Search results

  1. adden

    Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

    Tulimficha mama yetu khs kifo cha magufuli.sababu pia alikuwa amepata nafuu baada ya kuugua muda mfupi...lakini baada ya siku 2 mbele mama alienda zake pia.ikifika kipindi hiki nakuwa na majonzi sn.
  2. adden

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Mungu ampe mapumziko mema.wote njia yetu ni moja
  3. adden

    Majangili wajeruhi Askari wawili wa TANAPA katika Hifadhi ya Burigi Chato

    Jangili sio mtu mzurii kbs.. Ukiona jinsi wanawatega wanyama utalia kwa mateso ya yule mnyama!!jangili akishikwa na kizibo dawa ni kutupa kwenye mto wa mamba tuu.
  4. adden

    Bobby Blake mcheza pono maarufu wa zamani aliyeamua kutubu

    Hiyo kanisa ina branch tanzania Sema hakyanani...
  5. adden

    Bobby Blake mcheza pono maarufu wa zamani aliyeamua kutubu

    Hiyo kanisa ina branch tanzania?
  6. adden

    Wagner ndo akina nani?[emoji2375]

    Ni jeshi la kukodi(mercenaries).yaani jeshi la mtu binafsi kama ilivyo suma jkt(hahaha)
  7. adden

    Msaada wa dawa ya Jino

    Tafuta ndulele(tulantu) lile tunda kausha then lisage..unga wake dondoshea apo panapouma.ukisikia tena shida ya jino nenda kalitoe
  8. adden

    Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

    Kuwa na uhusiano na mwanachuo ni (suicide mission).. Maana wao kila jambo wanachukulia poa tuu wala hawajali uhusiano wenu. Na akiona umetangaza ndoa anaona we ni kenge una shobo tu. Africa mwanamke akishajiona msomi jiandae kisaikolojia.
  9. adden

    Visungura, Shisha vyazidi kuteketeza Vijana nchini

    Vijana wa sasahivi hawajali mbele yao itakuwaje.NO FUTURE. Kama mtu anaendesha pikipiki kainua miguu yote juu we unapata shida ya nini kumuwaza
  10. adden

    Basi la New Force lanusurika kupata ajali nyingine Kitonga

    Chuma inatembea spidi laki..halafu ikitanua hairudi mzee unapisha mwnywe
  11. adden

    Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

    Maisha ukiyafanya siriaz sana yatakupeleka makosaa.. Mimi kila nnavyoona sitoboi ndio nikawa naona milango iko wazi.sikutumia nguvu nyingi sana life likaja vizuri tuu. All in all naamini maisha ni bahati tu na kila mtu anaye ya kwake!haitakupita itakuja kama vile riziki mafungu saba. Hapo...
  12. adden

    Ushawahi kuaminishwa na mganga kuwa huwezi kupata kazi lakini ukapata bila kutibiwa/kuaguliwa?

    Juzi nimempeleka ndugu yangu anaehisi amelogwa na mke wake...mi nimefika nikajifanya usingizi umenipitia nikawa naskia akiongea na huyo mganga wa kipemba.Hhahah yaani afu huyo mganga anavyojifia kila muda mara alikuja bahresa apa hawez kutembea nikamtibu,sijui mara alikuja fulani si unamfahamu...
  13. adden

    Ni kweli Simba waliovamia Iringa vijijini wamefika maeneo ya karibu na mjini?

    Tabia za wamasai kule ndutu ngorongoro.. Kufkuza simba na kuwaibia vitoweo vyao.. Kawaulize wamasai wanajua kisasi cha simba kilivyo. Simba ni mnyama anaeyependa kulipa sana kisasi chochote utachomfanyia atalipiza iwe kwako au kwa mali zako. Wanaweza kuja kuvamia zizi lako wakaua mifugo hata 50...
  14. adden

    Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

    Umeoa moja sio mia moja
  15. adden

    Hivi ni kwanini Waafrika wana chuki na matajiri?

    Huwez kuwa mweusi ukawa na roho nyeupe
  16. adden

    Nimesikitika sana kwa Tukio hili

    Tena niga wee ndo ungekufa wa kwanza kama muvi ya predator..maana wazungu katika muvi zao nyeusi au macho ndogo(mchina)ndo huanza kufa.papasi wee
  17. adden

    Je, unafahamu ngoma ya Forever Young ya Jay Z alikuwa na maana gani?

    Naomba kwa heshima na taadhima unitafsirie muziki wa tupac HELL FOR HUSTLERS na MADE NIGGAZ
Back
Top Bottom