Search results

  1. M

    Rais Kikwete kupangua Baraza la Mawaziri

    Tetesi. Mh E N Lowassa ndani ya baraza jipya la mawaziri. Ari inarudi kwa kasi ya ajabu!! Lowassa hoyeeeee
  2. M

    Board ya mikopo kukata 8% za mishahara ya wadaiwa

    Acheni upuuzi,hicho kiwango tulichokopeshwa ni hela za kodi za wazazi wetu walizokuwa wanalipa na elimu yangu ni kwa manufaa ya taifa,badala ya kudhibiti matumizi mabaya ya viongozi wa serikali eg VX V8 mnang'ang'ania kutubana na Mil 5 tulizokopeshwa kipindi chote cha masomo. Mimi nilitegemea...
  3. M

    Hospital ya muhimbili yamsababishia kansa mama huyu.

    Fanya uchunguzi usikurupuke,cancer haina specific cause ina risk factors. Una uhakika kama hakuwa nayo kabla ya kuwekewa hizo risasi? Na umejaribu kuulizia kama hizo risasi zina risk ya kusababisha cancer? Hayo maumivu yalikuwepo na ndiyo maana akaenda muhimbili,je unawezaje kuthibitishi kama...
  4. M

    Vodacom yakabidhi bil. 8/- kwa JK

    Hata kama ni za mafisadi si zinakuja kuwasaidia watanzania hospitali,au wewe unataka wakaziweke Uswisi?
  5. M

    Jaribio la kuiba silaha JWTZ Bohari kuu Gongo la Mboto

    Traffic wa pale ubungo ni haki yao kupewa kichapo. Hawajui ku balance muongozo wa magari kabisa
  6. M

    Hali ya Hatari Tandika!!

    Hakuna cha kukojolea msaafu,Bagamoyo na Zanzibar mbona walichoma siku nyingi? Au ilishawahi kukojolewa na huko? Wasithubutu kulianzisha mikoa ya bara watavuliwa Kanzu wote halafu waambiwe wafunge kamba za viatu
  7. M

    Madereva Dar waligonga Lamborgini la Davie Mosha kwa kulishangaa

    Nitalitafuta kwa ajili ya harusi yangu hilo!
  8. M

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Dr hakurupuki kama Nape na wana nyiyiem wenzake,Dr alikuwa anajipanga. Hiyo amewatupia tu kuwa alert,more to come. Siku za mwisho zimefika
  9. M

    'Madaktari gomeni,weken vifaa chini'-kigwangala

    Ninyi watu wanafiki na waongo wakubwa,badala ya kujadili hoja ya msingi mnamjadili mtu utadhani swala la Afya halikugusi au kuwagusu ndugu zako kwa namna moja ama nyingine. Hv watanzania tutaendelea kuwa waoga mpaka lini,Dr kigwangala aliongea kama daktari pale siyo kama mbunge na hakusema watu...
  10. M

    Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

    Watanzania tutaendelea kutumiwa na watu kujipatia umaarufu mpaka lini? Hivi hao wabunge wanaojiita ni wa dar es salaam mbona hawajatueleza msimamo wao au kuwa wakali kuhusu posho zao kupanda? Huu unafki wa kujifanya wanatutetea hatuutaki,waje tufanye mkutano wa hadhara tuwaulize mambo ya posho...
  11. M

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Wewe toa point zako acha kunukuu mawazo ya wengine.watanzania wenye vijiji huko mnataka waendelee kutembea kwa miguu kuja mjini?nani alikuambia wanyama watamalizwa au ecosytem itapotea hapo?kabla watalii hawajaanza kuja mazingira yalikuwa the same na sasa?mabadiliko lazima yatokee CHA MSINGI ni...
  12. M

    mtoto wa mtoto wa mkulima anasoma shule ya 17mil kwa mwaka.

    Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu. Naomba kuwakilisha
  13. M

    Hii ya mtu kufyatua risasi ktk msiba aliohudhuria Dr. Slaa imekaaje?

    Wewe umelogwa hupaswi kuwa hapa.mbona kwenye msiba wa ditopile hamkupiga risasi hewani wakati yeye ndio shujaa? Mngejaribu kumjeruhi Rais wetu Dk.Slaa halafu muone balaa la wananchi.
  14. M

    Polisi apigwa risasi na kufa

    Safi sana,Taarifa za kiinteligensia ilikuwa kisingizio tu wangekuwa wanazifanya matukio ya ujambazi yangepungua sana kama siyo kuisha.Hongera wana Arusha
  15. M

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Safi sana,hivi watanzania mnajua hii nchi inahitaji machafuko ili tuwatoe hawa CCM.I'm sorry to say this but seriously speaking kuna viongozi wa chama tawala wanaohitaji kufyekwa watoweke duniani.Tumechoshwa na upuuzi wao
  16. M

    firstlady wa Tanzania hasikiki

    Mama jk yupo wapi,tangu tumsikie kwenye matumizi ya fedha na mali za serikali wakati wa kampeni sijamsikia tena au ameenda kupumzika ulaya?
  17. M

    CHADEMA yagomea mazungumzo na CCM

    Wanataka kuongea nini? Mwenzao Lowasa si aliwaambia mapema waitishe mazungumzo wakamuona msaliti haya sasa tunaomba makamba akazungumze na CUF kwa niaba yetu sisi hatutaki serikali ya umoja wa kitaifa kama janja yao ya kijinga.kiufupi hatudanganyiki tena
  18. M

    Jakaya Kikwete na Mizengo Pinda

    Hakuna cha mtoto wa mkulima wala nini,hasaidii chochote tangu ameingia nini alichofanya kikaonekana?kazi kulia lia tu na kujisafisha mbele za watu asionekane fisadi kwa kujiita mtoto wa mkulima.apinge hata mara moja kwa vitendo ufisadi kama anavyofanya Mh.Sitta.Kwangu Sitta ndio mtoto wa mkulima...
  19. M

    Police kauwawa vurugu za Arusha

    Hata mimi nimesikia polisi kauawa,wanasema kwamba polisi walimpiga risasi raia halafu kuondoa ushahidi wakashuka kwenye gari kuichukua maiti haraka,raia wenye hasira kali wakamuwahi askari na kumchoma kisu cha shingo.Tena kuna askari mwingine nimesikia tetesi kapigwa mawe mpaka kufa.so askari...
Back
Top Bottom