Search results

  1. Ng'ong'olito

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    furaha yako inatakiwa itokane na wewe na sio kwa mtu kwasababu watu siku zote huja na kuondoka na ndoa sio furaha tu, ndoa zina mitihani yake ambayo unaweza mpaka ukasema bola nisinge olewa, tulia tengeneza maisha yako maisha sio lazima mpaka uolewe na siku zote jua wewendio kiongozi wa maisha...
  2. Ng'ong'olito

    Mkurugenzi Misungwi "aliyemdekisha" mwalimu, ashindwa kujibu maswali ya Clouds FM

    Shida watumishi wengi wa serikali hawajui haki zao, soma "sheria za ajira na mahusiano kazi" hata uki google unapata wasome wajue nani ni mamlaka yako ya nidhamu na kisheria taratibu za nidhamu zikoje, ukombozi unaanzia ndani bila hivyo ndio unakuta mtu anacomment eti kashikilia mpini!! hii ni...
  3. Ng'ong'olito

    Kuwashwa mikono na kuchezwa na macho (kulia au kushoto)

    vitu vya imani huwa ni ngumu kuvieleza, huenda sambamba na mira na desturi za mababuzetu tumerithi kutoka kwao kuwashwa mkono mimi hunitokea sana na ukiwasha tu kweli kazima nitapata pesa sasa ukisema inahusiano gani na kuwasha mkono inakuwa ngumu kuielezea ila ni imani ambazo tumezikuta...
  4. Ng'ong'olito

    Kupata ujauzito

    Mimba ili itunge kunavitu vingi ndani yke, nenda hospital na mkeo kaonane na daktari Wa wanawake mkafanyiwe vipimo na atawaelewesha
  5. Ng'ong'olito

    Picha ya Nay wa Mitego akiwa na msichana uchi kitandani yazua mjadala

    Mdhalilishwaji kama hajalalamika hakunaudhalilishaji
  6. Ng'ong'olito

    Msaada kuhusu kuwithdraw mfuko wa PPF baada ya kuacha kazi

    Unatakiwa kuwa na barua ya kuachakazi au ya kumalizika na mkataba baada ya hapo utaenda ofisin kwao watakupatia fomu ambazo utajaza baada ya hapo utazipeleka kwa mwajiri wako atakusainia thn utazirudisha ppf. Ndani ya wiki mbili mpaka Tatu unapewa check yako. Pia unaweza kuendeleza michango yako...
  7. Ng'ong'olito

    Ukweli kuhusu mgomo UDOM

    Nchii inaendeshwa kiubabaishaji
  8. Ng'ong'olito

    Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

    Hapa tunaongea kwa ushahidi! Kama unao weka kama huna wewe na mwenzako kaimbeni taarabu!!! MAJUNGU
  9. Ng'ong'olito

    Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

    Umeama kwenye panya umeingia kwenye taa!!
  10. Ng'ong'olito

    Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

    Huna cha kuandika kwasababu huna data yoyote inasapoti unachokuandika!! Acha udaku kama hunachakuandika nakili hata mistari ya taarabu itakulipa!!
  11. Ng'ong'olito

    Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

    Ataje na wodi anayoizungumzia!!
  12. Ng'ong'olito

    Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

    Ivi kwa akili tu yakawaida panya anaweza kupora dawa manesi alafu anaipeleka wapi? Kuiuza au kujitibu?
  13. Ng'ong'olito

    Bugando hospital inatisha kwa PANYA na MENDE

    Mjumbe unatafuta umaarufu hapa! Mm nimfanyakazi wa Hospitali Bugando sina takwimu zozote zibazosema kuna wagonjwa wameng'atwa na panya! Wagonjwa wote naututi wanalazwa ICU, wagonjwa wa Urology (wewe matatizo wa mikojo) huvaa nguo zao wanawekewa mipira tu sasa huyo panya wakuingia ndani ya nguo...
  14. Ng'ong'olito

    Nanunua kuku wa nyama

    Ujumbe umefika
  15. Ng'ong'olito

    Udom wamenfanya nimefukuzwa kazi....

    Sheria haichagui unafanya kwa muhindi,warabu n.k kama anataka kutetea khaki yake anaweza ala kama anamawazo ya uwoga na kutojua wapi anakwenda imekula kwake!! Dunia hii lazima uwe mpiganaji
  16. Ng'ong'olito

    Udom wamenfanya nimefukuzwa kazi....

    Naomba nikuulize swali ulikuwa umeshasaini barua ya ajira? Kwasababu kunataratibu za kufukuza Kazi mfanyakazi aliekuwa kwenye kipindi cha matazamio. Hawezi kukufukuza kwenye simu human rights "haki ya kusikilizwa" lasivyo lazima wakulipe mshahara wa mwezi mmoja badala ya notice
  17. Ng'ong'olito

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante kwa elimu hii
Back
Top Bottom