Search results

  1. M

    ASILIMIA 90% YA WAHITIMU WALIOFANYA VIZURI (TOP PERFORMERS) SHAHADA YA KWANZA NI JOBLESS

    Hii imethibitishwa na wanafunzi wenyewe katika sherehe iliyoandaliwa na jumuiya ya wanafunzi tanzania iliyokuwa na takriban ya wanafunzi 60 waliofanya vzur katka vyuo vyao.Sherehe hyo ilifanywa Dodoma ambapo Mnamo tar 20 ,Apr walikaribishwa bungeni na tar 23 ndio sherehe hyo ilifanyika na...
  2. M

    Mjue mfanya biashara mkubwa wa madawa ya kulevya ,bangi n.k Mr Erasto magingi....

    Hatimae baada ya kufanya biashara hiyo kwa muda mrefu jipu lake latumbuliwa darasani ....akihoji mwalimu kama ifutavyo: Mwalim aliingia darasan akauliza wanafunzi ukitoka shule unafanya nn??? Mwanafunzi wa kwanza "ninaenda kwa Erasto magingi kununua bangi" Mwanafunzi wa pili "huwa naenda kwa...
  3. M

    Je, Ni kweli mradi wa magari ya mwendo kasi tutalipia kwa njia ya electronic kadi?

    Baada ya majuzi kuona wakiwa wanaya test magari hayo na pia msemaji wa DART kusema wanatarajia mradi huo utaanza hivi karibuni na nimeona pia wakitangaza nafasi za ajira wakiwemo office attendant 80 na assistant,IT n.k Hivyo nilisikia watu wakisema tutatumia punch card yani unaijaza hela so...
  4. M

    Orodha ya wahitimu shahada ya kwanza waliofanya vizuri katika masomo yao

    TAHLISO ikishirikiana na wizara ya elimu imetoa orodha ya majina ya wahitimu shahada ya kwanza waliofanya vizuri katika masomo yao ,wahitimu hao watafanyiwa sherehe Dodoma ambayo mgeni rasmi atakuwa waziri mkuu wa Tanzania na pia itahudhuriwa na makampuni mbalimbali binafsi na serikali...
  5. M

    Hata hii ni njia kupunguza bajeti serikalini tujipange

    Hata hii ni njia kupunguza bajeti serikalini tujipange Hata hii ni njia kupunguza bajeti serikalini tujipange
  6. M

    Hata hii ni njia kupunguza bajeti serikalini tujipange

    Kwa kweli nimeona kasi kubwa inayofanywa na serikali ya awamu ya tano katika kupunguza matumizi serikali na nikagundua kuwa hata hii ni njia inayotumiwa pia. Nimeona habari ya TTCL kupunguza wafanyakaz 400 hii ni sawa na kusave milion 120 kwa mwez au bil 1.44 kwa mwaka nimepiga kwa misharaha...
Back
Top Bottom