Oii wadau kweema? Nna kjana mwenzangu anatafuta kjkaz chochote ili mrad ajkimu kmaisha hapa bongo so kama kuna mdau yeyote anakajbiashara chake or whatever tumsaidie na anaelmu ya kdato cha 4 na anaujuz wa kudrive ingawa lesen hana na hana uzoefu xaana
Kama kunauwezekano w,
Namba yangu...
haoo wanaowaita walimu kutoka nje ya nchi si walimu bari kwa kuwa wanaweza lugha ya kiingereza ndo kigezo kikubwa cha kuwapa ajira lakin hawana lolote maana mm nshawahi kufundshwa na hao wanaojiita walimu kutoka nje mwsho wa sku hawana jipyaa kabxaa
daa kiufup watoto wa kondoa n wazurii mnooo na wakkuoenda wanakupenda haswaa ila wanawvu balaa na akibain ww n mdanganyfu katka mapenz anaweza hata kukufanyia jambo la kishrkna maana kwenye hyo mambo wako vzurii balaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.