Search results

  1. mtima nyongo

    Gerson Msigwa siasa zimekufanya usahau ulipotoka? Acha kudharau watanzania

    Madaraka na akili ziko lumumba,usimlaumu sana.
  2. mtima nyongo

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Sirro ni poti na sisi watu wa kanda ya ziwa kinywaji chetu kikubwa ni gongo,ntapeleka baadae baada ya kumaliza hii shughuli
  3. mtima nyongo

    Zanzibar bora ingeungana na Mombasa kwa kuwa tamaduni zinafanana sana

    Na usisahau na zile shughuli zao pendwa,(ushoga)
  4. mtima nyongo

    Rais Magufuli afanya Mabadiliko ya teuzi, amteua Mhandisi Mwita kuwa RC Njombe

    Jembe au pimbi tu,anakula kiapo leo na kesho tena anateua mwingine hiyo akili au matope.
  5. mtima nyongo

    Rapper aliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Jada Pinket Smith huyu hapa

    Jada ni mzee sisi tumecheza nae na kumwita dada miaka ya 85 na kuendelea,hata kama huyo dogo akigonga sio shida ni hamu tu na dogo atatafuta mwenzie na maisha kuendelea
  6. mtima nyongo

    Kwa wapenzi wa Imbewu : The Seed, huyu Zethu ni pisi kali

    Na baada ya hapo unaanza kutamani house girl
  7. mtima nyongo

    CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

    Takukuru nao wamekua vilaza wameenda CDM mpaka Sasa no majibu, Kwa hiyo tunataka majibu toka walikoenda kukagua na pia wakague na cuf na ccm.
  8. mtima nyongo

    Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Hizi ndio mahakama zinazotakiwa, sio zile za wakata viuno na kuselebuka tu kwa mapambio
  9. mtima nyongo

    Diaspora rudini nyumbani

    Naona una utani na le mutuz
  10. mtima nyongo

    Natangaza ndoa

    Iwe kwa ugomvi au maelewano natangaza ugomvi na aspirin nataka kumuoa miss sky eklaty sitaki maelezo yoyote kutoka kwako. Niko Somalia, mwezi ujao narudi nataka tufunge ndoa. Kwangu ni Vigwaza kama utapenda kukaa Vigwaza sio mbaya ila mimi sipendi kukaa tandale.
  11. mtima nyongo

    George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

    Kuna movie moja niliiona zaman kidogo inaelezea kisa hiki na inaitwa Carolina skelence kama sijakosea.
  12. mtima nyongo

    Sitoisahau Zanzibar!

    Welezo na kwa b, Janet IPO muda wote
  13. mtima nyongo

    CCM Wapongezwe kwa Kuiogopa CHADEMA, Wasibezwe!

    Kamuulize jiwe na job,maana hao awalali kwa kuihofia CDM .
Back
Top Bottom