Search results

  1. Olumolongez

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    Hawana akili kabisa hawa,ofisi zao zimechoka mbaya lkn hilo wao hawalioni kazi kushika UKUTA tu
  2. Olumolongez

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    2020 kwa mwenendo huu wa wapinzani wa UKUTA and the like watakua wamekwisha kabisa.
  3. Olumolongez

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    Hizo hazirudi tena,sema ajenge nyingine tu.
  4. Olumolongez

    Ahadi ya miezi miwili kuhusu ajira imeisha, tunasubiria chenga ya pili

    Kama serikalini kulikua na wafanyakazi hewa 12,000 ajira zitakuwepo lkn ni baadae sana
  5. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Jukumu la Ulinzi ni la kila mmoja si Polisi peke yao.
  6. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Ingekua hawatumii akili wasingeweza kukulinda na wameaminiwa na watu wenye akili kuliko wewe na kama unadhani wewe una akili sana kua Polisi basi tukuone.
  7. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Hata hiyo ikithibitika nayo ni uhalifu.
  8. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Sasa wewe cinema unailinganisha na hali halisi?
  9. Olumolongez

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Huyu mtoa mada ame assume kua factors zote ziko constant na anatakiwa ajibiwe kwa mtazamo huo huo ili kumsaidia.
  10. Olumolongez

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Hilo karatasi unakua kama unasuka rasta vile.Maji ni bora kuliko karatasi kama mazingira ni rafiki kwa maana kua baada kutawadha kuwe na sink linalotoa maji na sabuni iwepo ili unawe vizuri mikono yako.
  11. Olumolongez

    Umri wa mtoto kuanza kutembea

    Huyo mtoto tafuta pia kampani ya watoto wenzake ili wamchangamshe
  12. Olumolongez

    Umri wa mtoto kuanza kutembea

    Huna haja ya kua na wasiwasi manake kama ameweza kukaa na kutambaa kuna wakati utafika na atatembea cha msingi ongeza lishe na kua karibu zaidi naye.
  13. Olumolongez

    Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

    Mwenye hamu na kipondo atokeze pua yake barabarani siku hiyo ndiyo utatambua kua huwezishindana na dola.
  14. Olumolongez

    TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

    Nawapa pole sana.je Prado ni gari zuri kwa Barabara zetu?
  15. Olumolongez

    Serikali haina pesa za kuendesha shughuli zake na kuwalipa wazabuni

    Hizo pesa zilirudi kwa haohao NEC kwa maelekezo ya JPM na wakaagizwa wakajenge ofisi za makao makuu ya NEC Dodoma,na wameshapata eneo la kujenga makao yao makuu lenye ukubwa wa ekari 10,wameshalipia na bila shaka wanafanya mkakati wa kuanza Ujenzi mapema iwezekanavyo.
  16. Olumolongez

    Serikali haina pesa za kuendesha shughuli zake na kuwalipa wazabuni

    Pesa alizochepusha Mh ni zile za sherehe za kitaifa ambazo kama zisingechepushwa zingetumika na kuisha baada ya sherehe husika kwisha.Pesa zingine ni change ya Bunge na change ya NEC ambazo nilikua bakaa baada ya shughuli zilizotengewa kukamilka na pesa hizo zote zimepelekwa kwenye miradi ya...
Back
Top Bottom