Search results

  1. C

    Matokeo ya Kizimkazi secondary division 3 zipo 5 four 26, ni nyumbani kwa Rais Samia na alisoma hapo

    Naamini shule hiyo ina kilakitu, tatizo utayari wa wanafunzi na wazazi wao, uenda hata tamaduni zinachangia kushusha hari ya kujifunza!
  2. C

    Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

    Si lazima ichaguliwe inatangazwa tu!
  3. C

    Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati

    Hakuna umaarufu wowote, anapiga bla bla na kuingilia majukumu yasiyo mhuusu, wacha aendelee!
  4. C

    Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

    Ila makonda ni tatizo, mwenezi hayo sio majukumu yake, angeomba nafasi serikali ili atoe maagizo atakayo, mwenezi usemea chama mliyokubaliana kwenye vikao, sio kujifanya kama Magu kupigia mawaziri simu na kutoa maagizo, hata kama yapo kwenye ilani ya CCM, inataratibu za kutekeleza, mwenyewe hana...
  5. C

    Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

    Angeteuliwa balozi USA, ila hapo hafai, nafasi hiyo si ya kutoa matamko toka nyumbani kwako, ni kukisemea chama kwa yale mliyokubaliana kwenye vikao!
  6. C

    CCM ivunje tu utaratibu. 2025 asimame Kassimu Majaliwa kugombea Urais

    Una mjuwa Majaliwa? Ukimjuwa uwezi pendekeza hayo!
  7. C

    Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Wengi wenye ufahamu mkataba wa bandari hatuutaki, licha ya bandari kuwa ni mzigo na inafanya vibaya, dawa yake si kuitupa.
  8. C

    Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Kwa akili yako ameshushwa au amepandishwa! Naamini nafasi aliyopewa ni kubwa zaidi, na anafaa, kwenye nishati alifiti pia, acha wivu!
  9. C

    Hapa ndipo inapotoka nguvu ya Kanisa Katoliki

    Mc Mchonganishi na mnafiki P. Unajisikiaje DP world wanapewa bandari zetu bure milele na miundo mbinu yake kama sgr bandari kavu, nawe unafurahia!
  10. C

    Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

    We nawe tr26 zimeandikwa wapi? Hayo ni maneno tu kama ya gas Mtwara kuwa Nchi imepata neema na Mtwara kutakuwa kama ulaya. Haya mambo hayapo ya tilioni 26, kwa wenye ufahamu wanapenda kuona mkataba wa muda kama kuna maslahi waendelee na kama akuna basi waondoke kama ticks, sio kuingia mazima milele!
  11. C

    Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

    Ila wamepewa bure milele, we mzima? Lini shughuli za bandari zitaisha ndio waondoke? kwanini sheria za ushindani na manunuzi zibatilishwe kwa wao tu kupewa watakacho, nawaelewa sasa walaka wa TEC!
  12. C

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naimani ma Mh.Rais Samia, uenda akamaliza sakata hili kwa hekima zaidi. TEC wapo sahihi, ila kasoro yao awakutoa matamko kwa JPM juu ya mapungufu yake. Kukandamiza demokrasia, kupendelea kwao, kuonea au kupora fedha kwenye account za watu nk!
  13. C

    Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    Usiwe mjinga kwani maeneo au ardhi imeisha? Unaakili za ki-jpm kisasi kisa kushauri au kukupinga!
  14. C

    Dkt Slaa: Kukamatwa hakutonirudisha Nyuma, ni heri kuhukumiwa Duniani kuliko kuhukumiwa Mbinguni

    Licha ya mkataba huu, mama bado ni Rais bora sana, anajiheshimu anapenda haki, uenda hili akalimaliza kwa busara zaidi, namwamini ni mvumilivu pia!
  15. C

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    TEC wametoa msimamo wao kwa heshima, kwa maslahi ya watanzania, pia wametoa ombi kwa heshima kuwa Rais asikilize sauti za wanaopinga uwekezaji huu. Kimsingi mama yuko vizuri kwenye maeneo yote, isipokuwa hili la bandari. Lengo lake zuri ila kupoteza bandari ni ngumu kukubaliana nae, chako ni...
  16. C

    DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

    Ila kiukweli bandari wanazingua sana wacha waje wawekezaji, miaka yote hamna ripoti bora bandari, CAG analia kila ripoti, Marais wote wanaona kizunguzungu juu ya bandari, rushwa, ukwepaji kodi,wizi ndio nyumbani, ifikie hatua tufanyaje kitu tofauti, kama kukosea ni kwa dhamira nzuri!
  17. C

    Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Narudia bandari haijauzwa, wamepewa bure milele, kama kuuza tumepata kiasi gani? Ila wameahidi tutaneemeka kwa mapato na ajira, havina uhakika! Na hamna kujitoa!
  18. C

    USHAURI: NAOMBA TUMPE USHAURI WA DHATI MH. NAPE NNAUYE KUHUSU BANDARI.

    Nape alisha jifunza, kwa namna yoyote ile hapingani tena na mkuu! Cha moto alikiona hadi yule alisema anasikia uchungu kumsamee mtu!
Back
Top Bottom