UDSM pamoja na umaarufu wake na heshima yake nchini ukilinganisha na vyuo vingine lakini ndio chuo ambacho wafanyakazi wake wanaishi kwa shida kuliko chuo chochote nchini. Yani hali ilivyo kwa sasa ni mara 10 kufanya kazi vyuo vidogo kama CBE, IFM, NIT etc kuliko kufanya kazi UDSM. Ninachowasifu...
Kijana yangu mmoja ambaye sasa ni mwalimu wa chuo fulani maarufu kaja akaniambia kaka haya maisha sio kabisa, labda amerogwa. Akasema alikuwa anachat whatsapp na marafiki zake aliomaliza nao degree miaka 8 iliyopita, mmoja wa hao marafiki alikuwa anawajulisha wenzake kuwa ameomba kazi mahali na...
Kama kuna group la watu ambalo litaiangamiza CCM mwaka huu, basi ni walimu. Huko vyuoni ndio balaa si walimu si wanafunzi yaani ukikuta watu wamekaa ukaanza kuongea CCM watu watatapika maneno utadhani sijui umewaambia nini, huko chini napo mpaka primary wengi wana vinyongo balaa. Sijui CCM...
Nilikuwa mahali, kwa bahati mbaya kuna wanafunzi wa IFM walikuwa wanaongea nikawa nawasikia. Inaonekana wapo kwenye mitihani kwa sasa. Lakini walikuwa wanaongea jinsi usimamizi wa mitihani ulivyokuwa wa kizembe hapo IFM.
Inaonekana wanafanyia mtihani kwenye vyumba vyenye computer, hao wasimazi...
Hii ni kwa ERB na wahandisi wote kwa ujumla. tarehe 4 na 5 September ni siku maalumu kwa ajili ya maengineer Tanzania, lakini mi binafsi naona hizi siku hazitumiki ipasavyo hasa kuelimishana kwenye mambo muhimu ya msingi ya kitaifa ambayo maengineer wanahusika kwa namna moja au nyingine na pale...
Sehemu kama UDSM ukiangalia kwa nje unaweza ukapaona pako pazuri sana, ukashawishika kupenda kufanya kazi pale, lakini maisha ya pale ni uozo mtupu!, wapo watu ambao kweli ni walimu wazuri lakini wanakatishwa tamaa na mambo mengi sana, hasa vijana TAs, ALs na Ls, labda na wachache ambao sasa ni...
Hivi inakuaje mishahara ya walimu wa vyuo Tanzania haina mfanano. Mishahara ya walimu kama UDSM ni midogo sana ukilinganisha na vyuo vingine hapa nchini hata vile vinavyofundisha ngazi za chini.
Mfano ukiajiliwa leo kama Lecturer kwenye vyuo hivyo vingine mshahara wako utakuwa ni mkubwa sana...
Mtoto aliyekuwa karibu na marehemu aliulizwa 'ni nani kwako aliyefariki ?' akajibu 'kaka mkubwa wa mjomba wake na marehemu ni mjomba wangu' swali 'je marehemu ni nani kwa mtoto?'.
Kwa vile serikali yetu ni dhaifu, na imeshindwa kuwakamata, basi tunaomba mnapotuvamia chukueni taratibu mnachotaka bila kupoteza uhai wa mtu, mkituua leo kesho mtaiba kwa nani!, wengi mliowaua wanategemewa sana na familia zao. mnapoua mtu mmoja kwa namna moja au nyingine mnakuwa mmewaathiri...
Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dr. Hussein A. Mwinyi alimteua Prof. Samwel Victor Manyele wa UDSM, kuwa mkemia mkuu wa serikali kuanzia tarehe 21/1/2013. nafasi hiyo ilikuwa wazi baada ya aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali marehemu Dr. Ernest Mashimba kufariki tarehe 19 septemba, 2010...
Mjadala unaoendelea wa kina Zitto na Ben ni wa kukoseana heshima ya chama. Ni mbinu za kutia nuksi kwenye chama hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu 2015. Hakuna chama kinachokosa wasaliti. Lakini mi naamini CDM ina taratibu zake na ikithibitika muhusika anachukuliwa hatua za kinidhamu na...
Yule ambaye anaweza kushinda majaribu ya ngono au anaweza kuvumilia miezi 2/3 kupita bila kufanya tendo au Yule ambaye hawezi kushinda majaribu, akionyeshwa kidogo tu tayari, au hawezi kuvumilia mwezi kuisha.
Yupi kati ya hawa ni mwanaume wa ukweli!!.
Hayo ndio maneno aliyotoa kwa hasira baa-medi mmoja kwa jamaa ambaye alikuwa analazimisha penzi kwa huyo baa-medi. Baa-medi akaongeza kwamba 'mi nimeokoka, na si kwamba napenda kufanya kazi kwenye mazingira haya, na sio kwamba kuwa baa-medi ndio umalaya, tafadhali tuheshimiane, mi nipo kazini...
Umetoka nyumbani na mkeo, bahati mbaya mkeo kasahau pete yake ya ndoa. Mnafika mahali mmekaa we simu ikaita ukatoka kidogo kwa sababu ya kelele uliporudi ukakuta kuna jamaa anamtongoza mkeo, halafu mkeo unamuona anajing'atang'ata vidole tu huku anakutizama. Halafu jamaa unamsikia anazidi...
Kuna mdada alikuwa anamwambia mwenzake "Mi mwanaume awe handsome tu inanitosha na mambo fulani safi basi ili nizae watoto wazuri, Tabia wala sitajali sana sababu wanaume wote tabia zao zinafanana". akaendelea "Nikishapata watoto wazuri mi basi inatosha mambo mengine namwachia Mungu, maana wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.