Search results

  1. Olumolongez

    Bei ya gari aina Toyota Harrier Lexus

    Habari za jioni wana JF.kichwa cha habari chahusika.Naomba kujua bei ya gari aina ya Toyota Harrier Lexus tangu kuagiza hadi kuingia barabarani au ikiwa yard hapahapa bongo.Natanguliza shukrani.
  2. Olumolongez

    Soda na bia

    Naomba tusaidiane waungwana kwenye tofauti ya mtu aliyekunywa bia na aliyekunywa soda.Mimi naamini kua aliyekunywa bia ametumia kinywaji ambacho kimetokana na natural chemistry na aliyekunywa soda ametumia kinywaji ambacho kimetokana na artificial chemistry ambayo ina madhara zaidi kwa mwili wa...
  3. Olumolongez

    Usafiri wa Rukwa

    Waungwana naomba kujua ratiba na gharama za mabasi yanayosafiri kutoka Dar-rukwa moja kwa moja.
  4. Olumolongez

    Housegirl kufanya kila kitu

    Habarini za jioni wandugu. Kuna baadhi ya familia unakuta beki 3 anafanya kazi zote za ndani kwa 99.9% na unakuta Mama mwenye nyumba yupo, hatukatai kua kuna wamama wenye nyumba hua wanatoka asbh na kurudi jioni kama waume wao cha ajabu akifika nyumbani utamkuta yuko busy na simu na beki 3 ndiye...
  5. Olumolongez

    Sifa na bei za gari aina ya Lexus

    Habari za asbh wataalam. Naomba kujua sifa na bei za gari aina ya LEXUS.Naomba sana.
  6. Olumolongez

    Hakuna Papuchi at zero cost

    Ni vigumu sana mara nyingi haiwezekani kupata mgegedo haswa kutoka kwa michepuko bila gharama yeyote. Nawasilisha.
  7. Olumolongez

    Kupunguza ukali wa Mwanga unaokisiwa na screen ya simu (glaring)

    Salaam kwa wote. Naomba kujua kama kuna kifaa unachoweza kuweka kwenye screen ya smartphone ili kupunguza ukali wa mwanga unavyoakisi.
  8. Olumolongez

    Nauza kiwanja

    Kiwanja kipo eneo la mji mdogo wa kikatiti, Barabara ya Arusha-Moshi ni baada ya kupita maji ya chai kama unaelekea Moshi. Kina ukubwa wa 748 sqm( 22x34m). Kipo mita 400 kutoka Barabara Kuu. Maji, umeme zinapatikana.Kinafaa kwa makazi.Bei 20,000,000/= pungufu tunaongea. Contact 0787145371.
  9. Olumolongez

    Najaribu

    Najaribu nione kama nimeweza kuanzisha uzi.
Back
Top Bottom