Search results

  1. adden

    Simba Panthera - Fact File

    Simba ndiyo mnyama mkubwa kuliko wote katika jamii ya paka. Simba hupatikana Afrika na Asia, idadi yao ikitizamiwa kufikia 23000(elfu 23), huku Tanzania ikiongoza kwa kuwa na idadi ya zaidi kuliko nchi zote. Simba wako katika hatua ya kutoweka (vulnurable). Ndiye mnyama pekee jamii ya paka...
  2. adden

    Uzi kuhusu hapo katikati

    Habari wadau. Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie, Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa! Niliitwa kituoni jana jioni kufika pale hapo katikati wakaniweka lokapu. Kweli wanawake wote wa sasa hivi ni wazuri...
  3. adden

    Broken english "THREAD"

    huu ni uzi maalum wa kuongea broken english tuu. yesterday i will went to home. delete me people will download😎 jazieni zingine
  4. adden

    Sarkodie

    huyu jamaaa huwa namkubali sana miondoko yake.. hasa ile ngoma ya PAINKILLER! anateremka na biti kama hataki. style yake ya kipekee kabisaaaaa! big up sana sakordie
  5. adden

    Pande za moshi: Yule babu muhindi muuza juisi bado yupo?

    Habari za pande zote. Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town) Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo?? Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale zilikuwa tamm sana. Nilikuwa napenda ukifika pale ukataka juisi,basi anafungua friji anatoka na...
  6. adden

    Ni kero kubwa sana kwangu mtu kuongea na mimi huku ananigusa au kunisukuma...

    Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu.. Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
  7. adden

    Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

    Habari za wikiendi.. Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda. Mimi napenda sana Why men love bitches. Manipulated man. Tutarudi na roho zetu. Tai kwenye mzoga. Zubaa uzikwe. Ongezea na zako zingine
  8. adden

    Ushimen sikujui unijui ila nakuulizia huku ndugu yako!

    habari za jioni. samahani kama nawasumbua. nilikuwa namuulizia jamaa anaitwa Ushimen kama yupo humu. shida yangu ni kumsalimia tuu. sisi watanzania tumefunzwa utamaduni wa kujuliana hali hata kama hamjuani. kama unamfahamu na hayupo humu mpelekeeni salamu zake.
  9. adden

    Taja tukio la ujambazi uliwahi kushuhudia au kusikia uelezee ilikuwaje!

    habari mabwashee.. elezo kichwa cha habari. kama katika matukio ya ujambazi nilishuhudia ni haya.. ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni hivi.nilikuwa ndani ya costa kutoka moshi kuelekea arusha.kufika maeneo ya KIA costa ikasimama kupakia abiria ambao walikuwa masai 2 na jamaa mwingine 1.kwa haraka...
  10. adden

    Mpenzi wangu anakuja ghetto bila taarifa nimfanyeje?

    Poleni na majukumu. Kweli katika mahusiano huwa napenda mipaka, huwa niko straight lakini wapenzi wetu kibongo bongo wanapenda kufosi mambo sana. Huyu mwanamama ni msomi na anajielewa nilimuona amestaarabika sana lakini haishi tabia ya kunishtukiza geto Serious sipendi mtu yeyote hata awe mama...
  11. adden

    Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

    Habari waungwana. leo nimeweka mezani kwa yoyote mwenye swali interest kuhusu wanyama wa porini.uzi huu ni muhimu kujifunza tabia zao maisha yao kama una swali linakutatiza jiskie free uliza kwa kadiri nnavyoweza nitakujibu au ataekuwa na ufahamu zaidi humu jukwaani atakujibu.ni vizuri kufahamu...
  12. adden

    Ukatili wa binadam katika picha(inasikitisha)

    Binadam akilaumiwa kwa ukatili wake dhidi ya wanyama.
  13. adden

    Nimetaftiwa mchumba ambae alikuwa dem wangu!

    Heri ya msimu huu wa sikukuu. Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile.... Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke nioe nitake nisitake au kama nna tatizo niseme walitaftie ufumbuzi. Hahaha sijui wanahis mi sidisi...
  14. adden

    Madem niliochana nao wanaweka picha zangu DP

    Wanajukwaa mu hali gani? Mada yangu ni kuomba ushauri wa kisheria.Naomba radhi kama nimekosea kwa kuweka humu hili angalizo. Kuna mademu zangu watatu nilishaachana nao lakini wamekuwa wanabadili picha zangu kwenye whatsApp profile au hata status! Hili jambo linanichukiza na nimewaonya sana...
  15. adden

    Picha zilizobeba meseji nzito.

    Akili ya binadam vile ya kijinga. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. adden

    Delete for me

    Daahhh si nimetuma picha ya manzi yupo uchi kwenye grupu la directors. Kwa haraka niwahi kufuta nikajikuta ni delete for me badala delete for everyone. Imebid ni left grupu tuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. adden

    Kuna wanawake wamebarikiwa

    Huyu mdada kwa umbo lake jembamba kutokea Tanga. mwendo wake laini na pamba anazonyuka hutatoa macho yako kumtazama.sauti km ndege mnana ya kudeka. Aliingia nilikuwa na mshkaj wangu tunakula vyombo club.. Nikamzengea ikatiki. Stori yenyewe hiii hapa. Kufika chimbo ufundi mwingi sana. Ikafika...
  18. adden

    Nimempa kufuli sio lake

    JF sema yeeee! Hahahaha Nacheka tuuu sa hizi. Baada ya kubanjuana dem kaniomba nimpe kyupi yake. Na giza lile la chini kitanda nikaanza kupapasa nikaokota nikampatia. Afana leik Limetoka bonge la chupi yaani ameivaa ikawa km pedo hahaha (Yaani weee kaka sitakaa ht nikusalimie kw...
  19. adden

    Nani amewahi kukutana na mwanamke aina hii.

    Habarini wanafamilia wa JF. Niende chapu kwenye topic yangu. Km mwezi umepita nilianza kuwasiliana na huyu mama wa makamo.yupo kwenye 38 aged hivi. Chatting kwa wingi na mara kadhaa nilikuwa nafika ofisini kwao kikazi... Chatting nyingi za huyu dada ni yale mapenzi km mnaekti pono vile... Kuna...
  20. adden

    Uzi maalumu wa side mnyamwezi.

    Siku hiyo side mnyamwezi alikutana na mwanamke mzuri. Akaimbisha akakubaliwa kufika gest saa ya kulala side akataka kwenda kuzima taa yule dem akamzuia side kisha akanyoosha kidole kikawa kirefu hadi kwenye swichi na kuzima.Side acha apige kelele huku akikimbia uchi kutoka nje.kufika nje...
Back
Top Bottom