Search results

  1. gungui

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    dah siku mbaya sana kwa mustakabali wa taifa hili
  2. gungui

    ‪Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akamatwa na Polisi kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano‬

    mm sio mwanasiasa lakini najiuliza tu.....hv polisi watawezaje kuthibitisha kuwa lema alizidisha muda mahakama??
  3. gungui

    Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

    anaegongwa anaitwa shoga na mgongaji ni basha......anaegongwa na kugonga anaitwa ms****ng.... fresh.
  4. gungui

    Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    hahaaaaaa,mwakyembe anasema tuache ramli tumsubiri kesho utakuja na wahusika kwani ni wizara yake
  5. gungui

    Club ya Simba yakomboa nyasi zake za Bandia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

    sasa unataka tukaweke mabomba ruvu ili tupande za asili?
  6. gungui

    Hebu tulinganishe nguvu za kijeshi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania.

    dah! we jamaaa kwa porojo...!? sijaona ulicho andika zaidi ya stori za kwenye kahawa.
  7. gungui

    Hebu tulinganishe nguvu za kijeshi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania.

    ukimgusa israel maana yake unapambana na USA, ktk hiyo vita israel alishambulia ndege zikiwa ground na kwa msaada wa USA,hivyo vya uganda wakina museven walikuwa wanafanya nn upande wa tz?uganda ilikuwa imegawanyika ndani kwa ndani na bado tulikutumia almost two years.
  8. gungui

    Hebu tulinganishe nguvu za kijeshi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania.

    hahaaaa kwa hiyo kwenye vita techonology haisaidiii,unataka nambia tz tunasifika kwa askari wetu kupasua mawe na kichwa au kukalia misumary...?,nacho jua tz tupo nyuma sn kivita coz tunatumia silaha duni sn...!
  9. gungui

    Dada anusurika kufa kwa kujitupa baharini leo akitoka Dar kwenda Zanzibar

    bro hakuna anaejua kinachofata baada ya kifo zaidi ya kutishana tu.....,coz hakuna alienda akarudi zaidi ya bla bla tuuu! unaweza ukute huko ni full bata na tunajichelewesha tu.....
  10. gungui

    Dada anusurika kufa kwa kujitupa baharini leo akitoka Dar kwenda Zanzibar

    tumia scientific proof na sio hivyo vitabu
  11. gungui

    Dada anusurika kufa kwa kujitupa baharini leo akitoka Dar kwenda Zanzibar

    hebu thibitisha hii kauli yako( usilete hadithi)
  12. gungui

    Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    bro ktk hayo maeneo ndio kwetu though nipo mwanza kikazi,mtu yoyote anaetoka huki anaweza connect dots kujua source and roots ya hayo matatizo....sema tu system yetu na intellegecia haipo smart as we would like.
  13. gungui

    Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    shida ya rufiji ni kuwa na idadi kubwa sana ya watu wanao miliki silaha kiholela,na wengi sn walikuwa wanajihusisha na ujangili wa meno ya tembo na mazao ya misitu ktk mapori ya selous vijiji km mkongo,mloka,kilimani,ruwe na delta ya rufiji.ss kudhibitiwa kwa ujangali na biashara ya magogo...
  14. gungui

    Rais Magufuli amteua Charles Kichere kuwa Kamishina Mkuu TRA

    huyu 2020 itamkuta anateua tuuu,kimsingi watu siku hizi wanamwona kituko tuuu na mauteuzi yake.
  15. gungui

    Msaada wa million moja!

    weka picha yako...tukuone kwanza
  16. gungui

    Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

    onyesha alipokosea otherwise ww ndo utakuwa hujui!
  17. gungui

    Huyu msichana mimi simuelewi

    huyo kashapigwa chini huko alipo kuwa, sasa anarudisha mpira kwa kipa kwako.usimpe hata nafasi ya kuongea nae kabisa tena mwambie ushaopoa kipusa kingine baada ya yeye kukutumia ule ujumbe.
Back
Top Bottom