Search results

  1. L

    Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

    Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka 2.3M mpaka 2.9M. Kiwango kitawafanya Wafanya Biashara kununua kwa bei ya chini kutoka kwa Wakulima ili...
  2. L

    Ukonga: Majambazi wavamia kituo cha mafuta Moshi Bar

    Majambazi yamevamia kituo cha kuuzia Mafuta (petrol Station) iliyojengwa maeneo ya Moshi Bar. Kituo hicho cha kuuzia Mafuta kimejengwa hivi karibuni katika eneo ambalo kulikuwa na Bar ijulikanayo kama Recho katija eneo la Kipunguni B Wilaya ya Ilala Jimbo la Ukonga. Inasadikika kuwa Majambazi...
  3. L

    Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    Baada ya ugonjwa wa Covid 19 kulipuka duniani kote sector ya Elimu iliathirika pia. Shule zilifungwa. Serikali ya Tanzania imefungua Vyuo na kidato cha sita. Kama Wazazi tuna Watoto wanasome Mazinde juu. Wanatakiwa kurudi shuleni wiki hii. Baadhi yetu Wazazi tulisha maliza kulipa ada. Ajabu...
  4. L

    Tatizo la King'amuzi cha Azam

    Wakuu kuna tatizo gani kwenye King'amuzi cha Azam??. Ukitaka kununua credit inaonekana hakuna Network na ukiwapigia simu hawapokei. What is wrong???
  5. L

    Kuchelewa kwa result slips za kidato cha nne 2018

    Wakuu, Mtoto wangu kamaliza form four mwaka jana katika shule moja ya binafsi mkoani Mbeya na matokeo yametoka mwaka huu. Kafaulu vizuri tu. Alichukua form kwa ajili ya kufanya entry examination katika shule ya binafsi. Lakini nilipo fuatilia shule aliyomaliza naambiwa results slip hazijatoka...
  6. L

    Sehemu inapokaa spare tyre kwa Gari aina ya Toyota Vanguard

    Wakuu Salama. Hivi karibu nilinunua Gari aina ya Toyota Vanguard. Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo spare tyre inakaa/inawekwa nimeshindwa kabisa. Nilipo wasiliana na SBT Japan/Tanzania waliniambia ikaa chini. Lakini nimejaribu kuangalia bila mafanikio. Tafadhali kama kuna mtu ana model kama...
  7. L

    TANESCO: Tufahamisheni Tatizo nini? Siku tatu bila umeme!

    Jamani kuna tatizo gani TANESCO???, tufahamisheni basi. Wakazi wa kipunguni siku ya tatu leo hatuna hata umeme tena bila taarifa yoyote. Inaudhi kupindukia.
  8. L

    SUMATRA NA TAZARA: Hamisheni kituo cha Daladala karibu na Reli na Barabara ya MOSHI BAR/MOMBASA

    Wahusika wote, Kumekuwa na ajali za mara kwa mara zinazokatisha maisha ya watu katika makutano ya Reli ya TAZARA na Barabara iendayo Mombasa mpaka Moshi Bar. Mwaka huu peke yake, watu wapatao wannne wamepoteza maisha na wengine kupata vilema vya maisha. Tatizo kubwa ni kuwa Kituo cha daladala...
  9. L

    Mwenye namba ya simu 0764-323467 ni tapeli wa kutumia mtandao wa simu

    Wakuu, Kuna kijana mmoja ambaye mara nyingi anatembea na wenzake watatu hasa maeneo ya Kipunguni B, Moshi Bar, Mazizini, Majoe mwenye namba ya simu tajwa hapo juu na imesajiliwa kwa jina la Nyasi Kiberiti ni tapeli na mwizi wa kutumia mtandao wa simu hasa kwenye huduma ya M-Pesa. Ingawa...
  10. L

    TANROAD/TAMESA Rekebisheni muda wa kuruhusu Magari katika Mataa/Traffic Light- Airport

    Wakuu, Nikiwa mtumiaji wa barabara ya Nyerere road hasa kwenda maeneo ya Kitunda, kuna usumbufu sana hasa wakati wa jioni baada ya kuweka taa za kuongozea magari katika njia panda ya Airport- Julius Nyerere International Airport. Setting ya kuruhusu magari inatumia sekunde chache sana- hardly...
  11. L

    Hodi the home of great thinkers!!!!

    Nimekuwa kwa muda mrefu sasa mpenzi wa Jamiiforums na kujifunza mengi katika jukwaa hili. Hivyo nimeamua kujiunga rasmi ili niweza kujifunza na kushiriki katika mambo mbalimbali yanayojadiliwa humu. Nimategemeo yangu kuwa nitakaribishwa. Thanks.
Back
Top Bottom