Search results

  1. S

    Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

    Hivi nikweli kabisa kwa mtazamo na uelewa wako kwa kinachoendelea mahakamani unasadiki kuyaongea haya? Au wewe niwale matomaso? Kwamba unacho kijua ndivyo lasivyo ushuhudie mwenyewe? Hata kama hatujui sheria au hatuna uelewa jamaa zako wana toa povu hadi ina keraa. Kupotezeana muda kwa mambo ya...
  2. S

    Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Brother Pascal sijui nikitu gani kimekusibu hadi ukawa wa hivi. Anway nilikuwa shabiki yako na mfuatiliaji mkubwa wa Maandiko yako that's why nakushangaa. Among the Journalist waliokuwa wamejijengeea Credibility hadi kufanya watu kuwa na hamu ya kufuatilia au kutamani siku ya kipindi unacho...
  3. S

    Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

    Hili ndiyo Tatizo kubwa tulilonalo Watanzani. Badala ya kujenga hoja inayoweza kuwashawishi watu waelewe au wakubaliane na hoja zako sisi tunamshambulia mtu personally. Vijana lazima tubadilike tujifunze kujenga hoja. Kwanamna vijana tunavyoenda ndiyo maana tukiitwa kuelezea matatizo yetu...
  4. S

    Mbowe kaja operesheni nyingine ale hela ya wafadhili

    Ndugu yangu ushaishiwa na ndiyo unapotea mazimaa!! Chukuwa ushauri mzuri kutoka kwa Kigogo kwamba kijana usichukulie siasa kama ajira. Una professional yako is much better uka practise. Umetumika vya kutosha kunafaida uliyo ipata? Siasa ishabadilika hii Fanya yako kwa faida yako na familia...
  5. S

    Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

    Yaniii wewe sikuhizi hueleweki kabisaa. Bora hata enzi za mwendazake tulijua wewe ni Mataga. Anwaya hujaeleweka maana kwa sisi ambao sio mashabiki wa vyama tunawaelewa CHADEMA ni nini wanataka. Hoja yao kubwa ninani aliyepeleka majina ya hao viti maalumu cause Viongozi wote wajuu hawatambui...
  6. S

    Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

    Ndiyo ujue sasa kuwa mambo yameharibika na usiweshabiki mandazi pasipo kujiuliza au kujua unashabikia nini. Huwa na soma mandiko yako sana nakosaga hata cha kukoment. To be honest tusipokuwa makini na kuungana kulinda heshima ya nnchi yetu tutakuwa kituko juuu ya vituko vya watawalaaa.
  7. S

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

    Moderator sijajua ni njia gani atakayo tumia kujibu hayo maswali. Nilikuwa naomba au nashauri apewe Airtime kwenye media yoyote iwe live. Kama itashindikana basi hata kwa online Tv kama wanavyo fanya Dar mpya inasaidia sana. Akijibu kwa maandishituu hainogi sana wengine wavivu wa kusoma lakini...
  8. S

    Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Tutawashughulikia walioandaliwa kufanya vurugu

    Yaani wanaharibu kabisa ladha na maana ya ushindani kwenye uchaguzi huu. Wagimbea wengi wako fair sana kama Arusha sikutegemea kabisa. Sasa wanapo waingilia kuchochea vurugu kuwafungulia makesikesi wanaharibu kilakituu
  9. S

    Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Tutawashughulikia walioandaliwa kufanya vurugu

    Pia sina chama ila vinauzi sana. Yaanii Timu A wanafanyiwa vurugu kamisaa wa mchezo IGP anaungana nao pamoja na refalii ambae ni tume kukemea wakijifanya wako fair. Tena hadi watu wanatoa ubani. Sasa ikija upande mwingine watendewee husikii hata kauli ya kukemea. Leo nimeona gazeti mojatu la...
  10. S

    Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Nilikuwa nimebakisha asilimia 10 za kukuheshimu kama mwandishi wa habari nguli ulie bobea. Kwanini kwasababu ulikuwa unasimamia hoja na kuongoza mijadalaa hadi rahaaa. Kaka Tatizo ninini? Umrii? Au uteuziii? By that time hukuwa mwanasheria now days ukajiendeleza but what your doing is rubbish...
  11. S

    CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kaka tukiachana na ushabiki wa kisiasa kiukweli kabisa nikama tunafanya dhihaka hakuna maombolezo bali tunaigiza kuomboleza kwa kupandisha bendera nusu mlingoti. Nakumbuka alipo Fariki mwalimu Nyerere au Dr Omari Ally Juma by then marehemu ndiye alikuwa Rais ilikuwa redio zote na television...
  12. S

    Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

    Chuki ipi? Alilo lifanya Lugola nisahihi? Hivi kweli kwa ufahamu wako wote hadi leo hii na umri ulionao nisahihi kumfananisha Binadamu wa leo na mitume? Tuache masihara na ushabiki wakijinga. Mungu hadhihakiwi. Tukemee huu upuuzi wa wanasiasa njaaaaaaaaaa.
  13. S

    Yawezekana Mbowe anachanganya kwa pamoja madaraka ya KUB na Mwenyekiti wa Chadema na matokeo yake ni kutenda Uonezi!

    Una taka wafuate utaratibu gani? Selasini na Komu walishasema ubunge ukikoma wanaenda NCCR chadema wakaheshimu maamuzi yao. Sasa je nisahihi kuendelea kukishambulia chama ambacho kilipa lidhaa ya kugombea na kupata nafasi za ubunge? Rwakatare kasema anastafuu kwahiyo atakuwa benchi chama...
  14. S

    Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

    Binafsi Mimi siyo mwanasiasa ila napenda siasa kwani ndiyo imekuwa kitovu cha kujipatia maendeleo kwa lugha nyingine ndiyo mstakabali wa maendeleo ya Nchi. Japo sikubaliani na jambo hili kabisa kuwaachia wana siasa Mstabali wa maendeleo ya Nchi na kuwaacha wataalam. Usibitisho was hili angalia...
  15. S

    Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

    Binafsi Mimi siyo mwanasiasa ila napenda siasa kwani ndiyo imekuwa kitovu cha kujipatia maendeleo kwa lugha nyingine ndiyo mstakabali wa maendeleo ya Nchi. Japo sikubaliani na jambo hili kabisa kuwaachia wana siasa Mstabali wa maendeleo ya Nchi na kuwaacha wataalam. Usibitisho was hili angalia...
  16. S

    Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

    Yanii kama wewe ni PHD duuuu!!!! Itakuwa no fedheha Sana'a kwa ma PHD holder maana ni aibu kwanzia post yako ya kwanza na majibu unayo yatoa. Binafsi naomba kukuuliza hivi kati ya Chadema na Selasini, komu na Rwakatare alieanza kukikacha chama ninani? Hawa kumbuka walikuwa viongozi tena...
  17. S

    Kauli tata za Viongozi juu ya ujio wa dawa ya Madagascar ya kutibu virusi vya Corona Covid-19

    Licha ya hivyo walisema wanaenda kuchukua Dawa which means washajilizisha kuwa nidawa inatibu. Maelezo ya leo sasa nitofauti kabisa na makusudio na shauku tuliyo kuwa nayo Wananchi. Binafsi nahisi ile takwimu iliyo tolewa kuwa Madagascar kunaongezeko kubwa la wagonjwa licha yakuwa na dawa...
  18. S

    Kigwangalla: Hali ya utalii ni mbaya, tutapoteza 75% ya mapato ya utalii sababu ya Corona

    Wewe mtu hata hueleweki. Au mpo watu wawili tofauti mnatumia ID moja?
Back
Top Bottom