Search results

  1. DASA

    UDSM - Huwezi kuamini kuhusu wafanyakazi

    UDSM pamoja na umaarufu wake na heshima yake nchini ukilinganisha na vyuo vingine lakini ndio chuo ambacho wafanyakazi wake wanaishi kwa shida kuliko chuo chochote nchini. Yani hali ilivyo kwa sasa ni mara 10 kufanya kazi vyuo vidogo kama CBE, IFM, NIT etc kuliko kufanya kazi UDSM. Ninachowasifu...
  2. DASA

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Yaani mimi kama ndio huyo hubby siku nikijua nakuchinjachija!.
  3. DASA

    Utamshauri nini kijana huyu?

    Ni kweli, lakini unaonaje kama una mipango mizuri halafu na kipato kiko vizuri!!. Tatizo la huyu dogo degree ni hiyo hiyo lakini ameachwa mbali sana kimapato kwa mara 4. Anafikiri kufaulu sana kwake ndio kumemponza!!
  4. DASA

    Utamshauri nini kijana huyu?

    wa ukae M5 sio yeye, yeye hata nusu ya hiyo hafiki, na amefanya kazi miaka 8. M5 ni mshahara wa huyo rafiki anaopata sasa.
  5. DASA

    Utamshauri nini kijana huyu?

    Unajua siku zote akiwa na hao marafiki wanaongea habari za kazi lakini hawaongei vipato vyao, saa ndio amejua kuwa hapati kitu kabisa. Na hapa tambua wamesoma pamoja, degree hiyo hiyo, yeye ameongeza ya pili na yupo njiani kupata ya tatu. Shule ilivyo ngumu na anachotegemea anatamani kuacha.
  6. DASA

    Utamshauri nini kijana huyu?

    Kijana yangu mmoja ambaye sasa ni mwalimu wa chuo fulani maarufu kaja akaniambia kaka haya maisha sio kabisa, labda amerogwa. Akasema alikuwa anachat whatsapp na marafiki zake aliomaliza nao degree miaka 8 iliyopita, mmoja wa hao marafiki alikuwa anawajulisha wenzake kuwa ameomba kazi mahali na...
  7. DASA

    CCM na walimu vyuoni mpaka primary

    Kama kuna group la watu ambalo litaiangamiza CCM mwaka huu, basi ni walimu. Huko vyuoni ndio balaa si walimu si wanafunzi yaani ukikuta watu wamekaa ukaanza kuongea CCM watu watatapika maneno utadhani sijui umewaambia nini, huko chini napo mpaka primary wengi wana vinyongo balaa. Sijui CCM...
  8. DASA

    Ingekuwaje hii barabara ingejengwa na mtanzania?

    Kwani kazi ndugu yangu, mbona inawezekana, hakuna cha ajabu hapo, ni pesa tu!.
  9. DASA

    IFM - Huu ni Uzembe

    Nilikuwa mahali, kwa bahati mbaya kuna wanafunzi wa IFM walikuwa wanaongea nikawa nawasikia. Inaonekana wapo kwenye mitihani kwa sasa. Lakini walikuwa wanaongea jinsi usimamizi wa mitihani ulivyokuwa wa kizembe hapo IFM. Inaonekana wanafanyia mtihani kwenye vyumba vyenye computer, hao wasimazi...
  10. DASA

    Wapo Wapi Hao Panya Road!!!

  11. DASA

    Rais haoni aibu kutibiwa nje ya nchi wakati wapiga kura wake hawana hata panadol?

    Nampa pole sana Raisi wetu kwa tatizo analokabiliwa nalo kwa sasa, Mungu ampe nguvu upesi. Lakini najiuliza na madaktari wetu watusaidie, hivi upasuaji wa tezi dume haufanyiki hapa nchini kwetu. Kama inawezekana kufanyika ni kwanini Raisi wetu ameenda marekani. Madaktari wetu hawaaminiki au...
  12. DASA

    Hivi ni kweli wahindi wanachoma maiti moto?

    Sasa hayo majivu ya mtu wanayapataje, si yatakuwa yamechanganyika na majivu ya kuni!.
  13. DASA

    Hivi ni kweli wahindi wanachoma maiti moto?

    Wakishachoma Moto wanaweka wapi hayo majivu!. Nafikiri hii inaweza ikawa njia nzuri kusave maeneo, Sijui lakini, dah!.
  14. DASA

    Hivi ni kweli wahindi wanachoma maiti moto?

    Kila mtu ataonja mauti. Tangu nianze kuijua Dar kweli sijawahi kuona wahindi wapo makaburini. Swali langu ni kwamba hawa wenzetu wanazika wapi wapendwa wao, au wanachoma moto au hawafi!!.
  15. DASA

    Dah! Huyu Dent sijui alikuwa na kosa gani!!

    Mi nafikiri yupo sawa!!.
  16. DASA

    UDSM, mmeuza majengo haya?

    Usikute hata hawajui kama kuna kitu kama hicho.
  17. DASA

    Kimara - barabara njia ya Kimara - Msewe - UDSM/Changanyikeni

    Unajua wakati mwingine bila picha mtu huwezi kueleweka kabisa. Pamoja na barabara kuwa mbaya kuna watu wanakimbiza sana magari utadhani wanaendesha kwenye lami (hawa ndio hatari sana), hasa magari ya serikali STJ, STK..., yani hawa jamaa wanatunyanyasa sana sisi wenye vigari vidogo.
  18. DASA

    Kimara - barabara njia ya Kimara - Msewe - UDSM/Changanyikeni

    Naunga mkono hoja. Hata leo nimepita masaveya wapo tena pale, na sehemu nilipowaona nilishawaona tena maeneo hayohayo siku za nyuma. Inawezekana wanajaribu utaalam wao lakini ni ukweli usiopingika kwamba barabara ni mbaya kupita kiasi, mimi binafsi nimeshaharibu gari mara tatu kwasababu ya hiyo...
  19. DASA

    ERB: Annual engineers day

    Hii ni kwa ERB na wahandisi wote kwa ujumla. tarehe 4 na 5 September ni siku maalumu kwa ajili ya maengineer Tanzania, lakini mi binafsi naona hizi siku hazitumiki ipasavyo hasa kuelimishana kwenye mambo muhimu ya msingi ya kitaifa ambayo maengineer wanahusika kwa namna moja au nyingine na pale...
  20. DASA

    UDSM - sumu kwa wafanyakazi

    Kuna jamaa amenitonya kilichotokea sasa ndio balaa, mishahara ya mwezi wa saba wafanyakazi wa udsm ndio wamepata jana. halafu hakuna taarifa yoyote ya msingi au sababu yoyote ya msingi kwanini imechelewa. Walidanganywa kama vile kutakuwa na nyongeza za mishahara lakini bilabila. Yaani huwezi...
Back
Top Bottom