Search results

  1. K

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    duh! uchizi mtupu!!!!!!!!!!!!!!! wanashindwa kuwawezesha wananchi kulima kisasa, matokeo yake wanaiuza nci hivi hivi. ninapinga kwa nguvu zote mppango huu. ni matumaini yangu NGOs, wanasiasa makini, wasomi na 'cadre' mbalimbali za watanzania watapinga mpango wa aina hii. ccm walianza kuuza nchi...
  2. K

    Safu ya uongozi CHADEMA haipangiki

    Kumbuka kuwa chama 'is a living organ', kinakua. wakati TANU inachukua nchi toka kwa wakoloni, walioonekana kumudu ongozi walikuwa wachahe sana.....baadae waliongezeka ikiwa ni pamoja na wasomi kujiunga nayo na wengine maarufu katika jamii na wenye uwezo. chadema kikiingia madarakani kitaunda...
  3. K

    Josephine akanusha madai ya Mbunge

    Hivi slaa ametajwa wapi kwenye thread hii? anayezungumzwa ni Josephine, mjadala unaelekezwa kwa Dr.!!!!! hivi can't we stick to the focus alone? acha 'president' wetu atulie.....acheni hizo. we unayemponda kuhusu usafi wake kwenye ndoa, unadhani kwa kufunga ndoa tu ndio ticket ya mbinguni? No...
  4. K

    Magazeti haya yanachefua-kila siku CHADEMA

    magazeti hayo yote ukweli ni kuwa yanafanya kazi moja tu - kumtafuta mchawi wa ccm na serikali na kisha ku'deal' nae 'perpendicularly'.kwa sasa CDM ndio tishio lao hivyo wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanakishambulia ili kukisambaratisha.uzuri ni kwamba hawatafanikiwa. they are mouth...
  5. K

    CHADEMA Geita wamtolea uvivu Shibuda;Wataka aondolewa CDM

    na we mwana magamba hebu tuondokeshee nuksi zako hapa!!!!! unapenda 'kirusi' shibuda aharibu chama eh. umechemka. hawezi achwa hivi hivi tu...adhabu kali inamgoja.
  6. K

    Mnyika amuweka Pinda kitanzini; Adaiwa kutumia Bunge kukwepa maswali

    Ewe fisadi mkuu! tutafutie japo ka-cv ka hilo 'kabati' ili tumjue.yewezekana ni kutokana na elimu ya ngumbalu....lakini pia hii ndio tabia ya ccm wote....walopobanwa kwenye mijadala ya 'uchaguzi majimboni' pale tbc, ccm walisitisha wagombea wao wote wasishiriki. hata walipokuwa wakialikwa kwenye...
  7. K

    Mbunge wa Kilindi aipaka JamiiForums

    We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light. Plato
  8. K

    CDM mnawasaidiaje hawa sasa ?????

    hoja yako ni dhaifu.kwani migomo husababishwa na cdm? houni matatizo yanayowakumba wanafunzi wa vyuo? umesoma chuo kikuu wewe? hali kwa kweli ni mbaya. wanafunzi wanagoma ni kwa sababu ya matatizo yanayowakabili.lakini pia ahadi hewa wanazopewa na serikali ya ccm.mfano ni ahadi ya waziri mkuu...
  9. K

    CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

    tafadhali tofautisha kati ya kauli ya chama na kauli ya mtu binafsi. Lema ameongea kama lema, vinginevyo angesema kuwa katumwa na chama chake. yupo msemaji mkuu-mwenyekiti/katibu mkuu wa chama.vuta subira kwanza.sikia wakuu wamesemaje kama kauli ya chama ndio utoe hoja yako.cdm kiko makini sana.
  10. K

    CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

    hivi NAPE, mgogoro wenu ule wa arusha ulikuwa ndio mwisho wa ccm? migogoro yote iliyotokea katika chama chako cha mafisadi ndio mwisho wenu? well, utaona tatizo hili litakavyoshughulikiwa na chama cha ukombozi (toka kwa makaburu weusi)-cdm kitakavyoshlishughulikia tatizo hilo. mambo yatakaa...
  11. K

    Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme!

    eeh! hiyo ni salamu tu kwa ccm. watz nao wataandamana tu mpaka kieleweke.haiwezekani matatizo mengi toka uhuru hadi sasa yako hovyo.kilichobaki ni mapinduzi tu.
  12. K

    Lissu abadili upepo UDOM

    mtu mwenyewe ndo kwanza unajiunga....bahati mbaya huna hata hodi!!!!! unaingia hadi chumbani...ukikuta......! we acha hizo.cdm wanawafumbua macho wananchi......kama wanafunzi wanagoma basi ni kwa sababu sasa wamejua haki zao. na kwa vile chama chako ccm hakishughulikii matatizo ya wananchi mpaka...
  13. K

    How can Tanzania afford to pay more than in the US or UK?

    Hii ni hatari!!!!!!!!!!!!!!!! wakati nchi ya marekani inawalipa wajumbe wa baraza lake la 'congress' USD174,000 kwa mwaka na kenya USD 136,000; Tanzania inamlipa mbunge mmoja USD109,000 Kwa mwaka. kulingana na maendeleo yaliyofikiwa na marekani,ukilinganisha na tz....kiwango wanacholipwa wabunge...
  14. K

    Kampeni Kupinga 'chenji' ya fedha za Radar wasipewe tena Serikali

    liserikali hili la ccm ni la ajabu kweli! yaani halina hata uchungu na pesa za wavuja jasho wa nchi hii......na tena wote ni mafisadi tu....kama wangelikuwa na uchungu na nchi hii basi tangu serikali ya uingereza ilipobaini wizi ule wa BAE system na kuwataka warejeshe pesa...
  15. K

    Hivi rais Kikwete ni mtanzania kweli?

    kumbukeni huu ni muhula wake wa mwisho. asipoimaliza dunia kwa mara nyingine tena atapata lini fursa hii? hata kama waziri wa fedha anatuhadaa eti wamepunguza safari za nje...ni uongo tu.......tumpige chini huyu.....kiongozi haangalii watu wake...kila siku kwa jirani!!!!!
  16. K

    Wabongo kweli wamechoka!!

    mabango ya aina hiyo yakifika mia moja bila shaka atajiuzuru tu.......wananchi wamechoka!!!!!!!!!!!!!!!!!! maisha bora yamepepesuka na upepo......................
  17. K

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    unategemea afanye nini ilhali kila kitu pale bungeni kinaenda kichama? aliwekwa pale kwa makusudi ili kuhakikisha ccm haiaibishwi....
  18. K

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Ati waziri mkuu mzima anatetea posho za wabunge kwa kusema zinawasaidia wabunge kuzigawa kwa wapiga kura wao wanaowafuata kwa kuomba nauli mara watokapo nje ya ukumbi wa bunge. Hivi utetezi huu rahisi unafanana na mtoto wa mkulima kweli.aache kutuhadaa watanzania. yeye na watetezi wenzake wote...
  19. K

    Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

    Hata buguruni dsm, miezi michache iliyopita kuna binti nyakati za usiku alichaniwa kimini chake na kutiwa vidoleeeeeeee......mpaka akawa hoi.....akaokolewa na dereva wa taxi na kumkimbiza. hili ni fundisho kuwa watz hawana utamaduni huu na wala hawawezi kuvumilia.saaaafi kiasi.wadada waache...
Back
Top Bottom