Search results

  1. stone boy

    TV ya inch 32 inahitaji betri za solor za ukubwa (N) gani?

    Samahani waugwana Ili niweze kutumia tv nch 32 vizuri inanibidi nitafute betri ukubwa gani yaani N ngapi ?
  2. stone boy

    Kwa mkoa mara ni wapi nitaweza kupata vifaranga chotara

    Sehemu gani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. stone boy

    Naomba Msaada

    labda ulikula cha mtu
  4. stone boy

    Kuchelewa kujifungua

    Shukrni kwa jibu lako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. stone boy

    Kuchelewa kujifungua

    Katika pitapita zangu nimekutana na hiki kitu wadada wawili wakiwa wanazungumza mmoja akiwa mjamzito akisema eti Sikh zake za kujifungua zimepita eta wiki moja yupo kwenye mawazo kwelikweli Nani nikajiiuliza hivi Ni kweli hili linawekaza? Au kachanganya tarh ? Mwenye utaalamu na hili anisaidie
  6. stone boy

    Play station

    Powa
  7. stone boy

    Play station

    Shukrani bro
  8. stone boy

    Play station

    Wanajamvi mpo Ninahitaji game play station zinauzwa sh ngapi na zipo za aina gani
  9. stone boy

    TCRA mpo wapi kwa hili la AZAM TV kutoonesha habari kwenye runinga

    wao wanakwambia fungua app yao eti utaona
  10. stone boy

    TCRA mpo wapi kwa hili la AZAM TV kutoonesha habari kwenye runinga

    Wenye mamlaka na hili tunaomba mshughulikie kifurushi umenunua tena cha juu kabisa inapofika saa 2 taarifa hakuna eti tatizo la kiufundi lakini unaambiwa angalia kwenye simu tunaomba msaada kwani ni kero
Back
Top Bottom