Search results

  1. The River

    Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

    wakuu nimefuatilia maoni yenu kwa ukaribu zaidi,,,niseme tu ahsante kwa kuonesha kujali,,ngoja niunganishe baadhi ya mawazo niliyoyaona yanafaa halafu nitengeneze msimamo wangu,,, nitarudi kuwapa mrejesho kitakachotokea
  2. The River

    Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

    hapana sina gubu,,,dem huyu anazingua sijui atakuwa atakuwa anarubuniwa na washikaji hata sijui,,,na tumefunga ndoa kabisa ya kiserikali
  3. The River

    Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

    yaani huyu mwanamke ni pasua kichwa, ana kiburi hatari nilishapiga sana hadi nimechoka, mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali aniokoe
  4. The River

    Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

    wakuu nina mke kiburi sana, Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu. Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje? Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
  5. The River

    JamiiForums Usiku wa manane

    nimezinguana na wife muda huu sina hata usingizi
  6. The River

    Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    huu uzi ufutwe kama vipi maana haueleweki utaisha lini
  7. The River

    Wasabato wanaamini kuwa Wakatoliki Wamarekani na Shetani wanakusanya nguvu kubwa ili kuwaangamiza mwishoni mwa dunia

    Mwenyezi Mungu akusamehe kwani hujui ulitendalo,,,watafute hao wasabato ukiwa na hoja zako hizi kisha mjadiliane kwa pamoja ninahakika utapata majibu sahihi,,,masuala ya kiroho yanahitaji nguvu ya Roho Mtakatifu mkuu mimi nakushauri uwatafute wenyewe mjadiliane pamoja ninahakika baada ya...
  8. The River

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    tulia dawa ikuingie,,,tulio weng tuko upande wa mama,,nyie msubiri kwanza sio zama zenu sasa hivi
  9. The River

    Huwa unasolve vipi hii tabia ya wapangaji wenzako?

    mimi kwa upande wangu tabia inayonikera ni uchafu... yaani watu utashangaa anaingia toilet akiwa na kikombe cha maji...sasa jaribu kuingia baada ya yeye kuondoka utakachokikuta ni siri yako
  10. The River

    Fahamu ukweli kuhusu radi na radi ya kichawi na namna ya kujikinga

    et ni kweli wakati wa mvua si vizuri kutumia simu? mfano kupiga au internet unaweza kupitiwa na radi?
  11. The River

    Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    Mmmh, hii kwa kweli siijui labda kuna mtu mwingine
  12. The River

    Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    huyo mbona simjui ametokea wapi mkuu?
  13. The River

    Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    mmm afadhali wewe una miaka 39,, wengine huku tuna miaka 41 hatuna kazi ya kueleweka, hatuna madem tunaachwa kila siku tukiwapata,, wazazi wetu maskini hawana chochote,, tuna vyeti vyetu ndani tumeviihifadhi vizuri kabisa..... yaaan kwa kifupi hatuna namna tumekubaliana na hali halisi
  14. The River

    msaada biashara ya udalali

    sawa nipatie maelezo ya kina bas mkuu
  15. The River

    msaada biashara ya udalali

    habari wakuu,,. naomba kwa anayejua kwa undani biashara/kazi ya udalali wa mahakama anisaidie,.. yaani nahitaji niwe na kiasi gani cha kuanzia,vitu vinavyohitajika ili nipate vibali vyote na faida ya hii kazi,.natanguliza shukran
  16. The River

    Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    mkuu hii noma sasa,.. wanaweza kukuhisi tofauti wanaweza kudhani umeishiwa kabisa
  17. The River

    Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

    mmmh hii inshu ya kunyimwa unyumba huwa nasikia tu kama hivi,. mimi kwa upande wangu sijawahi kunyimwa kabisa kila nikitaka najipatia tu kiulaini,,,sasa mkuu ukinyimwa mi nakushauri utafute mwingine tu ujikomboe kwa nini upate shida?
  18. The River

    Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    nas nashukuru sana kuna umenisaidia mkuu
Back
Top Bottom