Search results

  1. K

    Mbunge Komba ashtakiwe

    Mi naona hata mama yake Lulu nae wa kuwekwa ndani,kwani yeye akiwa mlezi wa lulu alikuwa haoni anayofanya mwanae akamkanya? na je huyo mtoto anayedai ni wa miaka 17 alikuwa anafanya nini usiku mnene kwenye chumba cha mwanaume? unajua ngoma ikilia sana hupasuka,sasa hii ya lulu ndio imefika...
  2. K

    Tanesco na huduma za kitapeli

    Yaani ndugu yangu ukiongelea Tanesco unaongelea serikali,hii ni kampuni yetu watanzania wote,inauwawa kama kampuni na viwanda vingine vilivyouliwa. Wanasubiri kuibinafsisha ili watanzania tukawe vibarua kwenye mali zetu wenyewe.
  3. K

    Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

    Ni wakati muafaka wa sisi watanzania kuamka na kwa vitendo,tumeongea sana arusha wameanza na wengine tuamke,tusiwe waoga tujitetee kwa vitendo.
Back
Top Bottom