Search results

  1. C

    Serikali ieleze mnunuzi wa korosho inalipia kiasi gani ili kupata bei halisi

    Katika hali ya wakulima kulalamika juu ya bei ndogo ya kuuzia korosho, mkulima awekwe wazi kuwa kiasi kungine amelipia viatilifu, hili hesabu yake ikae sawa. Mtindo wa kugawa viatilifu bure usirudiwe tena, kwa sababu haziendani na kiasi mkulima halisi anacholipia, pia ugawaji hauzingatii...
  2. C

    Ajira kugawanywa bara na visiwani, nafikiri kuna tatizo

    Ajira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama. Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja...
  3. C

    Uchaguzi 2020 Ni kwanini hajawahi tokea mgombea CCM akose sifa?

    Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa. Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa. Ukichunguza hata wagombea wa CCM huwa na mapungufu lakini hata wakikatiwa rufaa utupiliwa mbali...
  4. C

    Ukishindwa udhibiti wa mpaka lazima itafuata lockdown

    Ukiwa imara utadhibiti uingiaji watu nchini kwa kupima na kuwaweka karantini, na sio hotelini kwa gharama zao au eneo wawezalo toroka. Ukishindwa udhibiti wa mpaka inafuatia lockdown ya maeneo yaweza kuwa eneo la kazi, mtaa, kijiji, wilaya,miji. Ukishindwa lockdown hizo zote hatua inayofuata...
  5. C

    Tujadili elimu ya sekondari kuwa ya lazima

    Nakiri elimu ya sekondari ni muhimu kwa wote, ila wapate wenye uwezo, wa uhitaji na kugharamia. Mwanzo huku kwetu kulikuwa na taarifa kwamba wazazi waliwaelekeza watoto wao kwenye mtihani wa darasa la saba wafanye ila wahakikishe wanafeli, ikatokea watoto kufanya vibaya mitihani, hadi kufikia...
  6. C

    Mzee Makamba ni vema kutoitikia wito

    Pamoja na kuwa hamna aliye juu ya chama kwa wanachama, lakini naamini kuheshimiana ni jambo muhimu sana, bila kujali nafasi ulizowahi kushika, lakini umri wako tu ilitosha wajiulize namna wanavyokuita, (yaani mimi nisingeenda kamwe) kuitwa kwanza na vyombo vya habari, hata ikija barua ni haina...
  7. C

    Tafadhali Serikali uzeni mahindi Kenya, sio unga

    Wakulima wa mahindi wanapenda wapate soko la mazao yao. Ila iwapo kutakuwa na vikwazo vingi kama lazima mauzo ya nje yawe unga, ushuru na tozo mbali mbali, matokeo yake, biashara ya nje itashindikana, hivyo kukosa soko jumla, mnatuumiza sana. Ni kwanini ulazimishe unga, kama wao wanapenda...
  8. C

    Hivi si nimesoma ripoti imezuiliwa kuchapishwa ya uchumi (IMF)

    Taarifa ya kuzuia ninayo, sasa mbona kama wanatoa kidogo kidogo, na sehemu muhimu? Nani amewapa ruhusa, sasa tuseme uchumi unakuwa kwa %ngapi? Hawa jamaa wanahujumu juhudi za kuvutia vitega/mitaji uchumi vipya.
  9. C

    Lipeni wakulima wa korosho

    Inadhihilika mkulima ajasaidiwa na ununuzi huu wa korosho. Ni kweli wakangomba wapo na ni wachache, mnawatafuta kwa gharama ya wakulima ndio wanaoteseka. Na ukweli kangomba haiwezi kufa, kwa kuwa watu wanashida za kweli, na chake ndio mtu utatulia matatizo yake. Sasa wakulima huku kwetu wanauza...
  10. C

    Tuseme ukweli: Serikali haina fedha za kutosha kwa ajili ya korosho

    Mimi ni mkulima wa korosho, kwa kauli na vitendo vinaonyesha wazi kuwa serikali haina fedha. Kwa kuwa sijalipwa, hivyo nafuatilia sana maelezo mbalimbali juu ya korosho. Kauli za serikali najinsi wanavyotekeleza, kama serikali ina fedha, kukagua mashamba, kutaifisha, hawana nyenzo za kuifanyia...
  11. C

    Ni Kwa nini korosho toka nje wanazuia?

    Mnisaidie mwenyewe kuelewa jambo hili, kwa muda nasikia taarifa za serikali kuzuia na kuwashutumu wanaoingiza korosho taka Msumbiji nchi jirani, naamini kama hazina ubora kama zetu basi zitapata daraja fulani, na zitakuwa na bei kulingana na faraja lake. Na wafanyabiashara wa mataifa ya Asia...
  12. C

    Namkumbuka kadinari Pengo kuhusu unyang'anyi mali za watu

    Hitler alipata madaraka kwa njia za demokrasia kabisa, Ila aliahidi mambo mazuri na ya maendeleo kwa wajerumani, akiwa madarakani ana hamu ya kutekeleza ahadi ya kuwaondolea ufukara na maisha magumu wananchi wake. Ndipo aliwageukia waisrael ambao kwa kipindi kile walikuwa matajiri sana kwa...
  13. C

    Bado nasisitiza sisi wakulima wa korosho tutunze vielelezo

    Na jambo ambalo haliingii akilini eti kuanzia kilo 1500 hamlipi hadi ukaguzi wa mashamba, Mie na kilo 1600, mbona sijawaona niwaonyeshe shamba. Ni kweli Waziri mkuu, wewe unatoka maeneo ya uzalishaji korosho? Waona ajabu mkulima wa tani 2, Mie kwa uelewa wangu unanafasi ya kumshauri vema...
  14. C

    Sina uhakika wa kupeleka watoto shule

    Wadau naelezea masikitiko yangu tu, nikiwa mkulima wa korosho, na mzazi. Muda unasonga, shule karibu zinafunguliwa January 7, na mvua zinanyesha. Sijawaandaa watoto wala shamba. Kwa ukweli niliwekeza sana kwenye kilimo, na malengo yangu ndani ya miaka 5 niwe na uwezo wa kuvuna si chini ya tani...
  15. C

    Viongozi zingatieni historia, Sheria na haki.

    Kwa kawaida historia ni muhimu na kama unaijuwa na kuifuata/kuifanyia kazi, na haina maana unaijuwa na uifanyii kazi hasa kwa kiongozi. Historia usaidia kuwa na mwelekeo bora baada ya kujuwa yaliyotukabili siku za nyuma na mazingira yetu sasa. 1) Siamini kuwa viongozi hawajui kuwa Serikali...
  16. C

    Nahisi tunaua zao la korosho pamoja na nia nzuri ya Serikali

    Mahusiano yaliyopo kati ya mkulima wa korosho na mnunuzi (kangomba) wa kati yaangaliwe vizuri, pia sehemu kubwa uwezi kuwatofautisha. Tuelewe kuwa hawa watu sehemu kubwa wanategemeana sio kwenye kuuza tu, bali hata uzalishaji, wakulima wengi kipato chao hakiwatoshelezi mahitaji yao ya mwaka...
  17. C

    Nilitegemea vikwazo kipindi cha EPA, ndege ya rais, rada, kusafiriswa twiga

    Naomba tutafakari kwa pamoja kuna watu tunahisi matukio kama hayo juu pamoja na ESCOW, RICHMOND yameumiza sana taifa hili lisisonge mbele, matukio mengi ya hayo yanaushirika na makampuni ya ulaya, hivyo wameona hakuna sababu ya vikwazo. Kiukweli sababu wanazotoa kuhusu MCC kwa ulinganifu...
Back
Top Bottom