k
kwa hiyo ukidai kitu kimoja kama stand tayari una kuwa mbunge wa Taifa, kweli kuna watu wamelishwa limbwata na upinzani. Kubenea kafanya kipi cha maana mpaka aitwe mbunge wa taifa, du ama kweli bado ni shida
labda hujamtosheleza kimapenzi.
nakushauri uende google uandike Mombasa Raha positions utapata shule nzuri yaani kitchen party.Na utaweza kuhudumia vizuri kitandani.
hiyo operation itawaTIGITIGI washirika wa ukawa na si vinginevyo.
tunakutakia kila la heri ili ujustify ulaji wa hela za chama kupitia perdiem na si kuleta matunda. zote hizo ni njaa tupu kaka
mkuu umekosa kazi.
Cv ya Gwajima ukiipata itakusaidia nini? unajifanya nfurukutwa wa Katoliki hata kanisani huendi, hata kitu alichoongelea Gwajima hukijui.
Fanya kazi za zako ili uongeze kipato siyo kufuatilia cv za watu
anza kuleta cv yako ya kuunga unga
nyie ndiyo maana hamuaminiki kupewa nchi. badala ya kumwaga sera zenu mnakalia kuwaza mali za ccm. Mbona hamuulizi mashamba ya kahawa ya mwasisi wa cdm, mzee ... pale USA river Arusha
nyie CHADEMA acheni siasa za maji TAKA , kwa sababu Zitto ameshaondoka sasa mnafuatafuata nini.
kukosa watu kwenye mkutano si issue kwa sababu ndiyo mwanzo. kasome " Dreams from my Father" ya Obama alivyoanza alikuwa akiitisha mikutano hapati mtu, lkn later alikuja kuwa rais wa Marekani...
halafu maisha yakichanua , utaanza kumsaliti na kuruka na machangu wengine, na kusahau kuwa kakutoa tongotongo. usisahau fadhila za huyo mwanamke . acha story za kwenye stuli ndefu kuwa dume lazima awe na mchepuko
nadhani wengine mna vichaa, unaletaje habari za kujitambulisha jamvini, hapa tunataka mambo ambayo yanweza kusaidia watanzania, kaulize washikaji zako au wewe ni ant social huna hata marafiki?
kaka naona mumeshakuwa misukule wa CHADEMA, kila wanachosema hata pumba mnashangilia. nashangaa sana . hao jamaa wameshindwa kuongoza chama, wanang'ang'ania kuongoza milele, je wakipewa nchi si watabadili katiba ili wasitoke madarakani, labda wakaongoze jamuhuri ya Wachaga:A S 11::A S 11::A S 11:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.