Search results

  1. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Kumbe unaweza kuokoa mamilioni ya bill za maji na kupata faida nyingine nyingi kwa maji ya mvua!
  2. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Asante sana! Lakini je kisima cha kuchimba kikubwa kabisa kama ft 16 kwa 16 kina haja ya overflow pipe? Zinakaaje wakati kimeishia kama 1m above ground level? Je hizi ndo za kupumulia? Au za kupumulia si muhimu?
  3. S

    Msaada: Namna ya kuvuna na kuhifadhi Maji ya mvua

    Ni kama 700 kwa uzoefu wangu kwa size hiyo. Lakini acha aje kujibu
  4. S

    Msaada: Namna ya kuvuna na kuhifadhi Maji ya mvua

    Kwanza hongera sana!! Je uliweka chambers zozote katika mfumo wa ukusanyaji maji? Hiyo automatic pump inafanyaje kazi na inauzwa wapi na kwa bei gani
  5. S

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Wapi naweza kubadilisha betri ya iPhone 5 na kwa bei gani hapa Dar?
  6. S

    Miti kwa ajili ya kivuli

    Miembe ya kisasa ya ku badi inaweza kulete kivuli?
  7. S

    Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

    Wewe ndo unapaswa kulinganisha eneo hilo hilo mitandao hiyo ikoje. Kulinganisha maeneo tofauti ni kichekesho
  8. S

    Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

    Maana yake ni kwamba zikiisha haraka ni kwamba spidi ni nzuri zaidi na ubora ni mzuri zaidi and vice versa
  9. S

    Msaada: Computer yangu haikamati WI-FI tena

    Nami kwa Dell yangu nifanyeje nina tatizo hilo
  10. S

    Marekani yapeleka meli za kivita katika rasi ya Korea

    GDP ya North Korea ni $12.3 billion wakati South Korea ni kama $1.38trillion! GDP per Capita NKorea ni $555 kwa mwaka wakati SKorea ni kama $27,000 per year. GDP ya Tanzania ni kama $45billion, yaani zaidi ya North Korea Nini kinampa North Korea kiburi?
  11. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    NAOMBA KUJUA BAADA YA KUJENGA KISIMA NA KUKIPIGA PLASTA NA NIRU JE a). Ninaweza kukifunika juu kabla ya kuweka mabomba? Na mabomba yanajengewaje pale katika kisima? b) Je ngazi ya inajengewa kabisa ndani au?
  12. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Jamani wenye uzoefu tunaomba mjibu maswali yetu. Mnatusaidia sana!
  13. S

    Kuna tofauti kati ya foleni na ujinga; Hii ya Tabata Road ni ujinga grade 'A'

    Wote wakipitia huko foleni si itahamia huko nako?
  14. S

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Jamani iphone 5 yangu inasumbua ina kama strip kwa upande wa kulia juu hadi chini. Matokeo yake herufi upande kulia kama namba sifuri. Je solution ninini?
  15. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Kuanzia hapo kwenye freebody au dead body hebu fafanua zaidi...pia hiyo formula ifafanue zaidi
  16. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Asante sana kwa hilo. Je ni lipi lingine unaloweza kuchangia katika yaliyoongelewa au uyajuayo? Usichoke!
  17. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Niliwaza kuinua cha kwangu kwa 2feet kumbe haina haja sanaee Pia nimekuwa wakati wote nawaza juu ya kujenga kitu juu yake either chumba au simtanks ili nafasi hiyo isiwe wasted nk!
  18. S

    Nataka kuvuna maji ya mvua, nitumie dawa gani yasiharibike?

    Rudi nyuma utaona costs, ikiwezekana anza mwanzo wa thread hii upate kilakitu
Back
Top Bottom