Search results

  1. Tuyuku

    Waziri Nape alipomtembelea Diamond Platinumz

    Waziri wa Habari Nape Nnauye alipomtembelea Diamond Platinumz ofisini kwake leo. Bila shaka amenogewa na midundo ya Kokoro.
  2. Tuyuku

    Makonda katika pozi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika pozi mchana wa leo. Mwanaume wa Dar katika ubora wake.
  3. Tuyuku

    Niende wapi Dodoma?

    Nidokezeni jamani. Nipo zangu Dodoma usiku wa leo. Kuna baridi fulani. Nikitaka kuchangamsha mwili niende wapi?
  4. Tuyuku

    USHAURI: Unapotafuta kazi kuwa serious

    Salamu kwenu. Kwa muda kidogo nimebahatika kuwa katika recruitment ya staff ndani ya organization yetu. Mara nyingi nimekutana na maombi ya kazi ambayo yanaonesha kabisa mwombaji kutokuwa serious na kitu anachokifanya. Unakuta tangazo la kazi limesema kabisa nini na nini kinatakiwa kuwemo...
  5. Tuyuku

    Windows 10 inazingua PC yangu

    Habari wakuu? Mimi ninatumia HP Laptop. Hivi karibuni niliupdate kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10. Awali pc yangu ilikuwa ilikaa na chaji hadi masaa 6. Sasa haikai hata dakika 30. Na hata nikizima pc chaji inakwisha tu. Ni lazima nirudishe OS ya zamani ili kumaliza tatizo hilo ama kuna...
  6. Tuyuku

    Ushauri kwa Wajumbe wa NEC

    USHAURI WANGU KWA WAJUMBE WA NEC WA CCM WANAOSHAWISHIWA KUGOMEA VIKAO ENDAPO WAGOMBEA WAO WANAOWATAKA WASIPOKUWAPO KATIKA ORODHA YA TANO BORA. Mambo yafuatayo watambue watambatana nayo. 1 Kwa wanec ambao ni wabunge, huo ni utovu mkubwa wa nidhamu, na hata wale wanec amabao wanagombea ubunge...
  7. Tuyuku

    Kifungo cha Charles Taylor kinatoa fundisho gani kwa watawala wa Kiafrika?

    Bwana vita Charles Taylor, rais wa zamani wa Liberia anaingia ndani ya nondo za magereza kwa miaka 50. Amepatikana na hatia ya kufadhili vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sierra Leone. Kuna somo ambalo watawala wa Kiafrika wanapaswa kujifunza. Kila kitu kina mwisho. Enzi na utukufu wa...
  8. Tuyuku

    TMA wananunua rada mpya, hivi ile iliyokula pesa nyingi haifai?

    Waungwana, nakumbuka katika lile sakata la rada tuliambiwa ile rada inafanya kazi za usalama, uwanja wa ndege na mambo ya hali ya hewa. Sasa mbona nakuwa kama sielewi? Someni hapa Hussein Issa MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA), imenunua rada mpya itakayorahisisha utendaji kazi wa mamlaka hiyo...
  9. Tuyuku

    Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

    Sunday, 24 July 2011 By Bernard James Opposition leaders Dr Willibrod Slaa and Reverend Christopher Mtikila are set to face off President Jakaya Kikwete's son, Ridhiwani, in a high-profile court battle. Ridhiwani has officially filed a defamation lawsuit against Chadema's secretary...
  10. Tuyuku

    Mgomo mkubwa wa wahadhiri Ustawi wa Jamii

    Taasisi ya Ustawi wa Jamii ipo katika hali mbaya sana kutokana na menejimenti mbovu na uongozi mbovu wa serikali ya wanafunzi. Wahadhiri wa Taasisi hiyo wapo katika mgomo toka Jumatatu wakishinikiza kukutana na waziri mkuu Pinda kutokana na mamlaka zingine kushindwa kutatua matatizo yao sugu...
  11. Tuyuku

    Hivi nini kinachomfanya Vasco da Gama asiteue RC wa Dar hadi leo?

    Najiuliza mara nyingi sana pasi kupata jawabu. Nalileta kwenu wanajamvi. Pengine lilishajadiliwa nami sikubahatika kuliona. Hivi toka Novemba mwaka jana hadi leo takribani miezi 8 kwa nini mzee wa anga Vasco da Gama II hadi leo hateui RC wa Dar? Pamoja na hayo, hivi hamwoni kama hiki cheo...
  12. Tuyuku

    Nashangaa mnaosema eti Kikwete kawa wa kwanza kufanya maamuzi magumu, yepi hayo?

    Tatizo watu hamsomi historia wala kufuatilia mambo halafu mnang'ang'ania kuwaambia watu haya mambo yanafanyika kwa mara ya kwanza. Kikwete hana la maana kabisa. Mwalimu alifanya maamuzi mengi mazito ikiwa ni pamoja na kumruhusu Mwinyi aliyekuwa akimpenda sana ajiuzulu japo hakuwa na makosa...
  13. Tuyuku

    Hivi ujenzi wa barabara ya Kilwa ulitawaliwa na rushwa?

    Nimeona ni vema leo kuuliza maana hili jambo lanikereketa sana. Hii barabara imemalizika kujengwa mwaka 2008, lakini leo ukiitazama imechakaa vibaya mno. Eneo la Mivinjeni usipokuwa mwangalifu unapata ajali kirahisi sana kwa kuwa barabara imeota manundu kupindukia. Pia ukitazama mitaro yake...
Back
Top Bottom