Search results

  1. mtima nyongo

    Natangaza ndoa

    Iwe kwa ugomvi au maelewano natangaza ugomvi na aspirin nataka kumuoa miss sky eklaty sitaki maelezo yoyote kutoka kwako. Niko Somalia, mwezi ujao narudi nataka tufunge ndoa. Kwangu ni Vigwaza kama utapenda kukaa Vigwaza sio mbaya ila mimi sipendi kukaa tandale.
  2. mtima nyongo

    Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
  3. mtima nyongo

    Kanisa Katoliki wanajenga kitu gani maeneo ya Makurunge?

    Habarini wakuu,swali langu ni kutaka kujua Roma wanajenga kitu gani maeneo ya makurunge wana eka mia moja Na unaingilia pale kiluvya,najua humu kuna wajuzi zaidi yangu mtanisaidia kwa Hilo.
  4. mtima nyongo

    Ushauri wenu wadau

    Gari yangu ni gx100 cresta cc2000 tatizo la hii gari ni nguvu, Kupanda milima aina nguvu kabisa na niliipeleka service na fundi akaikagua engine na kuniambia hii gari ili iwe sawa inabidi kushusha na kuichambua engine ili kila kibovu kitupwe na kuwekwa kipya au nitafute engine nyingine maana...
  5. mtima nyongo

    Hali ya mgonjwa wetu si shwari

    Pamoja na maonyo ya watu wazima ya kwamba mgonjwa wetu yu mahututi hata mkimpa dawa ni sawa na kujisumbua maana ile pumzi ya uhai imeshakata. Lakin kwa kuwa bado tulikua na imani na mgonjwa wetu na bado tulimhitaji ikatubidi tuwe na kichwa ngumu na kutosikiliza maneno ya watu wazima. Tukampa...
  6. mtima nyongo

    Kwanini Zanzibar sukari ni 1,600 kwa 1kg?

    Kwa jinsi nijuavyo mimi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania sasa sijui ni mkoa au wilaya mimi sijui. Ila cha ajabu huku ni bei ya sukari iko chini kuliko bara.Bei ya rejareja ni 1,600 kwa kilo moja sasa najiuliza hii sukari huku inatoka wapi mpaka iuzwe bei hii?
  7. mtima nyongo

    Taifa limelogwa na alieliloga kafa

    Watanzania tu watu wa ajabu sana na hatuna tofauti na watoto wadogo, Ccm imekaa madarakani miaka zaidi ya 50 na viongozi wake ni wale wale wanaotokana na mfump wa ccm. Toka enzi ya mkapa mpaka sasa karibu wanaccm wote ni wale wale inamaana hata sera lazima wafuate za chama. Mkapa tuliambiwa ni...
  8. mtima nyongo

    Ushauri kwa wahandishi wa habari na kwa Jpm

    Nianze na wanahabari hivi nyie mna matatizo gani? Taifa hili linachangamoto nyingi kuliko mnavyotuletea habari za kuuzia magazeti yenu tu. Mbona zile habari zinazotuhusu sisi wananchi wa kawaida hatuziskii kwa nini au mnabagua? Hapa vigwaza kuna shule ya msingi kisogo hii ina darasa moja tu na...
  9. mtima nyongo

    Lukuvi njoo hapa Mwanalugali ujionee uhuni

    Hapa sekondari ya mwanalugali kibaha kuna tatizo tena kubwa la ardhi.Toka mwishoni mwa miaka tisini serikali ilichukua maeneo ya wakazi wa hapa na kuyapima kwa ajili ya kuendeleza mji wa kisasa na wale waliochukuliwa maeneo yao walipewa ahadi ya kufidiwa cha ajabu mpaka leo hakuna cha fidia wala...
  10. mtima nyongo

    Watch "Kigali Masterplan 2040 video" on YouTube

    . Hivi sisi taifa letu lina dira au? Maana mpaka leo sijasikia sera ya taifa ni nini maana hata Ethiopia na njaa yote lakini bado wanasonga mbele na sisi tunaosifika kwa amani tupo tu Nakumbuka kenya 2008 waliweka mpango wa flyover na baada ya miaka miwili wamekamilisha lakini sisi mwaka 2011...
  11. mtima nyongo

    Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

    Mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikuwa na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa hawana kibarua. Mzigo wa kwanza huo wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop. Mzigo wa pili kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna...
  12. mtima nyongo

    Taratiiibu naliona jahazi likizama

    Wanajamvi ni heri kuwa mkweli kuliko kuwa muhongo.na heri mchawi kuliko mnafiki jk kwa nini anaenda libya Zanzibar aioni? Mkapa alisuluhisha Kenya je Zanzibar? JPM aliahidi atakua raisi wa wote je Zanzibar aioni? mnataka mpaka tuanze kuuana ndio muanze kuomba msaada nje? Machafuko yoyote uanza...
  13. mtima nyongo

    wezi.mafisadi.wahujumu uchumi hao ndio waliofikisha taifa ili hapa

    alafu tukirudi kwenye chama na serikali ndio washauri wa mh. hapa taifa litasonga mbele au ndo kulalama kila uchwao?
  14. mtima nyongo

    Hivi Tanzania bado tunajisifu kwamba tuna demokrasia?

    CCM, tunajua ya kuwa imeshindwa Zanzibar. Je, kwa nini wanang'ang'ania madaraka huku tukijisifu kuwa tuna demokrasia?
  15. mtima nyongo

    Rais Magufuli na CCM muone aibu kuhusu Zanzibar

    inakuaje watu wazima na akili zao timamu na wengine ni wasomi hasa kutwa kucha wanamsifia rais kuwa ni mchapakazi na mwadilifu na wakati huo huo awamwelezi ukweli au hata ushauri kuhusu jipu sugu la zanzibar au mpaka lifikie kama la burundi? hiki ndio kinachofanya mzungu atuzarau kwa sababu...
  16. mtima nyongo

    JPM ili nikuelewe nitumbulie jipu hili

    Escrow ndio tatizo langu tumbua jipu hili ili niwe na imani na wewe, la sivyo naona utakua unatumbua chunusi na majipu sugu yapo.
Back
Top Bottom