nilipata ajali ya pikipiki nikapasuka usoni na kupata michubuko kwenye mkono wangu wa...
  17. R Mbuna

    Naomba ushauri waungwana

    Habari za wakati huu wanajamvi, Kutokana na kasi ya muheshimiwa mkuu wa nchi sasa naona mji wa Dar haunifai tena nataka kwenda kujishughurisha rasmi kwenye kilimo moja kwa moja. Sasa nina mashamba yangu huko Kilombero na kilimo ninachitegemea kwenda kufanya kule ni cha mpunga na mahindi...
  18. R Mbuna

    Wivu kwa mchepuko

    Habari za wakati huu wana MMU, Jumamosi ya juzi nilivyotoka kazini nikawa sina mahali pakwenda kupumzika kama mnavyojua hiyo siku huwa tunafanya kazi nusu siku. Mke wangu kipenzi alikuwa amesafiri so nikaona niende kwa mchepuko wangu bila kutoa taarifa kwake. Nilivyofika mlangoni nikaona kuna...
  19. R Mbuna

    House4Sale Nyumba za bei nafuu zinauzwa

    Nyumba za bei nafuu zinauzwa maeneo ya Mbagala Chamazi. Bei inaazia 20M mpaka 45M. Ni umbali wa 2Km kutoka barabara kuu ya kuelekea Azam complex. Gari inafika mpaka eneo la nyumba Umeme, Maji vipo. Nyumba zinatofautiana ukubwa kuna zenye vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bed room.Pia...
  20. R Mbuna

    Pharmacy walitaka kumuua mke wangu kwa majibu yao ya uongo

    Habari za jioni wana jukwaa. Kama heading hapo juu inavyojieleza wife alienda kupima sukari kwenye pharmacy kwa sababu alikuwa anahisi uchovu wa mwili na kizunguzungu.So jamaa walimpima damu ya malaria ikawa negative wakcheki sukari wakakuta inasoma 20. Wife akanipigia simu nikiwa kazini kuwa...
Back
Top Bottom