Search results

  1. P

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Nafikiri ni vizuri kinyume chake, ili kulinda afya ya akili! 😄
  2. P

    TANZIA CAG Mstaafu Profesa Assad afiwa na mkewe Dkt. Badria Bave Msambichaka

    Pole sana kwa familia na wafiwa wote! Mungu awajalie faraja yake!
  3. P

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Hela zote usiweke kwenye nyumba za kupangisha, km ni fremu ya kupangisha nafikiri ni bora zaidi Ila pia usiwe na haraka, bora uuze then uweke hela UTT, wakati unafikiria biashara nzuri itakayolipa. Kila la heri.
  4. P

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Hapa wataalam wangeweza kusema, bora ungeweka kwenye stock/shares mfano CRDB, kwa kuwa umoja na wenyewe wanaenda ku-invest kwenye shares! Ila mimi si mjuvi sana wa sector!
  5. P

    Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Sahihi kabisa la iwe nyumba ya biashara!
  6. P

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Najaribu kukuelewa, japo si mjuvi wa haya mambo ila kwa juu juu tu kile cheo cha chama ni kizito, kinazunguka nchi nzima.
  7. P

    Nina Milioni 16, naombeni ushauri

    Tafadhali nenda UTT, wakati unafikiria biashara zingine, na biashara pia inahitaji uzoefu wa hali ya juu sana, kqa hiyo kuwa makini.!
  8. P

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Mkuu Jane Msowoya ulifanikiwa na idea yako hii? Just kupata uzoefu maana tunaendelea kujifunza kupitia jukwaa hili.
Back
Top Bottom