Search results

  1. social_science

    Wasomi wana hali mbaya mtaani mamlaka husika tafuteni suruhisho suala la ukosefu wa ajira

    Mapema leo natumia mtandao fulani wa kijamii nimekutana na hii picha mpaka imenisononesha,vijana toka familia duni wamekua wahanga wa kubwa na ukosefu wa ajira.Huyu bwana mdogo ana degree mwaka wa nne sasa yupo mtaani nimeshtuka sana nilipoona mwonekano mpya sio tena yule bwana mdogo niliomzoea...
  2. social_science

    Kuna uwezekano nimewekewa kikwazo kutofanikiwa jambo hili??

    Habari wakuu Natumani mnaendelea vema,tumevalishana pete za uchumba na mpenzi jambo la kushangaza mahali pete ilipo kidoreni kuna maumivu makali napoivua hali ni shwari shida inakuja napoivaa napata maumivu kama nachomwa sindano. Msaada tafadhari.
  3. social_science

    Kwanini kina dada wanapoona ndoa inafungishwa mahali wanasonya???

    Mapema leo siku ya ijumaa ndugu zetu wa upande wapili upenda kuita Ijumaa kukuu nikiwa nimejipumzisha mahali kutokana na uchovu wa pilika pilika za hapa na pale lakini pia na uwepo wa jua kali,zikapita gari zaidi ya 5 zikiashiria ndoa inaenda kufungwa mahali tukio ili limechukua attention ya...
  4. social_science

    Serikali za mitaa wanahujumu zoezi la vitambulisho vya Taifa

    Ukifika unaambiwa inahitajika hela ya maji ili kamati ya ulinzi na usalama ya kata ikujadili endapo ukipangua huu mzinga. Wanakukamatia kwenye fedha ya ujenzi wa madarasa hapa hauchomoi(fedha zenyewe sidhani kama zinafika sehemu husika)
  5. social_science

    TRA,TFDA,TBS tazameni kwa makini hii pombe ya K-Vant

    Heri ya mwaka mpya wanaJf. Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019. Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale. Wakati nipo...
  6. social_science

    Tatizo la adapter ya pc kuunguza waya unaoelekea kwenye switch ya umeme

    Habari Geek Nimekua nikikumbana na tatizo la adpter ya pc(dell) kuunguza waya wa kiungio unaoelekea kwenye switch ya umeme nimejaribu kubadilisha waya mara kadhaa kwa kudhania nayoumia sio OG ila tatizo liko pale pale. Msaada tafadhari.
  7. social_science

    Infinix smart 2 vs infinix hot 6

    Habari Geeks Nina plan ya kumchukulia bwana mdogo smartphone kati ya hizo nilizoainisha hapo juu kwaajili ya matumizi ya kawaida,camera na perfomance ya simu husika vinapewa kipaumbele. Nawasilisha.
  8. social_science

    Hii imekaaje wakuu

    Unamtongoza mwanamke baada ya muda kupita habari za mtongozo zinaanza kusambaa kwa watu wake wa karibu ,unaweza kuta kakataa offer ya mahusiano ila wakat unapokatiza mahali walipo wanaanza kusemezana "Yule pale alinitongoza" kwanini wasifanye kupotezea maana hakuna kinachoendelea kati yao
  9. social_science

    Wale jamaa wa research wameisha ita???

    Kuna tangazo niliona katika mitandao kampuni fulan dsm inatafuta watu kwaajili ya utafiti.
  10. social_science

    Nijuze utaratibu kwa aliepoteza cheti cha kuzaliwa

    Habari wakuu. Nimepoteza birth certificate naomba kujulishwa kama naweza renew ili niweze kutumia kwa matumizi mengine
  11. social_science

    Vivutio ziara ya Rais Magufuli mkoani Mara

    Wakazi wa wilaya ya musoma na viunga vyake tumepata bahati ya kushuhudia ziara ya kikazi ya Dr Magufuli kwa mara ya kwanza baada ya kuingia madarakani,hakika ni jambo la kujivunia kwetu sisi wakazi wa mji huu ikiwemo kushuhudia motorcade ikipewa escort ya ndege tofauti na maeneo mengine nchini.
  12. social_science

    Starmedia wapuuza maagizo ya TCRA

    Mamlaka husika walitutangazia ifikapo tarehe 05/09/2018 channel zote za ndani katika kisimbusi cha startime zinazokadiliwa kufikia 38(kama sikosei) zitapatikana bure bila malipo ya kila mwezi. Kitu cha kushangaza mpaka muda huu nawasha kisimbusi changu hakuna kitu kama hicho.Sina lengo...
  13. social_science

    Zoezi la kutafuta mchumba limekuwa gumu

    Wakwanza wakati tunafahamiana alidai ni yatima baada ya muda kusonga nikagundua wazazi wote wapo hai tena wazima wa afya huyu alikua mdangaji hakujua nina dhamira ya kuoa hivyo basi akaja na gear ya uyatima kupata slope. Wapili kuna wakati ukimpigia simu ipo busy karibu muda wote(blacklist)...
  14. social_science

    Aliefanikiwa ku-comfirm Udom atujuze

    Toka asubuhi najaribu kufanya zoezi hili bila mafanikio,aliefanikiwa atujuze tafadhari.
  15. social_science

    Ada chuo kikuu bugando

    Habari wakuu Naomba kujuzwa ada chuo kikuu bugando kwa course ya medical labaratory ni kiasi gani
  16. social_science

    Nijuze kuhusu bodybuilder Mwarabu figher

    Kwema wakuu Katika pitapita IG nimekutana na post ya bodyguard wa msanii Diamond akiendelea na majukumu yake mengine(kapata boss mpya) Najua hapa Jf kuna wajuzi,nipeni ronja nini kimemsibu huyu bwana kuacha kazi.
  17. social_science

    Nawezaje kumtambua mwanamke aliyewahi kujifungua?

    Habari wakuu,kuna jambo limenitatiza japo kwa wengine inaweza kuwa rahisi kulingana na asili ya mazingira waliokulia.Kwa ufupi nina mchumba tumeahidia kuishi pamoja hapo baadae,tatizo limekuja wakati tunanjunjika kwa mara ya kwanza (sababu tulikua maeneo tofaut haikua rahisi kuonana mara kwa...
  18. social_science

    Maslahi duni kwa waandishi wa habari yamewafanya wasishikamane

    Kwa uelewa wangu mdogo nadhani kufanya kazi bila mikataba imepelekea wataalamu katika tasnia ya habari nchini kutokua na ushirikiano hususani pale wapatapo matatizo kazini. Waajiri wanapaswa kujitokeza kuwatetea mnapata fedha nyingi sana kupitia wao ila wanapopatwa na maswaibu kila mtu kivyake.
  19. social_science

    Wanajeshi wetu wametutenga

    Prof Huntington katka thesis yake Military & soldiers state(1945) kazungumzia military and civil authority relation(mahusiano kati ya jeshi na raia) akihainisha baadhi ya mambo militia wata promote peace and stability,wananchi wajibu wao itakua kusupport operation mbalimbali. Lengo la uzi huu...
  20. social_science

    Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

    Habari wakuu Bwana mdogo kapata div 1 ya 9 pccb ana C flat anaweza chaguliwa chuo cha serikali Course y medical officer??
Back
Top Bottom