Search results

  1. Free Again

    Hatua za kupata mirathi

    Nakushukuru sana ndugu, ngoja nisubiri somo hilo, pengine nitajua na kujifunza mengi. Hapa umenipa mwanga lakini haunitoshi kuona
  2. Free Again

    Hatua za kupata mirathi

    Mwanzoni pale nimeanza kuelezea kuwa, kaka yangu alifariki alipata ajali ya pikipiki na alikuwa mwalimu.
  3. Free Again

    Hatua za kupata mirathi

    Nawasalimu ! Mwaka 2013 nilimpoteza kaka yangu kwa ajali ya pikpiki. Yeye alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mimi kipindi hicho nilikuwa chuo mwaka wa Kwanza. Baada ya mazishi na msiba kuisha, kikao kilikaa kwa ajili ya mirathi na mimi ndiye niliteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi, lakini...
  4. Free Again

    Naomba msaada wa kisheria kwenye jambo hili

    Ndugu yangu Vitalis Msungwite ,nakushukuru sana tena sana. Niseme tu Mungu akubariki. Umenisaidia sana
  5. Free Again

    Naomba msaada wa kisheria kwenye jambo hili

    Habari za majukumu wanajukwaa! Kwa mara ya kwanza natua kwenye jukwaa hili jukwaa,nikiwa na shida ya ushauri kutoka kwenu! Niende moja kwa moja kwenye suala lenyewe. Kuna jamaa mmoja tulifahamiana 2019. Mimi nikiwa na genge,yeye akiwa anachota maji ziwani kisha anayauza mtaani kwa mia mbili...
  6. Free Again

    Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

    Hakuna kilichoharibika wakae wanyakyusa ama wasafya yote ni sawa,hakuna aliyewafukuza wasafya ni wao wenyewe na ubinafsi wao .by the Way "survival for the fittest"
  7. Free Again

    Je, unafahamu sehemu salama za kuhifadhi wosia?

    Je, mtu anaweza kuita watu wake wa karibu na kuwasomea wosia au ni Siri haitakiwi kila mtu ajue?
  8. Free Again

    Kusafirisha mizigo kutoko China kuja Bongo

    Wengi tunatamani kuagiza,lakin dunia hii Haina usalama kabisa
  9. Free Again

    Anayefahamu maudhui ya tamthilia ya saloon ya mama Kimbo kwa kizazi kijacho anijuze

    Tamthiliya ya saluni ya mama kimbo Haina mchango chanya kwenye jamii ya kitanzania, Africa na dunia kwa ujumla.Ni ujinga tu.zipo njia nyingi za kufundisha jamii hasara za umbea lakini sio kwa njia hii ambayo kama imetumika kama kusapoti umbea hivi.wahusika hawaeleweki leo huyu kaka kesho ni mume...
  10. Free Again

    Yupo wapi Member mwenzetu Evelyn salt?

    Kweli comments zake na Post zake sijaziona kwa muda sasa
  11. Free Again

    Naomba ushauri kuhusu fursa za kilimo na ufugaji

    Nishalima San ndugu sema mazingira niliyopo yana changamoto nyingi sana
  12. Free Again

    Naomba ushauri kuhusu fursa za kilimo na ufugaji

    Asante ndugu yang #sisi sote ni ndugu
  13. Free Again

    Naomba ushauri kuhusu fursa za kilimo na ufugaji

    Asante ndugu yang #sisi sote ni ndugu
  14. Free Again

    Naomba ushauri kuhusu fursa za kilimo na ufugaji

    Habari za majukumu! Jamani naomba kujua ni sehemu gani( mkoa au wilaya) ambayo ni nzuri kwa kilimo chochote iwe mahindi,mpunga,karanga,alizeti nk. Nataka nijikite rasmi kwenye kilimo ila kabla sijachakua sehemu ya kwenda nimeona niulizie wadau! Penye wengi hariharibiki neno! Karibu kwa...
  15. Free Again

    Ni wapi naweza kupata Soko la Bata?

    Habari za majukumu! Nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu. Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume. Naomba kujua wapi naweza nikapata SOKO lao! Na hata kama ni wewe uko interested waweza kuwasiliana nami kwa Namba ya simu ni...
  16. Free Again

    Naomba kuelekezwa namna ya kuanzisha online TV

    Naomba kujua namna ya kuanzisha online TV, taratibu zake na mambo yanayofanana na hayo. Natanguliza Shukurani.
  17. Free Again

    Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

    Vip magadi yanaweza kutumika kama mbadala wa chumvi
  18. Free Again

    Tume ya ajira makosa haya ni bahati mbaya au mlidhamiria??

    Mkuu ulifuata vigezo vyao vyote? Mfano picha,kusain barua na CV, Ku certify vyet nk? Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Free Again

    Nawezaje kuzitambua memory na flash original?

    Shukran sana Castr Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom