Search results

  1. S

    Nauliza namna ya kufanya application kupitia NACTE

    Habari za wakati huu wanajukwaa, Naomba mnijulishe jambo fulani, kuhusu namna ya kufanya application kwa course ambazo sio za AFYA na education! (hizi hazifanyiki online, according to NACTE) Nimejaribu kuangalia baadhi ya vyuo ambavyo vina offer course kama business administration, records...
  2. S

    Tetesi: Mtu mwenye Div four ya 26,unaweza kusomea nini??

    Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya 26,ana C mbili,(literature na kiswahili),D anazo tano na F ya mathematics(hayo ndio matokeo...
  3. S

    Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

    MTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni Mnigeria Wizkid. Pamoja na kwamba Wizkid alitangazwa mshindi, mtandaoni ilikuwa inaonyesha Alikiba...
  4. S

    Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    UTEUZI: Leo, Nurdin Babu ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti kuchukua nafasi ya Emile Ntakamulega ambaye alitajwa kimakosa. ============== Nlikuwa natizama hapa Azam two (Kama sijakosea) ghafla mkuu mmoja wa wilaya Mteule akaambiwa atoke nje/atupishe kwani aliteuliwa kimakosa bila hata...
Back
Top Bottom