Search results

  1. F9T

    Bei ya vifaa vya maabara ya physics

    Salaam wakuu . nilikua naomba msaada wa kutajiwa bei ya vifaa vifuatavyo . 1. Voltmeter,galvanometer, ameter, resistors (rheostat) 2. Calorimeter. 3. Spiral springs. 4. Laboratory beam balance . 5. Stopwatches . Nahitaji kufungua home laboratory kwa ajili ya kuwapga msasa vijana hasa somo la...
  2. F9T

    Matunzo ya mtoto pindi wazazi wakitengana yanakokotolewaje mahakamani?

    Salaam Wakuu. Mimi nilikuwa naishi na mwanamke, tumefanikiwa kupata mtoto mmoja. Sasa imefika hatua tunataka kutengana tuende mahakamani. Hatujafunga ndoa yoyote, mimi ni mtumishi wa umma mke wangu ni mama wa nyumbani. Naomba kujua swala la malezi ya mtoto litakuwaje? Yaani mahitaji yake...
  3. F9T

    msaada wa wimbo huu wa rama d

    mwenye kujuà hata jina LA wimbo huu wa rama d, kwenye chorus anaimba "bila yako we,siwez kufanya chochote, nakupenda nàkuhitaj sana....." mwenye nao naomba nipatiwe
  4. F9T

    vita dhidi ya dawa za kulevya

    naishauri serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani ya nchi, ipeleke mswada bungeni wenye kutaka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa yeyote atakayepatkana na hatia ya kusafirisha au kukutwa akijihusisha na biashara hii haramu ya dawa za kulevya. wakati mwingine sheria ikiwa kali sana kidogo hali...
  5. F9T

    msaada wa kisheria tafadhari

    wakuu naombeni msaada wa kisheria kwa hiki kitu nilichoulizwa na mwanafunzi wangu ktk somo la URAIA, ni hivi sheria inasemaje kwa mama mzazi anapohukumiwa kifungo cha jela na wakati huo mama huyo akawa ananyonyesha mtoto mchanga? je, atakwenda naye mtoto gerezani? na kama akienda naye mtoto huyo...
  6. F9T

    Wakina dada, kwanini mnapenda sana hela?

    Salamu wakuu, Hapa mtaani ninapoishi kuna kabinti nimekasotea sana kukatongoza mwisho wa siku kakanikubalia tuwe wapenzi, nikaanza kukomaa nako tukapatisha kama one week hivi kakaanza mara ooh 'darling i'm creditless & so far. Kamanda nikawa najitutumua kiugumugumu kila nikiomba game analeta...
  7. F9T

    msaada wa wimbo

    naomba mwenye link ya wimbo wa sister p ft ney wa mitego-nani mkali
  8. F9T

    CCM ni ileile?

    hv unaanzaje kusema ccm ni ileile wakati hii ya sasa haina fisadi mkuu lowasa, haina wazee 'wenye busara' kama kingunge.? je, ni kwl ccm ni ileile?
  9. F9T

    msaada wa jina la wimbo

    mwenye kujua jina la wimbo huu anisaidie au kama kuna link yake naweza kuipata ntashkuru, wimbo huo ameimba jose mtambo ft roma & darasa, kuna mstar roma anasema 'rafiki wa mlinzi wa geti, ni beki tatu'
  10. F9T

    Maajabu ya Wapinzani: Wanadai NEC huru lakini wanamtaka Magufuli aingilie ZEC!

    haya ndo maajabu ya upinzani wa tanzania, wanalilia tume huru ya uchaguzi (NEC), wakati huo huo wanamtaka rais magufuli aingilie tume ya uchaguzi zanzibar (ZEC), duuh yaan ni sawa na kutoa sifuri na kuingiza zero. wapinzan wa tanzania kumbe nao ni jipu
  11. F9T

    Dege lililobadilishwa gia angani latua Kilimanjaro International Airport

    hatmae lile dege kubwa la AIR CHADEMA likiongozwa na capt.mbowe linatarajiwa kutua ndan ya kilimanjaro international airport, ikumbukwe kuwa dege hili ndo lile ambalo rubani wake alibadili gia likiwa liko angani, ni kitendo cha kishujaa na ambacho hakijawah kufanywa na ruban yeyote dunian lakini...
  12. F9T

    Kila akikutana na mpenzi wake wa zamani analia

    Wa salaam wakuu. Nina rafik yangu ambaye mwishon mwa mwaka jana 2015 kuna girl walianza nae uhusiano, kwa madai ya jamaa ni kuwa wanapendana sana na huyu girl. Sasa kilichonileta jukwaan ni kuwa jamaa anadai huyu girl wake huwa anakosa amani hadi kupelekea kulia kila wakikutana na x...
  13. F9T

    Natafuta wimbo wa Jose Mtambo na Roma Mkatoriki

    wasalaam wakuu, heri kwenu nyote, mm ni mdau wa muzik, ila ndo walee wa "shabik anaban nyimbo, na show anaingia free" hahaha, wakuu nimekuja jamvini mnisaidie kuna wimbo ameimba JOSE MTAMBO akiwashrkisha ROMA MKATORK na DARASA, naomben mnisaidie kujua tu jina la hyo song, natangulza shukran
Back
Top Bottom