Search results

  1. P

    Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

    Habari wanajukwaa. Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama...
  2. P

    Ni kipindi kipi kizuri kwa mama kupata ujauzito kwa DSM?

    Pengine wataalamu wa afya wanaweza kutusaidia kujua ni kipindi kipi hasa ni kizuri kwa mama kupata ujauzito na hatimae kujifungua kwa mazingira ya DSM. Ili kuwezesha pia ukuaji mzuri wa mtoto ukilinganisha na hali ya hewa na mambo mengine km hayo.
  3. P

    Nini tofauti ya ubora kati cement zinazotengenezwa na viwanda:mf lake, twiga, dangote?ke,

    Habari wadau, sijui kama nimeliweka hili ktk jukwa sahihi. Naomba kujua toka kwa wadau nini tofauti za cement zilizopo kwny masoko kwa mtumiaji ili kuweza kufanya uchaguzi sahihi kwa ujenzi
  4. P

    Ni ipi bora kati ya kuwa wakala wa Selcom au Maxmalipo?

    Jamani naombeni kupata msaada kati ya selcom na maxmalipo ni ipi bora kuichukua, kwa maana ya kuwa wakala? kwa kuangalia kama kuna tofauti kwenye commissions na effectiveness na vitu vingine. Ntashukuru kupata mwangaza wakuu.
Back
Top Bottom