Search results

  1. DYLM future billionaire

    Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Hamna mwenye ushuhuda wa Bitcoin ikiwa dolar moja alinunua bitcoin hata tano tu,na kuziacha kwenye wallet, leo hii anakula maisha kupitia Bitcoin. Leo iko na thamani ya usd 42,000 kwa Bitcoin moja ,kuwa nazo tano tu tayari ungekuwa kwenye utajiri . Matazamio ni kwamba baada ya miaka 10 tena...
  2. DYLM future billionaire

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Na ndicho alichofanywa mkulima,Jana Rama alichezea 2 bila Kwa mkulima, Leo mkulima naye kachezea 3 bila .Nadhan Rama alijichimbia kujua wapi alikosea.
  3. DYLM future billionaire

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkulima OG,tena waliwekewa elfu sabini,michezo kumi mshindi anachukua.Rama wa Arusha (fundi) kachukua.
  4. DYLM future billionaire

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Mkulima Leo kafa 3 bila michezo kumi,Kwa RAMA ARUSHA mjini hapa.
  5. DYLM future billionaire

    Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Mawazo yote yaliyotolewa ni mazuri Ila Kuna wazo Moja nakushauri na hakikisha unalifanyia kazi,hata kama Kwa mtaji mdogo. Fanya biashara ya NAFAKA,Fanya utafiti uone nafaka zipi dodoma zinauzika sana,na uhitaji ni mkubwa. Jikite hapo mkuu,Utakuja kunishukuru baadae...
  6. DYLM future billionaire

    Arusha mjini VS Bukoba (Muleba)

    Wanajukwaa habari za muda huu! Anataka kuhamia Kagera(muleba) kutoka Arusha mjini. Ni mfanyakazi wa serikali mambo ya mifugo na uvuvi, Yeye anaona akienda huko atapata fursa nyingi zaidi kulingana na kazi yake tofauti na hapa Arusha mjini. Anataka akajiwekeze hasa kwenye ufugaji na uvuvi, je...
  7. DYLM future billionaire

    Nipo Dar, nahitaji hustler mmoja anipe idea ya kuwekeza 400k then nipate Angalau faida ya 20k kwa siku

    Mkuu, mawazo ya kupata hiyo 20,000 Kila siku yapo,mengi tu sema Sasa yanahitaji uwepo wapo muda wote,au usimamizi wa Hali ya juu na kujitoa kikamilifu Ili kupata hiyo 20,000 Kwa siku. Hebu njoo pm , tuzungumze tukielewane nakupa idea upambane mkuu.
  8. DYLM future billionaire

    Nina mtaji wa milioni 10, spea za pikipiki ni sahihi?

    Zinalipa mkuu ila weka nusu ya hiyo pesa ndo uanze kama mtaji na wewe ndio uwepo kwenye duka au wife wako. Zingine wekeza kwenye biashara nyingine ambayo haitakulazimu wewe usimamizi wako. Zipo biashara nyingi tu hapa Arusha, tuwasiliane Kwa mawazo zaidi na ushauri zaidi. (Nipo Arusha pia)
  9. DYLM future billionaire

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Uko sahihi kabisa mkuu,tena sana..,hoja nzuri sana hizo,ndo maana mimi Kwa kuzingatia risk za stock market,nikasema aweke 33% ya pesa zake. Maana yake Kuna asilimia nyingine zitakuwa zinaendesha biashara zingine endapo huko kwenye stock market Kuna loss. Ingawa Kwa kufanya utafiti wa kina kuhusu...
  10. DYLM future billionaire

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Habari yako. Hongera Kwa harakati zako zilizokufikisha hapo ulipo na Sasa unategemea kupanuka zaidi kiuchumi. Fanya hivi (Kwa ushauri wangu).. 1.Jenga nyumba za kupangisha tumia 33% ya mtaji wako,zikiwa tatu au tano sawa,ila usitumie zaidi ya 33% ya mtaji wako kujenga.(ziwe za kuishi au guest...
  11. DYLM future billionaire

    Mliofiwa na wazazi (mama), mliwezaje kuvuka kipindi hiki?

