Ninachojiuliza yakianza kujadiliwa mambo yasio ya muungano kwenye Bunge la JMT wao wanatoka nnje au wanafanya nini?
Bajeti za wizara zisizo za muungano wao pia wanachangia hoja na kupitisha bajeti??
Sasa kosa liko wapi wakati masuala ya Mungu ni masuala ya Imani.
Yeye anaamini Mungu ni Mwanamke na anahaki hiyo au ni lazima Imani yake ifanane na Yako ndio awe sahihi.
Kama Mungu sio Mwanamke unaweza wewe kumpinga lakini kwa kuwa niimani tunaheshimu mawazo yake na imani yake.
Mfano Wakristo...
Kila Ndoa inavunjika kwa sababu tofauti na nyingine hauwezi kudhani kama inaweza kuwa sababu.
Kwangu mimi naona Ndoa zinavunjika kwa kuwa wanaoana watu kwa kupendana tu bila hata kuendana na upendo ni kitu ambacho kinaisha na kikiisha mnaanza kuishi uhalisia na hapo ndio shughuli inaanza...
Umesema kweli nature inatutaka tuwe watu wema hata bila kutishiwa.
Kuwa na upenda ni kitu unaweza kujiengea bila vitisho vyovyote na Kuna watu wanaroho nzuri na wanatenda mema na sio waumini wa dini na hawatarajii malipo yoyote baadae.
Waumini wa dini tunatenda mema tukitarajia malipo Mwisho wa...
Makonda kwanini haachwi kwenye uongozi ikiwa hafai?
Nadhani Makonda anafaa ndio maana anateuliwa angekua hafai mbona watu wa kuteua ni wengi sana kwanini yeye? Maana yake anakitu ambacho wengine hawana.
Aliachwa tangu 2020 lakini Bado imeonekana anahitajika. Tusiompenda sasa tutabaki tu...
Mke inabidi aelewe Ndoa ni taasisi. Haiwezekani kila mmoja akawa anafanya kivyakevyake hio sio Ndoa ni watu tu mmekutana mnaitana mke na mume.
Kama ni Ndoa kweli hakuna Cha mke peke yake Wala mume peke yake. Baada ya kukaa Muda mrefu mke Mjinga Ndio anakuja kujua hili. Unajenga kwenu kwa hiyo...
Nadhani malalamiko yake huenda ametoka mbali na ametumia gharama zaidi ya 5,000 .
Malalamiko yake huenda amepata hasara kwenda maana 5,000 ni ndogo kuliko nauli aliyotumia hivyo anaona ni Bora asingeenda angeokoa kitu.
Huyu Makonda huwa anajiteua au anateuliwa?
Unaomba kuteuliwa au mteuaji anaamua mwenyewe akiona unafaa.
Mtu kakaa kwake akiendelea na shughuli zake unamteua halafu watu wengine wanalalamika na uteuzi unabadilishwa kazi moja kwenda nyingine shida ni nini.
Shaka alitolewa akapelekwa ukuu wa...
Nadhani labda kutakua na mabadiliko kwenye mtaala.
Sijawa na hakika sana kwanini serikali ingependa baadhi ya wanafunzi wasome Quran na Biblia kama somo. Sijaju lengo hasa ni Nini.
Divinity na Islamic Knowledge zilikua zinafundishwa na mimi nilisoma kama somo la ziada sio kwenye tahasusi.
Ni...
Katika soko ukiona hivyo ujue daladala ziko ukingoni kutoweka hapo mjini.
Mgomo wa daladala haujawahi kusaidia kuwaondoa bajaji kwenye miji yote.
Iringa Kuna wakati daladala ziligoma lakini baada ya Muda bajaji zimetawala.
Kuna kiongozi mmoja aliwajibu watu wa daladala "ukiona bajaji wanafaidi...
Masuala ya Imani hayana uhusiano sana na utajiri wa Mali Bali wa kiroho.
Waganga na wachawi Wana utajiri wa kiroho hawana utajiri wa Mali.
Katika ulimwengu wao wanaheshimiana kwa utajiri wao usioweza kuuelewa.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Siasa huwa haina huruma ukibaki kulialia mitandaoni Jimbo linaondoka kweli.
Homera ni mchapakazi Sana alipokua Tunduru alikua vizuri Sana sijajua huko aliko sasa.
Vita ajitahidi kuboresha utendaji wake uwe mzuri zaidi wananchi wakimkubali anafanya kazi vyema hakuna wakuchukua Jimbo hilo ila...
Alichosema Makonda ni ukweli kwamba mtu masikini hana hela ya kumlipa wakili mzuri kwenye kesi yake. Na anaweza kupata wakili lakini huyo wakili pia akanunuliwa na upande wa pili ikawa balaa lilelile.
Na kama hauna wakili mzuri mahakama itasikiliza kesi na kuangalia Sheria inasemaje na unaweza...
Ruzuku haihusiani na kuwepo au kutokuwepo wabunge wa viti maalumu bungeni.
CDM , CCM na ACT wanayohaki ya kupata Ruzuku kutokana na Kura walizopata kwenye uchaguzi.
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.
Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana? Ni kwamba hawajasoma?
Sasa tuje kwa makabila hayo yaliyosemwa kwamba wamesoma. mfano ofisini kiongozi akiwa ni mnyakyusa wanajjazana...
Chama kinaomba ridhaa kwa wananchi kuunda serikali. Serikali ikifanya vibaya hukumu inaenda kwa chama kuondolewa madarakani.
Ni CCM ndio itakayojibia mapungufu ya serikali na kupokea adhabu ya wananchi.
Sasa tukisema chama baada ya uchaguzi hakina kazi yoyote kinasubiri kutumika wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.