Search results

  1. Shoctopus

    Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

    Sisi wastaafu pia lakini hatujaongezwa pension kwa miaka zaidi ya 20! Nchi hii ni ngumu sana!
  2. Shoctopus

    DOKEZO Wafanyabiashara Kariakoo kugoma Mei 15, 2023

    Nchi hii inahujumiwa na sera mbovu za kodi kwa makusudi! Lengo la kodi ni kufukarisha wananchi wa kipato cha chini. Ndiyo maana TRA wapo kwa lengo la kuwabana machinga, mamantilie, baa na vigrosary mitaani, watu wasio na mitaji au wenye mitaji midogo. Hiyo ndiyo kazi ya TRA ambao wako wengi...
  3. Shoctopus

    Tundu Lissu: Wale wabunge 19 wasio na chama wamelipwa tsh 8 billion kwa miaka 3, tulifikiri ni Wabunge wa Magufuli kumbe ni wa Rais Samia!

    Maridhiano na nani? Kuhusu nini? Kwa faida ya nani? Unadhani wameridhiana kuvunja katiba na sheria?
  4. Shoctopus

    Ofisi Ndogo ya Bunge imegoma kufungua mlango kupokea Barua ya Spika Tulia Kutoka BAWACHA!

    Labda. Lakini ujumbe umefika na dunia imeona nani bwege!
  5. Shoctopus

    Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

    Vuvuzelas as usual![emoji107]
  6. Shoctopus

    Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

    Vipi na wachina wanaokula nyoka wanasisimkaje wakimuona nyoka? Mate yanawatoka au fight or flight syndrome kama wewe?
  7. Shoctopus

    Kiteto: Familia ya askari Polisi - mama na mtoto wafariki ajali ya moto

    Nchi hii ni ya ajabu. Miaka na miaka mabweni, masoko, nyumba zinaungua roho na mali zinateketea; zimamoto wamelala! Hawajui kwamba magodoro, vyandarua, na masponji ni chanzo cha moto mkali na moshi wa sumu. Moto wa sponji unafyonza oxygen haraka sana. Mtu una-suffocate kwa kukosa oxygen na kufa...
  8. Shoctopus

    Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

    Kwani Quran inasemaje?
  9. Shoctopus

    SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Hata wagonjwa wao walitapeliwa au vipi? Na mishahara waliyolipwa imeshakuwa wizi?
  10. Shoctopus

    Soda za Coca Cola haziko sawa

    Labda kuna njemba ametumia akili 'kui-sabotage' c'cola ili biashara yake ipande. Bongoland hii!
  11. Shoctopus

    Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Kwahiyo mbolea halisi ya minjingu ikoje?
  12. Shoctopus

    Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

    Miaka milioni 30 ijayo ni keshokutwa tu. Ndiyo maana tumezidua meli mpya ya baharini pale Muanza.
  13. Shoctopus

    Daraja la Mfugale linatengeneza foleni

    Wapo "wataalamu" wao humu wanasubiri input ya mitandaoni wafanyie kazi kama kawaida yao.
  14. Shoctopus

    Jamani wenzangu mnaishije na 'house girl' nyumbani?

    Wa sasa ni 'hausikero' au 'waifugelo' kote ni majanga!
  15. Shoctopus

    Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

    Kwakweli amefanya makosa. Unless kama gari lilifeli breki.
  16. Shoctopus

    Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Si walisema wanamtaka aje ili ahojiwe? Sasa kaenda mwenyewe lakini hawakumhoji! Lakini tusubiri labda anahojiwa.
  17. Shoctopus

    Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Kama hivyo bado itabidi wajiibu lilitolewa polisi kwa utaratibu gani? Halikuondoka lenyewe!
Back
Top Bottom