Hapa Zanzibar Shein hakuchaguliwa na wananchi ila amewekwa kulinda utashi wa kisiasa wa Tanganyika. Wananchi wamemchagua Seif Sharif kwa sababu ya sera zake naimani yake kwa wananchi na Zanzibar. Msiwatukane wazungu , wala sisi hatupendi fujo ila ikiwa tutataka kulianzisha basi hapo bongo kila...
Waambieni hizo mahkama zao zimalizie huko huko London. Fukuza wao kwani mbona mnapenda saana kujikwekweneza kwa wazungu ? hao hawana kheri ila upendo wao ni kukunyonya tu baadae waje wakuletee visenti kidogo vya kufanyia uchaguzi.
Si huyu kuna wakati alidhamiria kumsweka Maalim Seif ndani mara tu akitua kutoka majuu, na huyu sharif wa Zanzibar akamwambia nitatua huko Bongo na husubutu kunishika ,Mangu akaufyata. Si alitaka kutumika kisiasa.
Miafrika inatawaliwa kwa kuwaogopa na kuwaheshimu sana wazungu, hii midude ni mijizi , funga baadhi ya migodi ,irudishe kwa wananchi. Che Nkapa aliwaona kama malaika akawapa migodi yote iliyonona na yeye akapewa zawadi ya pande la dhahabu lenye uzito wa mfuko wa cement kama zawadi. Mrema uko...
Mkuu ati wanakutishia nyau, Bush si mwizi tu , kawaibia Wairaqi dhahabu na mafuta yao na kubaka watoto wao. Wakileta gozi gozi mkaribishe Rais wa Iran aje atembelee Tanzania , pamoja na mbabe wao Kim wa S.Korea . Akina Bush na genge lake wataona jamaa hawa wamekuja kupewa Uranium, wala...
Niliwahi kusoma short course chuo alichosomea Mandela cha Grahamtown. Wazungu wapale walikuwa wanamsifia Mandela kwa jambo moja kubwa tena kiunafiki nafiki hasa pale wanapokuwa na waafrika weusi, kwamba ni shujaa wa kuleta umoja kwa mantiki ya kwamba amewaridhia wazungu na kuwafanya na kuwaona...
Kwani kuna tabu gani ukiteremka boti tu siku ya mwezi mosi Ramadhani kunywa soda hadharani na nakuhakikishia utasalia gereza la Hanyegwa mchana huko kwendea Chwaka mpaka mwezi mosi Ramadhani ya mwakani itakutosha kukata kilimilimi chako. Mwezi wa Ramadhani unaheshimiwa na nchi zote na kufunga...
Labda usishangae wanapata gawio la nyeti kutoka serikalini wao ndio chama wao ndio serikali. Kwani cabineti ya wizara ya fedha ina wapinzani, kule bandarini kwani kuna ukawa.
Nadhani useme tu kwamba Zanzibar kumefanywa lipi lakini usitaje kabisa kama hakuna mgogoro. Upo mgogoro baina ya genge linalotawala kwa kunyakuwa madaraka ambayo hawakuchaguliwa na wananchi. Nikurudishe nyuma utawala haramu umekuwepo Zanzibar tokea 1600 wakati wa wareno , 1832 mpaka 1856 wakati...
Mbona Seif ni shupavu toka enzi za ukoloni, hakimuogopa mtu la ukweli akilisema na msimamizi wa haki. Hata alipokuwa Chuoni UDSM, na alipokuwa waziri wa elimu watu wengi walipata nafasi za kusoma nchi za nje, alipokuwa waziri kiongozi mwaka 1984 ndie muanzishaji wa sera hii ya biashara huru...
Kama mbunge anaweza kuleta maendeleo basi wabunge wanaotoka Pemba na wwawakilishi wao wangeweza kuibadilisha Pemba kwanza. Hata wao wawe na mbinu nzuri lakini kama serikali haitaki kubadilika katu maendeleo hayaji. Kule Pemba serikali ya ccm inaweza kukataa kutekeleza jambo muhimu sana kwa...
Si wamesomeshwa na hao hao wakoloni, hawana uzalendo wa kuendeleza bali ni kupiga pesa tu. Kwani na wengine hata hizo nafasi za kwenda kusoma si walienda kiupendeleo tu ili waje kuwa watii kwa waliowapeleka.
Sema hivi , Askofu Gwajima akutana na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi mh, Seif Sharif Hamad. Sisi wananchi ndivyo tujuavyo. Hao wengine ni vibaraka vya mkoloni tu.
Ushauri wangu , Uchaguzi wa 2020 pigieni kura upinzani na kampeni zeni zitangazeni hadharani kwamba ifikapo 2020 kura kwa wapinzani, mkifanya hivyo maccm yatakuja mbio mbio kuanza kuwatengezeeni bara bara zenu. Pia mkiona wanalemaa anzeni kusema kwamba nyinyi mtajiunga na asili yenu ya Malawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.