Search results

  1. Saint Changas

    Historia ya Juma Nature

    Hii historia ya Nature ni batili. Yawezekana msimuliaji amepata taarifa alizozitumia katika andiko lake kutoka katika chanzo kimoja na ambacho si cha uhakika. Nasema hivi kwa sababu, mambo mengi yaliyoelezwa na nyakati zake za kutokea vinakosa unasaba. Nianze na hili la Nature kujiunga na TMK...
  2. Saint Changas

    NHIF mnazingua

    NHIF itumbuliwe Tunatambua umuhimu mkubwa wa mfuko huu wa bima ya afya lakini huduma zao haziridhishi. Shirika hili limekua likichelewesha vitambulisho vya bima y afya kwa wanachama ilhali wanakata fungu lao tangu mshara wa kwanza. Wachangiaji wa mfuko huo wanalalamika kwa kulazimika kulipia...
  3. Saint Changas

    Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

    Kila king'amuzi kinatolewa malalamiko aisee! Dstv bei ya vifurushi iko juu Azam wanachannel za hovyo na wanapisha hadi local chanel Star times kinascratch sana Continental ni kama star times. Vipi kuhusu TING?
  4. Saint Changas

    Usafiri wa Makonda kwa walimu ni balaa tupu

    Kuna wakati serikali inabugi waziwazi, na katika hili suala la walimu wanaoishi na kufanyia kazi Dar kusafiri bure wamebugi pia. Nasema hivyo kwa sababu; kero ya usafiri haipo Dar peke yake, iko katika mikoa yote mikubwa. Hivyo inawahusu walimu wote. Kero ya usafiri haiko kwa walimu peke yake...
  5. Saint Changas

    Wako wapi hawa wasanii wa Bongo Flavour?

    Sista P hasim wa Rah P, yuko wapi pia?
  6. Saint Changas

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Wakuu mi nina kiu ya kufa kwa vitabu vya Edi Ganzeli. Nilisoma kazi zake nikiwa bado mdogo na nyingi sikua nimezianzia mwanzo ama kuzimaliza. Mwenye kuweza kunisaidia namna ya kuvipata hivyo vitabu ani-pm tafadhali.
  7. Saint Changas

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Mkuu nahitaji hicho cha 'Unyama wa mafia' nisaisaidie nikipate
  8. Saint Changas

    Giza ni nini?

    Giza ni kutokuwepo kwa mwanga. Na matokeo ya giza ni vyanzo vyote vya mwanga kusimama kutoa mwanga
  9. Saint Changas

    Ni wakati upi roho huuingia mwili?

    Kwani mchakato wa roho kuhama hufanyikia wapi? Labda jibu la swali hilo linaweza kutupa mwongozo wa kupata majibu ya swali lako.
  10. Saint Changas

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Wakuu wenye uelewa katika hili naomba msaada, Ninahitaji kuwa na home industry, itayohusika na izaloshaji wa mvinyo. mahitaji yangu ni vifaa vya kufungashia bidhaa(plastic) na kifaa cha kupimia alcohol. Nahitaji kujua brand za mashine na bei zake
  11. Saint Changas

    Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

    Yap, Jamaa angekua padri ila kusoma soma sana kulimfanya akutane na maandishi ya Albert Camus ambayo kwa kiasi kikubwa yalimfanya aanze kujiuliza upya ju ya dhana ya maisha na maana yake. Lakini kufukuzwa kwake upadri kukawa ni mwanzo wa hisia mpya za kifalsafa. Ni watu wachache sana...
  12. Saint Changas

    Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

    Wakuu, nafurahishwa na uchangiaji wenu, unanifunza mengi. Ila ninachotaka kujua ni kweli Kezilahabi alifukuzwa nchini?
  13. Saint Changas

    Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

    Hivi ni kweli huyu jamaa alifukuzwa nchini?
  14. Saint Changas

    Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

    Mkuu, ndugu yetu hapo juu ametaja jina la kitabu, Nagona. Pia ameandika kitabu kingine kilicho katika mtindo wa 'novela' kinaitwa 'Mzingire' Nguli huyu pia ni mshairi mzuri, na ndiye mwalimkuu wa mashairi yasiyo na vina, Masivina. Ameandika kdiwani ya ushairi inayoitwa 'karibu ndani' katika...
  15. Saint Changas

    Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

    Najua wengi mnaikumbuka riwaya ya 'Rosa Mistika' au ile 'Kichwa maji' zilizoandikwa na Profesa Euphrase Kezilahabi. Lengo la kuleta uzi huu ni kutaka kujua kama kweli Prof huyu alifukuzwa nchini kwa sababu ya kukashifu falsafa na siasa ya ujamaa wa Tanzania kupitia tamthiliya yake ya 'Kaptura...
  16. Saint Changas

    Pamoja na "Uzungu mwingi" sisi bado ni Wabongo

    Dawa ya jipu ni kulitumbua. Isitoshe jamaa yetu jipu lake limemkaa pabaya(kwenye ndoa)! Akaze moyo amueleze mkewe, la sivyo ataendelea kujikaanga kwa mafuta yake(siri)
  17. Saint Changas

    Mawaziri wateule wasio na vyama

    Pengine wana kadi za vyama, huwezi kujua
  18. Saint Changas

    Tanzania na kizazi cha wasomi wezi na wavivu!

    Jinsi wizi ulivyotamalaki inatia kinyaa. Imefiki hatua watu kujinadi hadharani kuwa ni kweli wao ni wezi na wanaiba na kupeleka hela majimboni mwao. Kwenye sakata la escrow kuna fisadi papa mmoja alikiri jimboni kwake; "ni kweli nimeiba lakini sehemu kubwa ya nilichoiba nimekileta jimboni tule...
  19. Saint Changas

    Katazo la serikali kuhusu matangazo ya tiba asili/mbadala

    Serikali kwa namna moja ama nyingine inakosea. Ingeanza na usajiri wa watoa tiba lishe na baada ya hapo ingeagiza kila mwenye tangazo ni lazima.alipitishe wizarani ila kuhakikiwa. Hawa jamaa sometimes wanamafundisho mazuri ambayo kupitia kwayo tunajitibu na tunajiepusha na magonjwa yasiyo ya...
  20. Saint Changas

    Ninaacha Ualimu tangu leo

    Kauli zako zibakusaliti kwa upande mwingine. Umetumia kauli kuwa, "ugumu wa maisha kipimo cha akili" Kwani akili yako unataka ipimwe na ugumu gani? Huoni kama hiyo ni changamoto ya kutosha kujipima? Kuacha kazi siyo suluhisho kwa sababu; hata ukiacha kazi haimaniishi kwamba pesa hiyo ndiyo...
Back
Top Bottom