Search results

  1. L

    Elections 2010 Kupatikana Kwa Muafaka Na Amani Arusha Uchaguzi Wa Umeya Urudiwe!

    CCM na serekali wanapaswa kutambua kwamba Amani haitakuwepo kamwe kama haki haitatendeka. Na vilevile watambue kuwa amani hailetwi na mtutu wa bunduki. Uchaguzi urudiwe na uwe huru na wa haki amani iwepo. Meye uliepachikwa Mr Gaudence Lyimo washauri wenzio tupate amani Arusha.
Back
Top Bottom