Search results

  1. L

    Nafasi za Kazi National Health Insurance Fund (N.H.I.F)

    We need source ya hiyo taarifa
  2. L

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Why wasiweke majina kwenye website hii ya kupiga simu inachukua muda mrefu mtu anaweza akapigiwa siku moja kabla ya interview na kama yuko mkoani inakuwaje badilisheni utaratibu
  3. L

    Tetesi za PSPF kufilisika rasmi zinawatesa wastaafu Tanzania

    Watendaji wamechangia kwa kiasi kikubwa kuifanya hii mifuko kuwa katika mbaya let say Mkurugenzi mkuu anakosa weledi wa kutosha katika kusimamia shughuli za mfuko na wengi wao wamekuwa watu wa kufanya matanuzi nje ya nchi watendaji wamejirundikia misafari ya nje mingi; miposho ndo usiseme...
  4. L

    Uozo Ofisi za Umma

    Mtumishi ana tatizo la kiafya anahamishwa toka mkoa mmoja kwenda mwingine na suala lake amelifikisha kwa watu wa hr na kwa kuelezea tatizo lake wa kina na anawaomba wampeleke sehemu ambayo itakuwa rahisi kwake kupata huduma pindi hali inapokuwa mbaya matokeo yake mtu mwenye cheo chake aliyelewa...
  5. L

    Yanayojiri kwenye taasisi za umma

    Mtumishi akiwa na tatizo la kiafya na akalifikisha sehemu husika kwa maana ya watu wa hr na at the same time watu wachache wanaotumia madaraka vibaya wanaamua kumhamisha kumpeleka sehemu ambayo ni hatari kwa afya yake na hata anapojaribu kuwaeleza wahusika tatizo lake matokeo wanamkejeli kwa...
  6. L

    Prof. Beno Ndulu: Watu wanaongea wasiyoyajua, BoT haina wafanyakazi hewa

    Majipu yameiva hadi usaha unaruka wasijisafishe juzi mbona hakuongea hayo mbele ya Mh. Rais hizi taasisi nyeti mafisadi waondolewe wamevuna vya kutosha sasa wakakae juu ya mawe BOT safisha; PSPF fukuza; PPF fukuza; LAPF fukuza hizi taasisi zinatakiwa ziwe na watendaji mahiri sana kwa ustawi wa nchi
  7. L

    mikutano ya wadau

    Hii mikutano ya wadau inayoendeshwa na hii mifuko ya hifadhi ya jamii kila mwaka ina tija kwa wanachama wao? Pesa zinazotumika kuendesha hii mikutano ni kubwa; je kuna haja ya kufanyika kila mwaka?
  8. L

    DC Magu aagiza walimu kufanya usafi shule zao kila Jumamosi

    Huyo DC aache upuuzi ni sheria gani inayoamrisha waalimu kufanya kazi jmosi anafikiri watu hawajui haki zao na sheria za kazi? aende akafagie yy na familia yake
  9. L

    Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    Rais wetu ni zawadi toka kwa Mungu tunakuombea kila la.kheri katika utekelezaji wa majukumu yako
  10. L

    Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

    Watendaji wote wa haya mashirika Mh. Rais angewaondoa wapangiwe kazi nyingine maana hakuna msafi hata mmoja wateuliwe wengine wafanye kazi kwanza wengi teuzi zao is like zilijaa uswahiba ndo maana wanaviburi sana. Mh. Rais tuna imani kubwa na ww rekebisha makosa yaliyofanyika huko nyuma weka...
  11. L

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mashirika ya hifadhi ya jamii ubadhirifu wa fedha za wanachama; nasikia LAPF mwaka 2014 watendaji walitumia fedha za Mfuko kujinunulia viwanja manispaa ya kinondoni takriban milion 800 zilitumika; ajira za kindugu na kiswahiba mwaka 2014 kuna watumishi 3 waliajiriwa bila kufanyiwa usaili...
  12. L

    Dau wa NSSF ndiyo imetoka hiyo, Kaliacha shirika likiwa katika hali mbaya

    Hawa ma Dg wa haya mashirika ya hifadhi ya jamii hakuna anaestahili kuendelea kuwepo wametumia madaraka vibaya sana kwa kujilimbikizia mali wa Lapf ndo usiseme ni fisadi namba moja; januari to december alikuwa akiishi angani mh. RAIS vunja hizi memejimenti na bodi hawa watendaji warudi wizarani...
  13. L

    Who is next?

    Mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo watendaji wananunuliana viwanja bila aibu kwa fedha za ofisi na kukopeshana mamilioni ya fedha
  14. L

    Ubadhirifu Ofisi ya CAG

    Kwa kweli hili ni janga tuhuma zote hizo mtu bado yuko ofisini? Hii nchi haitasonga mbele kwa kufumbia macho mambo mazito kama haya.
  15. L

    NHIF chombo cha ajira za watoto wa vigogo

    Hivi hizi auditing ni kwenye fedha tu au wanatakiwa waguse sehemu zote? Hizi ajira za kindugu ni tatizo kwenye hayo mashirika ya umma unakuta mtu hajafanya interview lakini anaajiriwa kisa tu ni ndugu yake fulani Ceo amepelekewa kimemo au ni shemeji yake ceo haya mashirika watu waliyafanya kama...
  16. L

    Mkurugenzi wa LAPF anashirikiana na ufisadi wa LAPF

    Mhe Waziri Mkuu hili liko kwenye mamlaka yako
  17. L

    Re: Ubadhilifu wa kutisha ndani ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Mhe. Rais haya majipu yameiva yanahitaji kupasuliwa
  18. L

    LAPF wanaita oral interview Dodoma

    Lapf inaongoza kwa ajira za kindugu kuna watu wanaajiriwa bila kufanyiwa interview Mfuko umejaa watu wa Iringa kwa vile yule CEO wa pale ni mtu wa Iringa Magufuli tumbua hili jipu halifai kuendelea kuwepo pale.
  19. L

    LAPF wanaita oral interview Dodoma

    Lapf inaongoza kwa ajira za kindugu kuna watu wanaajiriwa bila kufanyiwa interview Mfuko umejaa watu wa Iringa kwa vile yule CEO wa pale ni mtu wa Iringa Magufuli tumbua hili jipu halifai kuendelea kuwepo pale.
  20. L

    Re: Mheshimiwa Rais haya majipu kwenye mifuko ya jamii muda wake umefika Watendaji; Bodi ni majipu y

    Mhe. Rais haya majipu yatumbuliwe maana yatakuharibia kwenye utawala wako wengi wa maceo walipata teuzi zao kikabila; kindugu; kirafiki ndo maana hawana uchungu na fedha za wachangiaji na hata ajira zinazofanyika ndani ya hizi taasisi kuna watu wanaajiriwa kwa minajiri ya udini; na kuna watu...
Back
Top Bottom