Search results

  1. dindilichuma

    Uchaguzi 2020 Gwajima ni Mgombea anayezungumziwa sana. Je, ni kwanini?

    Kila siku nikifuatilia nyuzi hapa JF nakutana na nyuzi nyingi zikimzungumzia Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe askofu Josephat Gwajima. Nabaki najiuliza kwa majimbo yote ya Tanzania na hata majimbo tu ya Dar kwanini yeye tu anazungumziwa zaidi Kwanini nguvu kubwa inatumika kumzungumzia...
  2. dindilichuma

    Siasa za michango ziweke usawa kwa wahanga

    Kunasiasa Mpya zimeibuka tuziite siasa Za michango, siasa zinazohusisha wachangaji na wachangiwa. Nijambo zuri kuchangiana pindi wanachama wetu wanapokutwa na majanga hasa yanayotokana na kazi Za vyama vyetu vya siasa ili Kuwatia moyo watende zaidi wakiwa na ujasiri. Tatizo linakuja siasa hizi...
  3. dindilichuma

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Udahili umeanza, Chuo Kikuu Huria Tanzania na vyuo vingine hapa nchini. Tuna chuo kimoja hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla kinachotoa elimu wazi na Masafa(Open and distance learning) Serikali ilianzisha chuo hiki kwa sheria ya bunge namba 17 ya mwaka 1992. Hii ilikua kuwapa fursa...
  4. dindilichuma

    Ajira mpya za walimu: Walimu wa Sayansi na Hisabati wapangiwa vituo

    Hatimaye walimu wa hisabati na sayansi wamepangiwa vituo vya kazi, ambapo walimu wapya 3,081 wakiwamo 1,544 wa wangazi ya shahada na walimu 1,537 wa stashahada. Walimu hao wanatakiwa kuripoti kwenye ofisi za wakurugenzi wa halmashauri na baadae kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 18/4/2017...
  5. dindilichuma

    Yanayotokea kila uchaguzi ni dalili za ukichaa

    Tumekua tukisikia kila baada ya uchaguzi Malalamiko ya walioshindwa kwenye uchaguzi husika. Ni nadra baada ya uchaguzi kutosikia maneno kama tumeibiwa kura, tume haikuwa huru n.k Huwa najiuliza sana kwanini kila uchaguzi unapoitishwa Malalamiko huwa yaleyale na hata wapinzani huingia kwenye...
  6. dindilichuma

    JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZA

    JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZAA.. .. Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje? ...' Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje?? ... Unanawa Mikono Vizuri Kwa Maji Ya Uvuguvugu Kisha...
  7. dindilichuma

    Sheria ya adhabu mashuleni ni kama ilishafuta viboko mashuleni

    Sheria juu ya viboko mashuleni. Kimsingi sheri Kifungu cha 61(1)(v) Cha Sheria ya Elimu Sura ya 353 marejeo ya mwaka 2002, kinampa mamlaka waziri wa Elimu kutunga kanuni za masuala mbalimbali zitakayokidhi utekelezaji wa masuala ya sheria hiyo. Mojawapo ya kanuni zilizotungwa ni The...
Back
Top Bottom