Search results

  1. M

    USHAURI :MH.JPM GEUKIA VYOMBO VYA HABARIMEDIA

    Kichwa cha habari kinajieleza. ..nashauri kama kweli nnchi ina nia ya kuwa ya viwanda lazima "minds" za wananchi zielekezwe huko. Vipindi vya redio ambazo nyingi ndio husikilizwa zaidi ziwe na Vipindi vyenye kuelimisha ...kilimo.ufugaji.uvuvi.biashara etc Sio burudani tuu asubuhi mpaka jioni
  2. M

    Tundu Lissu anasema ukweli ila wengi sisi ni wanafiki

    Nashauri aandike kitabu
  3. M

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    Wazo la leo: Asiyefanya kazi
  4. M

    Makampuni ya ujenzi wa makazi

    Huwajui wabongo. ..kwa tabia zao wanaona shida kukaa kwenye apartment. Utakuta anaishi na bata. ..kuko gorofani bata watapandaje. Kibustani cha tembele anakiweka wapi.
  5. M

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    Wazo la Leo: Chama la wana, masikini hafilisiki
  6. M

    Kama ulinunua nyumba ya serikali kwa bei ya corolla nakushauri iuze mapema, Magufuli atazirudisha

    Mleta uzi umesema JAMBO KUBWA SANA mimi nimekuelewa. ..na pia naamini atafanya hivyo. Wasioamini wasubiri awashangaze.
  7. M

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    Wazo la Leo : Mji wenye hela machizi kibao
  8. M

    SWALI: Je, utoaji wa mahari ni malipo ama ni zawadi?

    Ni malipo. ..zawadi gani wakati unakuta tayar
  9. M

    Naona Rais Magufuli anataka kufuta kabisa ajira zisizo rasmi nchini

    Tuache unafiki hatuwezi kujivunia sekta isiyo rasmi inayojiendea shakala bagala. Simply kwa sababu tunaogopa watu watakuwa wahalifu...lazima mianya ya kuishi mjini kiujanja ujanja iminywe ili watu walipe kodi. Tukienda ulaya tunaishia kupiga picha miji ya watu. ..kuonyesha mandhari ...ajabu...
  10. M

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    Wazo la Leo :Usitusumbue mmeo umemwacha form two
  11. M

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    Wazo la leo:Ukimzoea utamla
  12. M

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    Wazo la Leo : walete baba Chumaa
  13. M

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    Wazo la Leo : Kushiriki tumeshindwa..... hata kumkumbatia Rooney tushindwe thubutuuu
  14. M

    Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

    Ndicho tunachoweza
Back
Top Bottom