RAI YA MZEE ABOUD JUMBE NA UTAKATIFU WA NYERERE
Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, (Miaka 30 ya dhoruba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya...
Eduardo dos Santos: Rais Aliyeyafisidi Mapinduzi ya Angola
Ni nini Afrika kama bara inaweza kufanya kuiepusha na viongozi wa aina ya kina Dos Santos? Jibu linaweza kuwa gumu kuliko swali.
Mnamo Julai 8, 2022, Rais wa awamu ya pili wa taifa la Kusini mwa Afrika la Angola, José Eduardo dos...
Happy Muungano day naomba nitumie fursa hii kuwa kumbusha ndugu Ndugu Zangu Wanzanzibar kwa kipindi chote cha miaka 58 ya Muungano imekuwa ngumu kwao ukweli ulio wazi ni km wamekuwa mateka ndani ya Muungano ila Wakati ni Huu wa kuweka mambo Sawa wote tunajua Fursa iliyopatikana naweza kusema...
In an age of corporate sponsorship and super league greed, the Africa Cup of Nations brought us the beautiful game at its giddy, joyous, chaotic best
TAHAR RAJAB
FEBRUARY 7, 2022
There’s a scene in Blood Diamond where a ‘Zimbabwean’ Leonardo DiCaprio tries to sum up the cradle of humanity...
Sheikh Karume angeshauvunja Muungano
Na Ahmed Rajab
TUNAUHITIMISHA mfululizo huu wa makala matatu kuhusu Zanzibar baada ya kupinduliwa wa serikali huru ya Zanzibar Januari 12, 1964 kwa kuuangalia Muungano ulioundwa baina ya Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, mwaka huo.
Licha ya kuwa hai kwa...
Na Ahmed Rajab, (Kutoka gazeti la RAIA MWEMA)
KIZA kilikuwa kimekwishaanza kutanda nilipoikaribia hoteli ya St. Ermins jijini London. Hoteli hiyo ni ya nyota 4 lakini ina haiba ya aina yake na ipo mahala ndipo — karibu na Kasri ya Buckingham ya Malkia wa Uingereza, Kasri ya Westminster mulimo...
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua ugonjwa wa Nimonia uliopelekea kifo chake.
CPWAA ambaye aliwahi kuunda kundi la Park Lane akiwa na...
Zamani nikiwa bado mtoto mdogo Mama yangu Mkubwa kila mtu alikuwa akimwita Sabuni ya Roho Pesa kwa Akili zangu za kitoto nilikuwa nikijua ndio jina lake ila Leo hii nimefikia utu uzima ndio nimepata kujua jina lake kamili na kuelewa nini maana ya Sabuni ya Roho Pesa.
Mungu amuweke Mahali Pema...
Janga uchaguzi wa Rais Cote d'Ivoire jana Oktoba 31: Vituo havijafunguliwa wafuasi wa chama tawala RDR cha Rais Alassane Ouattara walishapiga kura. Kilio kilichosikika "ont déjà voté" (wameshapiga kura). Miaka 10 iliopita Ouattara akilalamika Rais Gbagbo anakataa uamuzi ya Umma.
HUJAIJUA VIZURI AFRIKA!
TUPO Afrika, bara letu. Utajiri mkuu wa Waafrika ni ubinafsi. Ukimpa madaraka leo Mwafrika, keshokutwa asubuhi utamkuta ameshaifanya Serikali kuwa mali ya ukoo. Baraza la Mawaziri kama kikao cha familia.
Ni Afrika ambayo nyakati za kudai uhuru wazee walipaza sauti...
Nimekuwa nikizifuatilia kwa ukaribu mkubwa chaguzi za nchi nyingi za Kiafrika tangu mfumo wa siasa za vyama vingi urejelewe Afrika. Mara mbili nilikuwa mmoja wa waangalizi rasmi katika chaguzi kuu za Equatorial Guinea kwa niaba ya taasisi iitwayo Taasisi ya Mikikati ya Kidemokrasia (au the...
BARAZANI
Kupaa na kuanguka kwa Husni Mubarak (1928-2020)
Na Ahmed Rajab
JUMATANO, Oktoba 14, 1981 mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais mpya wa Misri, Husni Mubarak aliingia ndani ya ofisi ya msaidizi wake mmoja akaanza kurukaruka akipiga kelele: “Mimi rais, mimi rais”.
Alikuwa kama mtoto...
Gwiji wa muziki wa dansi na Kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma, Saidi Mabera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 29, baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi miwili. Mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni nyumbani kwake Goba.
Msiba upo Nyumbani kwake Tegeta A maeneo ya Goba jijini Dar...
Mh Rais wa Mali na kipenzi cha wananchi bwana Ibrahim Boubacar Keïta amelazimishwa kujiuzulu. Kwangu binafsi lipo somo la kujifunza kwa Hawa wenye kujiona ni vipenzi vya wananchi.
======
Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kujiuzulu kwake kupitia kituo cha televisheni cha...
Na Mohammed AbdulRahman
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo tangu enzi ya utawala wa Marechal Joseph Desire Mobutu ilipokuwa ikijulikana kama Zaire hadi ya Congo ya wajina wake Joseph Kabila Kabange, imekuwa na sifa ya rushwa. Sikuutaja utawala wa Mzee Laurent Desire Kabila kwasababu hakutawala...
Babu Njenje Mabruk amefariki dunia alfajiri ya leo.
MWANAMUZIKI mkongwe wa bendi ya Kilimanjaro maarufu kama Wana Njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama Babu Njenje amefariki...
Na Ahmed Rajab
TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi, hayakutimu hata mwezi, ulipoandama mwezi wa mfungo wa Ramadhani.
Sizisahau siku hizo za mwanzomwanzo...
INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAAJIU’N.
Mzee Ali Haji Pandu ameshatangulia mbele ya haki muda mfupi uliopita Mwenyezi-Mungu Amsamehe makosa yake na Amlaze pema peponi, Amin!
Mzee Ali Haji Pandu enzi za uhai wake amewahi kushika vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama kisiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.