Search results

  1. K

    Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    Si kweli ndugu yangu. Jengo halina matatizo unayoyasema. Kilichotokea ni kama ifutwavyo: Tiles za gorofa ya nne zimebanduka na kilichosababisha ni joto. tiles zilizowekwa haziendani na mazingira ya joto ya sehemu zilizotumika. as we speak, shughuli zote zinaendelea kama kawaida na wakandarasi wa...
  2. K

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    kukata rufaa kutasaidia kuepusha gharama sana kwani mwisho wa siku lema atachaguliwa tena. Cdm inapendwa sana jamani, tuonee huruma kodi zetu. However, nasikia lema kasema yeye hatakata rufaa mahakamani bali atakata rufaa kwa wananchi. Let us wait and see the results after 90 days
  3. K

    Namhusudu sana MBOWE!!

    This time they have come up with MOVEMENT FOR CHANGE (M4C)
  4. K

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    I think we are in the same basket my friend
  5. K

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Year i had this even of itv in few minutes
  6. K

    CHADEMA: Tunalinda kura kwa helcopter

    All in all, The Arumeru Citizen should make change. How come you get cheated that CCM will change your life standard while they had a 50 years of doing that? open ya eyes and make changes. VOTE for opposition parties and not the rulling one. Kila la kheri, Endeleeni kutujuza. Pia, Tulinde kura zetu
  7. K

    Nauza shamba m20 eka 1 lipo Arusha nje kidogo ya jiji.

    Touch base with someone called H. Muro on 0784 260864. He will assist you
  8. K

    Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

    Soma MICHUZI PLOG
  9. K

    Kwanini Dr. Slaa anawasifia polisi?

    sijaiona hiyo twitt ya Dr.slaa and am following him on twitter
  10. K

    Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Let us leave this matter to politician and journalist them selves. Zitto ni mtu wa watu, and we support him. he knows politics. for the case of Presidential sit. this is time for Zitto, CHADEMA should allow ZITTO
  11. K

    Wakuu mwenye format ya baruza za tend zinavyo kuwaga naomba anisaidie

    In Tender, there is two issues namely, Open and restrictive Tender. each type of Tender has its distinct feature. Kindly elaborate in order for us to assist you.
  12. K

    Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    Kwanza nakupapole kwa yote, hii ni mitihani ya Allah! Pili, tunashukuru kwa mwenyezi mungu kukujalia na kukupa uwezo wakuwasiliana nasi. tatu, tunashukuru kwa kutujulisha juu ya afya yako. Mungu ajalie operation iwe successfully. We are together on this brother
  13. K

    Lundenga wa Miss Tanzania awaomba radhi watanzania

    wadau, kindly assist me on how to post news on JamiiForum. Thank you
  14. K

    Hitma ya aliyekuwa branch director wa crdb vijana branch - mr. Sekoutoure mndeme

    SEKOUTOURE KHALIFA SULTANI MNDEME (24thJuly, 1965 -- 10th July, 2011)APPRECIATION On Sunday 10thJuly 2011, Sekoutoure "Toure" Khalfan Mndeme, a director of CRDB Bank, Vijana Branch, in Dar es Salaam passed away at the ApolloHospital, India, following post-surgery complications. We...
  15. K

    Hitma ya aliyekuwa branch director wa crdb vijana branch - mr. Sekoutoure mndeme

    Hitma ya aliyekuwa Branch Director wa CRDB Bank, Vijana Branch, Mr. Sekoutoure 'Toure' Mndeme itafanyika tarehe 17/09/2011 nyumbani kwake Kunduchi mtongani kuanzia saa 7:00 mchana
  16. K

    Kha..! Nyie BAKWATA kulikoni..?

    Dini ni imani na kila mtu anaimani yake. Hebu kila mtu afate imani yake na tusikwaruzane kwaajili ya imani ya mtu na wala si vizuri kuitana makafiri. Kumbukeni hadithi ya Mtume Mohamed (s.a.w) pale aliposema jirani yako ndo ndugu yake, hapa mtume hakutaja dini. kwenye nukuu yangu ya mwanza...
  17. K

    Kha..! Nyie BAKWATA kulikoni..?

    Kila taasisi ina taratibu zake. kabla ya kulaumu ni lazima ujue taratibu za kila taasisi. Kwa Tanzania Bara Shekh wa mkoa wa DSM na anamamblaka ya kutangaza mwezi na Shekh Suranga wa Tanzania visiwani anamamlaka yakutangaza mwezi kwa visiwani. Quran inasema fungeni kwa kuuona mwezi na fungueni...
  18. K

    Hawa ndio walipa kodi wakubwa nchini; NMB yabwaga Benki zote

    Makampuni makubwa hayaonekani kwasababu yanafanya kitu kinaitwa TAX PLANNING. hebu jiulize ni sh ngapi kampuni za simu zinapata kwa siku on sms, phone calls and money transfer. or ask your self ni kiasi gani AZAM anapata kwa siku. TAX PLANNING inafanya uone matumizi ni mengi sana na pia...
  19. K

    Hawa ndio walipa kodi wakubwa nchini; NMB yabwaga Benki zote

    Makampuni mengine hayapo hapo kwakua yanafanya kitu kinaitwa TAX PLANNING. na kibaya katika TAX PLANNING inamhitaji Commissioner kugundua na kua Add back taxable expenditures. hebu jiulize, kampuni za simu kwa siku zinaingiza kiasi gani? pia, iko wapi AZAM, Caspian and the like. Watanzania...
  20. K

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Mimi Nashauri kama ifuatavyo:- 1. MH. WAZIRI MKUU (i) Ulikua unafahamu mamlaka ya Luhanjo? (i) Nini unasema baada ya Luhanjo kutoa maamuzi badala ya Raisi kama ulivyo waahidi watanzania? (i) Unahisi au unadhani umedhalilishwa? (i) Kwanini usijiuzulu ili kulinda hesma na hadhi kubwa...
Back
Top Bottom