Search results

  1. A

    KKKT yatahadharisha kuhusu COVID19

    siku zingine jitahidi kuficha ujinga wako
  2. A

    Hivi ambao si Wachagga huwa wanajisikiaje wakiona Wachagga wakihangaika kwenda makwao Desemba?

    hiyo namba mbili mkuu nimecheka sana hako kamsemo papa wa chamwino anakucheki tu
  3. A

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga imekifungia Chuo kinachotoa mafunzo ya Usafiri wa Anga kwa kukiuka kanuni zilizowekwa

    Hajawahi kuwa Rubani mkuu,huyo mzee by professional ni flight despatcher
  4. A

    Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

    Huyo afisa alitumwa kutoa taarifa,Kuna kambale wako ofisini ambao ni Johari na Filikunjombe,tangia Johari asifiwe na Magufuri kuwahujumu fastjet Basi no mwendelezo uleule wa hujuma.
  5. A

    Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

    Thubutu mkuu,hii ni janja ya CCM kupunguza wananchi kwenda Zakheem,hawarushi hao ni propaganda tu na Jambo msilojua wanataka akianza lisu kumpiga mawe Meko wakatishe matangazo.
  6. A

    Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

    Vip office kuchomwa haiwezi kuwa mwanzo wa mauaji?mbona hatujawasikia kwenda Arusha na mbeya kuwatia mbaroni wachomaji office za chadema?
  7. A

    NIDA IIala ni aibu na fedheha kwa Serikali

    Wadau nimekuwa nikifuatilia kitambulisho changu cha uraia tangu mwaka jana, Kila siku umekuwa danadana. Kilichonifanya nilete Uzi huu no uzembe wa mamlaka pale unapokatika umeme kushindwa kutimiza majukumu yao kwa kisingizio cha kukatika umeme wakati wanayo standby generator. Nilipouliza...
  8. A

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Hee gwe ifumu ujobile ngupilike
  9. A

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Kuntufya nungwe afwene ngati Jo nialu
  10. A

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Ahaaaa ahaaaaaa umetuonea kwa hili mkuu
  11. A

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

    Mkuu asubiri naye Mungu mtu amjibu siku yakeikifika,lisu anaonyesha yaliyo madhaifu yaliyotokana na udhaifu wake
  12. A

    Dkt. Hassan Abbas usipambane na Kikwete siyo saizi yako. Acha kupotosha umma kwa njaa zako

    Mwache alowe mbona yeye anadhalilisha walio chini yake mbele ya wananchi na kuwatolea shiti.umesahau alichomfanyia Mkuu wa Takukuru,Das wa kisarawe.
  13. A

    Maajabu wasomi wa chuo kikuu wanashindwa hata kujieleza kwa kiingereza

    Siyo kweli walimu wengi hapo NIT wametoka hapo hapo NIT,Enewe hujui huyo Dereva muda mwingine anatakiwa kupeleka mzigo Zimbabwe atabonga kiswahili huko?
  14. A

    ATCL bado sana kwenye Safari za anga

    Kuna miaka ya nyuma 2008 baadhi tuliondoka kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine kwa sababu kulikuwa hamna ndege hata moja, Tulitaka kurudi tukiwa na rating za ndege mbalimbali,wakatuletea fitna wakiogopa kuporwa nyazifa zao huku visingizio kibao,kwa Sasa Kuna mpasuko wa ATCL...
  15. A

    Halotel msikasirike, mjitathimini na call center yenu

    Nimewapigia kuwatarifu kuwa kuna tapeli anataka kunitapeli kwa kukopi na kupaste ujumbe wenu wa Halo Win akitumia simu 0627205377 Mkaniambia niwatumie no iliyotuma ujumbe nawapigia hamtaki kupokea kwa hasira sasa nawatumia kupitia jamiiforum namba iliyotuma ujumbe hii hapa 0734269327 na Mimi...
  16. A

    Vyombo vya Habari Tanzania na COVID-19

    Huwa najiuliza iweje Vyombo vyetu vya Habari vina uwezo wa kuripoti maambukizi na vifo vya COVID-19 nchi jirani kama Kenya, Rwanda, Uganda na nchi zingine za mabeberu lakini hawawezi hata kidogo kwenda kufanya uchunguzi kwenye mahospitali yetu Je, Tanzania ni zero COVID-19? au vyombo vyetu vya...
  17. A

    Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    hp4510, Point yangu Mkuu ni tukio zima kuandaliwa kimkakati na CCM hasa baada ya kuvuruga uchaguzi Wa serikali za mitaa na kuwepo na lawama kila kona,kwa sasa CCM hawana Nia nzuri na Taifa hili.
  18. A

    Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Mimi mwenyewe moyo wangu umesononeka na kuumia Sana wakati naona Magufuli hayuko tayari kuona upinzani nchini. Magufuli ameua,amefunga wapinzani,amepoteza watu na kujeruhi wapinzani kwa Risasi Leo CDM kirahisi wanasema wanataka maridhiano na CCM hapo wameingizwa chaka,umehalilisha utawala...
Back
Top Bottom