Search results

  1. Buenos Aires

    Unafiki Uliotukuka tutaushuhudia Kwenye mazishi ya Kitaifa ya Lowassa, Wanaccm waliomsaliti watajipendekeza kwa Dr Emmanuel!

    Nini maana ya RIP? Wamemsaliti vipi wakati yeye ni mwanaccm, akaenda chadema kisha akarudi nyumbani kwa ccm, sasa kasalitiwa vipi! Na isitoshe age yake, acha wengine wapambane
  2. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Si unaona sasa, hujui nini maana ya dini
  3. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Kwa sababu huna dini hivyo huwezi kuelewa mkuu
  4. Buenos Aires

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    إنا لله وإنا إليه راجعون KILA NAFSI ITAONJA MAUTI HAKUNA ATAKAEBAKIA ISIPOKUWA ALLAAH سبحانه وتعالى
  5. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Amani ya kutoka wapi! Hivi mnadhani kule ukifika unakunja 4 unakula bata sio! Wewe na matendo yako ndio yatakayokusaidia, mbali na hapo ni jahannam.
  6. Buenos Aires

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Yanga, Imani Madega afariki Dunia

    Upo very right, sio wale wa RIP
  7. Buenos Aires

    Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Wakisharuhusu uraia pacha watajitokeza kuleta upinzani, suala la umeme litakua historia
  8. Buenos Aires

    Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Waruhusu uraia pacha uone suala la umeme kama halitakua historia
  9. Buenos Aires

    Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Una uhakika gani ameuawa na Hamas? Naomba ushahidi! Pili, kama nikweli ameuawa na hamas, basi hamas sio wajinga wauwe mtu asieshirikiana na mazayuni! So wapo sahihi kabisaa, hata wewe ukijipeleka kwenda kuwasaidia hao ndugu zako basi hamas yupo sahihi kukumaliza, tena bila huruma.
  10. Buenos Aires

    Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Hakimi na ziyech plus Salah hao ni ndugu zetu, ila sio hao makafiri wa kizayuni, biden na makafiri wenzie
  11. Buenos Aires

    Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Hulali usiku ukiwawazia makafiri wa kizayuni waliuwa hata manabii wengine
  12. Buenos Aires

    Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Au yeye ndie alikua gaidi akishirikiana na makafiri wenzie!
  13. Buenos Aires

    Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

    Kosa afanye mwarabu/mzanzibari uone baadhi ya wayahudi weusi watakavyonuna na kukunja nyuso zao
  14. Buenos Aires

    Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Napendekeza iitwe kati ya 1 Bandari Samia 2 Almaktoum Port 3 Sukuma Zone Port
  15. Buenos Aires

    Ukubwa wa Singapore ni kama Wilaya ya Kigamboni tu lakini ina uchumi mkubwa sana

    Nchi itaendelea wapi mzee babaa, huku ufisadi, huku diaspora wakisumbuliwa na kuonekana hawana uhalali wa nchi, kodi za serikali kila sehemu.
Back
Top Bottom