Search results

  1. Jizi

    Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    Kutoka X mpaka JF,kweli hauvumi lakini...
  2. Jizi

    Naomba kujua kuhusu teuzi

    Sio kweli kwamba mwalimu anaweza kushika kazi yoyote nchini. Mwalimu hawezi kuwa daktari,mwanasheria,Polisi au mwanajeshi na kazi nyingi nyinginezo! Mwalimu anabakia kwenye taaluma yake isipokuwa kazi kama DC ipo kinamna tofauti na DAS ambaye ndiye mtawala na muajili mkuu kwa ngazi ya wilaya
  3. Jizi

    Wale Wazee wa 'Kimwela' mlioomba mpewe Mwili wa Membe je, baada ya Kuukagua mmegundua nini?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Hii ndio inaitwa kua uone
  4. Jizi

    Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Umeanza vizuri umemalizia kama Instagram,yaani watu wajichukulie sheria mkononi kisa Mdude? Kweli kabisa unasema hayo ukimaanisha au wewe unao watu ambao tayari umewa tambua kama watesi wake? Kama jibu ni ndio,si uende mahakamani sasa
  5. Jizi

    Mfanyabiashara Maarufu Arusha, anyongwa hadi kufa nyumbani kwake

    Hii hadithi nani anasimulia? 1. Jirani? 2. Jambazi? 3. Marehemu 4. Wewe muandika uzi huu ukiwa kundi lipi kati ya 1 hadi 3? Kama taarifa iko hivyo,kwamba watu walikuwa wamekaa grosari,kilichozuia wewe na wenzako kuwakamata hao watu kabla au baada ya kutekeleza huo uhalifu ni nini? Naona uzi...
  6. Jizi

    Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Nenda kaangalie wanyamwezi halafu linganisha na hao utajua unasifia rangi husifii uzuri au makalio ya kinyaturu yaliyobebwa na spoko za baiskeli
  7. Jizi

    Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Kama issue ni katikati ya nchi,basi ukiwa unatoka Kitinku kupandisha Manyoni,pembeni ya barabara kuna jiwe kubwa kushoto na bacon ambayo inatambulisha kuwa ndio katikati ya nchi. Dodoma kuwa makao makuu ya serikali sidhani kama kigezo cha kuwa katikati kilitumika
  8. Jizi

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Hata awe mpagani sio lazima awe mkristo kama kazi anaiweza kuifanya vema
  9. Jizi

    Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

    We jamaa umenikumbusha enzi hizi mshua anaacha kalamu kitandani makusudi Sasa ole wako akute imegeuzwa hicho kipondo,utamuita izrael aje kumchukua[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Jizi

    Kimenuka: Kamati ya maadili ya TFF yakutana kumjadili Makamu wa Rais Michael Wambura

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] Boniphace Wambura ni yule alikuwa bodi ya ligi sijui siku hizi yuko wapi maana mara ya mwisho nilimuona anakatisha maeneo ya Clock Tower Arusha akionesha ana mawazo mengi. Michael Wambura ndio huyo mwizi ambaye anaiba kwa mtindo ule ule unaomtesa Malinzi jela
  11. Jizi

    Utabiri wangu kuhusu Ronaldo na Madrid....

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] angalia wakati ana dribble mpira lile goli la pili alipompanga mwenzake,kutanua uwanja,akampatia pasi ambapo within a minute watu wametikisa nyavu. He is magical Ronaldo[emoji460]
  12. Jizi

    Utabiri wangu kuhusu Ronaldo na Madrid....

    CR7 ni mnyama sio mtu wa kawaida. Huwa sifurahii kumfananisha Messi na Ronaldo sababu ubora tu,Cristiano yuko vema zaidi. Hizo rekodi za mabao,CR7 amevunja kwa mechi chache sio kwa lundo la mechi kama Messi lakini watu wanampigia chepuo Messi
  13. Jizi

    Kwenye msiba wa mwalimu Nyerere Nelson Mandela alihudhuria?

    Serikali ya USA ilimtuma Waziri wa Nje wa wakati ule Bibi Madelaine Albright alikuja nchini
  14. Jizi

    Mwenye CV (wasifu) wa Kamanda Lazaro Mambosasa aweke hapa

    Ukishaliwa na askari yeyote,hata upate bwana anayekupa kila kitu,lazima urudi kukazwa na hao watu,ukikazwa na Polisi,ukiachana naye utakwenda kwa mwanajeshi ukiachana naye utakwenda magereza ukiachana naye utakwenda TISS almradi show wanayokupiga unaridhika nayo,ndio uswahili husema show za...
  15. Jizi

    Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    Kapumbazwa na Gabo katika tamthilia ya KAPUNI kama ambavyo wewe nawe umepumbazwa na mbupa yake ndio maana pamoja na kutopika,bado kakuagiza mishkaki na umemnunulia badala ya kukataa na kumwambia apike aache TV. Ugonjwa ulionao ndio unao ambatana na hizi tarehe mpaka kufikia tarehe 20/02 Sent...
  16. Jizi

    Bosi Ruge una akili sana, nakushauri ujiepushe na mabifu usije kuuawa tukaikosa akili yako

    Fwalwa kanywe uji ulale kwa bosi wako. Hujaumiza akili kujiuliza kwanini hao wanamuziki nguli wamlalamikie na sasa hawa wadogo wa juzi tena? Halafu kwa ufwalwa wako unamuita bosi!
  17. Jizi

    Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

    Leta ya kwako maana unaleta u sokomoko chapombe
Back
Top Bottom