    Mkuu tulipita tu Kwa uwezo wa Yehova,na faraja za ndugu,jamaa na marafiki. Aliniacha ndo namalizia darasa la sita kuingia la Saba.,niliumia ila hatimaye nikazoe na Leo Nina miaka 30+ napambana na maisha. Asante Mungu wa mbinguni.
  12. DYLM future billionaire

    Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Vizuri sana ndugu,pambana hivyo hivyo utakuja kuanza kupata faida zaidi ya hiyo unayopata Sasa, biashara ni uzoefu,maarifa na uvumilivu pia. Binafsi Kwa hiyo pesa Kwa kutumia maarifa na uzoefu wangu wa biashara mbalimbali,naweza tukafanya biashara Kwa ushirikiano na wewe na tukawa tunapata faida...
  13. DYLM future billionaire

    Naomba wazo la biashara, nategemea kupata Tzs 4,000,000/= (Milioni nne)

    Njoo tufanye biashara ya Dagaa na nafaka...,usimamizi na uendeshaji ni juu yangu...wewe kila mwezi utakuwa unapata faida ya 7% ya mtaji wako utakaoweka kwenye biashara, Mikataba ya kisheria tutaandikishana ili kulinda masrahi ya pande zote, UAMINIFU ndo cha muhimu sana kabla ya yote. Karibu...
  14. DYLM future billionaire

    Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Njoo tufanye biashara ya pamoja, nafaka na Dagaa,...wewe usihangaike na usimamizi...wewe leta pesa yako tu Mimi nitafanya kila kitu,...,nitakuwa nakupa 7% kila mwezi,kama faida ya mtaji utakaoweka kwenye biashara.Iwe hiyo million 25, mill 10,au zaidi...yaan kiasi chochote cha mtaji utakaoweka...
  15. DYLM future billionaire

    Nina milioni 22, nahitaji wazo zuri la biashara kwa mkoa wa Arusha

    Mkuu ,nimekusoma nimekuelewa...nipo Arusha hapa moshono,kama utapenda ushauri wangu tuonane,nipigie +255716060677. USHAURI WANGU . FANYA BIASHARA,FANYA BIASHARA...,SAWA BIASHARA NI RISK,ILA IKIENDA VIZURI MIAKA MITATU TU KWA MTAJI HUO TU UNAWEZA KUJA KUJENGA NYUMBA ZAKO ZA KIWANGO NA BIASHARA...
  16. DYLM future billionaire

    Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Sisi Wa Tanzania swala la ajira tena za serikalini,huwa tunaona tumepata uhakika kabisa wa maisha,na waajiriwa wengi wanaamini kuwa hawawezi kuishi bila ajira za serikali au private,...wanasahau kuwa watumishi wa serikali wote ni 524,295(laki tano+). Weka na idadi ya watumishi wa makampuni...
  17. DYLM future billionaire

    Ushauri: Nawaza kuuza kiwanja nifanye biashara baada ya kufukuzwa kazi. Nina familia inayonitegemea

    USHAURI WANGU! Uza kiwanja mkuu,faida ya kuuza kiwanja ni nyingi kuliko kukiacha eti kwa kuogopa sijui pesa itaisha au kupotelea kwenye biashara. Ukishauza,pesa utakayoipata kama itakuwa ni kubwa angalau zaidi ya 5M,basi lipa kodi ya nyumba miezi sita au zaidi kutegemea unalipaje kwa...
  18. DYLM future billionaire

    HARAKA SANA!

    Anahitajika aliyesomea kilimo na mifugo awe hajawahi kuajiriwa serikalini. Pm please!
  19. DYLM future billionaire

    Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

    MKUU ULISHAANZISHA SHULE AU CHUO? USHAURI WANGU, Kama bado hujaanzisha shule au chuo...nakupa.ushauri huu.Anzisha shule ya ufundi na michezo(sijui itaitwaje) ila mawazo yangu natamani iwe shule itakayofundisha ufundi aina zote,kuendeleza vipaji vya watoto wenye vipaji vyote...hasa...
Back
Top Bottom