Search results

  1. Big Dy

    Garage bora kwa Mistubish

    Habari wanajamvi, Kwa wakaazi wa jiji la darslam nauliza wapi naweza pata garage nzuri au wataalam wa gari za mistubish SUV wasio na longo longo.
  2. Big Dy

    Je, hizi zaweza kuwa dalili za Pumu asthma?

    Habari za majukum wadau, Kuna mtoto wa mwaka mmoja sasa anasumbuliwa sana na kifua yaani anakohoa sana ikifika kuanzia midnight ila mchana kutwa husikii akikohoa. Hii ni baada ya kulala kwa muda then anzakukohoa kwa takribani nusu saa mpka lisaa akiwa usingizi mda mwingine mpka inabid aamshwe...
  3. Big Dy

    Tatizo la moyo

    Habari za muda huu wajenzi wa taifa hili, Leo asubuh nimeamua kuanza mazoezi ila baada ya kukimbia umbali mrefu kidogo nikaanza sikia maumivu makali ya moyo, je hili linaweza kuwa ni tatizo kwa afya?
  4. Big Dy

    Vinyozi wanahitajika

    Habari wanajamvi, natafuta vinyozi wawili wenye kujua kunyoa style zote kwenye barbershop ya kisasa. Salon ipo Temeke Chang'ombe. Tuwasiliane kupitia 0659782778 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Big Dy

    Kutengeneza mobile app

    Habari wakuu Nataka kujifunza kwa mtu anaejua kutengeneza mobile application either for Android or ios nitashukuru sana. Mwenye ujuz njoo dm tuyajenge
  6. Big Dy

    Nissan x trail

    Habari za muda wadau,nafikiria kununua Nissan x trail kutoka kwa jamaa yangu ambayo alichukua hapa hapa Tanzania kwenye show room Nissan Enzi ndo zina ingia. Nataka kujua zinakua na matatizo gani haswa hizi gari, na pia ni hatua gani natakiwa kufuata ninaponunua gari kwa mtu binafsi. Shukran
  7. Big Dy

    Doctor kahusika uzembe wa mtoto kufariki

    Habari wana jamvi, Nimetoka kumaliza msiba wa mwanangu wa kwanza aliefariki siku chache baada ya kuzaliwa. In short ishu ilikua hivi last Monday Feb 19th wife alienda kupiga ultra sound private hospital na akagundulika kuna meconium(maji machafu) kwenye mfuko wa mtoto, nikamshirikisha doctor...
  8. Big Dy

    Mrejesho wa hospital ya kujifungua

    Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje - JamiiForums Habari za mihangaiko wadau, leo nimeamua kuleta mrejesho wa kile nilikua nimeuliza wapi pazuri kwa mama mjamzito kujifungua. As I said nilikua nafanya klinik Muhimbili hospital na nikaamua kumalizia ng'we...
  9. Big Dy

    Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje

    Natumaini wote mu wazima mpaka kufika hapa. Naomba kushauriwa hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje kwa njia ya kawaida au mkasi? Nilikua muhimbil earlier kwa service zake nimeona nibadilishe gear angani hata kwa hiyo wanayoita fast track bado ni mtihani...
  10. Big Dy

    Perfume na Spray original

    Habari za mda huu wadau. Karibu ujipatie original perfume ya chaguo lako. Bei zake ni nzur kabisa call/whatsapp:0659782778, whatsapp only +44 7771896993 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Big Dy

    Maternity hospital

    Habari za mda huu wadau! Haya yule wifi/shemej yenu anakaribia kunifungua Mungu ashukuriwe. Napenda kuuliza je ni hospital gani nzuri ya private kwa kujifungulia kwa hapa Dar es Salaam na gharama zake? Klinik yake ilikua muhimbili ila tunapenda kwa kujifungulia tuhamie private. Ahsanteni...
  12. Big Dy

    Jiji la Dar es Salaam

    Habari za mda wadau Kwa kusikiliza hotuba za muheshimiwa mkuu wa nchi, kwa wale wakazi wa dar es Salaam wajiandae kisaikolojia kwamba mkoa utakuja kuwa wa gharama zaidi kuliko ilivyo hivi sasa. Chukulia madhalani miji mikubwa ya kibiashara kama Los Angeles, Dubai, New York maisha ya miji hiyo ni...
  13. Big Dy

    Ugonjwa wa makalio makubwa

    Wadau nina katabia ka kupenda kina dada wenye makalio makubwa na laini, kila nikijaribu kuacha haipiti mwezi nafeli, na mazingira ya kazi haşa nadeal na jinsia Ke kwa sana. Nifanye nini kuachana na haya matamanio
  14. Big Dy

    Dell Insprion

    Habari wakuu, Nimefuta service files pc yangu, na sasa napata ujumbe wa erro (0x80042302). Je nifanyeje ili kurudisha katika hali ya kawaida,ni install windows upya ama ni formart tu. msaada please wajuzi
  15. Big Dy

    Nimeamini mchepuko sio dili

    Niende moja kwa moja kwenye mada, Jamani hii tabia ya sisi wanaume au hata wanaweke walio olewa kuwa na mazoea na jinsia tofauti na mwishowe kupelekea kugegedana sio dili kabisa. Hii imetokea kwangu kabisa over the weekend zimefumwa sms za kunyegeshana na mtoto bado hajaliwa ila wife kaja...
  16. Big Dy

    Washindi wa Nobel Peace Prize 2018

    Tuzo za Nobel Peace Mwaka huu zimeenda kwa bw. Denis Mukwege na bi. Nadia Murad. Wamepewa tuzo hizo kwa jitihada zao za kutetea na kupiga unyanyasaji wa kimapenzi kama njia ya silaha na ukatili wa nguvu
  17. Big Dy

    Jinsi ya kubadilisha jina la Hati

    Habar za mda huu, Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba yote ya mauziano
  18. Big Dy

    Jinsi gani ya kubalisha jina kwenye hati?

    Habar za mda huu, Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba yote ya mauziano
  19. Big Dy

    madada wa salon za kiume

    hivi hawa wadada huwa mnaewaelewa kweli maana usipokua na akili yako timamu unaweza omba vitu vingine kichwa kichwa
  20. Big Dy

    Natafuta mpishi wa bites kama sambusa, vitumbua, maandazi na chapati

    Hello ladies and gents Natafuta mpishi wa bites kama sambusa,vitumbua,andazi na chapati na vinginenvyo. Kazi ipo dar es salam,kama kuna mtu yupo tayari ama kunna mtu unamfaham tuwasiliane. +255736 782778 au whatsapp +44 7771896993
Back
Top Bottom