Search results

  1. Ipililo

    Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    Moja kati ya comment ya kimbumbu kabisa. Majoka yamecheka sana yaliko hasa lile mdimu
  2. Ipililo

    Tuache kudharau Watanzania wenzetu

    Bado nonsense zmetawala Taifa la walalamishi
  3. Ipililo

    Tuache kudharau Watanzania wenzetu

    Your talking nonsense bro
  4. Ipililo

    Rais Magufuli nikukumbushe kazi tuliyokutuma, maana unayofanya mengi ni Batili!

    Lema ni nabii, magu ni binadamu. Sasa unaposema anapambana na Lema sion connection ya binadam kupambana na nabii
  5. Ipililo

    Rais Magufuli nikukumbushe kazi tuliyokutuma, maana unayofanya mengi ni Batili!

    Yote hayo alikuahidi atayatekeleza ndani ya mwaka mmoja? Au miaka yake kumi? Viroba vibaya sana
  6. Ipililo

    Hivi ni kweli kwamba CHADEMA imefilisika kisera?

    Imefirisika mubashara
  7. Ipililo

    Kamanda Diwani Athuman, amepewa majukumu yasiyoendana na weledi wake?

    Mbona majukum yanaendana na qualifications zake. Hasa jukum namba 2 na 7.
  8. Ipililo

    Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Hakuna kitu kama hiki. Labda sema ni unabii au umeota
  9. Ipililo

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    SAWA NA SHETANI KUOMBA RADHI KWA KUUDANGANYA ULIMWENGU. NEVER WAMESHAZOEA VYA KUNYONGA
  10. Ipililo

    Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

    Kwanini tusianze na hao wanaoleteleze kuchafuka kwa image? Solution ni kuwaacha wafanye walitakalo? Upuuzi
  11. Ipililo

    Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

    Hakuna mpuuzi yeyote atakaeandamana Labda hao wakina lowasa na mbowe Maana sisi wanachadema wa ngazi za chini hatuoni sababu ya maandamano hayo Kupinga kile ambacho hao hao wakina mbowe walikilalamikia kuwa hakifanyiki kwa miaka mingi Leo kinafanyika hao hao wanakipnga huo ni ulofa na upumbavu
  12. Ipililo

    Siri za wanaorudi CCM toka upinzani zavuja

    Mwandishi wa hii hekaya amejawa na hofu ya wanasiasa kurejea CCM Namshauri tu atulize moyo wake Watu wenye nia ya dhati wasioendeshwa na remote ya mbowe wafanye maamuzi yao wenyewe na usiuaminishe umma ya kwamba wanashawisiwa. Unataka kutuaminisha ya kwamba hata kuondoka CCM WALISHAWISHIWA?
  13. Ipililo

    Siri za wanaorudi CCM toka upinzani zavuja

    Eti utawala dharimu wa CCM Unaujua utawaladharimu wewe mshika UKUTA?
  14. Ipililo

    Hongera Rais Magufuli kwa kufikisha siku 200 Ikulu

    Mnamo 26, march 1983 Mzalendo Hayati Edward Moringe Sokoine alisema yafuatayo, " Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta, kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra za Mungu na wananchi wake peke yake, VIONGOZI WAZEMBE NA WABADHIRIFU WAHESABU SIKU...
  15. Ipililo

    Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

    Hata hao marekani wanaowatuma kulazimisha bunge laiv kwao hawaonyeshi laiv.
  16. Ipililo

    Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

    Nyumbu huwa hamuelewi mpaka damu masikioni
  17. Ipililo

    Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

    Ulimuamin ndo maana ukamchagua. Sasa mpaka umuone ?
  18. Ipililo

    Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

    Utajua pale utakapoyaona maendeleo jimboni kwako
Back
Top Bottom