Search results

  1. zelia

    Mashine ya kukandia unga wa ngano

    Habari za wakati huu? Leo nimekuja kwenu nikiwa mjasirimali mdogo wa kuuza maandazi baada ya kuanguka. Nakumbuka niliomba mtaji kutoka kwenu na kuna baadhi walioonyesha moyo wa kunisaidia, nadhani waliingiwa na roho ya uoga baada ya nafsi zao kuwakataza. Nashukuru Mungu niliweza kupata mtaji...
  2. zelia

    Nisaidie mtaji wa biashara ya vitafunwa (maandazi) nitakushukuru

    Nawasalimu kwa jina la jamii Forum. Baada ya kuanguka kiuchumi namaanisha biashara ya awali kufilisika, nimejikuta nipo chini. Hakika ni hali ambayo inaniumiza mpaka nachanganyikiwa. Najua kuna watu watabeza, lakini kusema ukweli hakuna hali inachosha kama kila unapohitaji kitu umuombe...
  3. zelia

    Ubinafsi wetu wanawake ndio chanzo cha wanaume kutuumiza

    Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa. Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli...
Back
Top Bottom